ASHADII AOKOTA MAKOPO TANDALE: yadaiwa ni baada ya kupigwa juju na kaizer, kaizer ahojiwa na kusema ameamua kumpiga juju sababu ashadii anajigonga sana kwake mpaka kufikia hatua ya kujitangazia kwenye gazet hili kuwa ni mumewe..adai hajawah kuwa na uhusiano na ashadii na hiyo ndoa wamefunga lini? Anadai yeye anamchumba ake anaeitwa firstlady sasa iweje ashadii amharibie? Aapa akiendelea atamgeuza msukule kabisa...firstlady ahojiwa na kusema hataki hata kumsikia mtu anaeitwa ashadii..
pole na kuachika!Kaizer bana hata wake za watu hawaogopi,lol!Thread ikikuta wachakachuzi kaaazi Kweli kweli.... Ngoja nisome kwanza maudaku yoote toka nilipo ishia! Khaaa!!
pole na kuachika!Kaizer bana hata wake za watu hawaogopi,lol!
Jamani lipumzisheni hili gazeti... hamfanyii plant service hii weekend?
Ukiona member anatoa hii comment jua hizo page za ndani lazima katawala... katoa udaku mpaka basi! lol... :biggrin:
ukweli unauma.
teh teh teh ila kweliUkiona member anatoa hii comment jua hizo page za ndani lazima katawala... katoa udaku mpaka basi! lol... :biggrin:
Hahahaha,Mzee akutwa laivu bila chenga maeneo ya Gongolamboto akiiwangia Yanga ili ishinde. Nalog offInvisible akerwa na logoff ya washawasha, asema anaichosha jf kufungua na kufunga.
Figganiga mzee wa Mia, afumwa na shoga maarufu wakibadilishana mawazo.
AshaDii Amaka kwa HASIRA "Na log off" Baada ya kugundua kua UKWELI kweli WAUMA!! (Huku akijuta alianza vipi kuingia gazeti la udaku)
Waandishi wa habari waongea na sweetlady: kufuatia madai ya mzee waandishi wa habari wafika nyumbani kwa swtldy kwa maelezo zaidi, sweetlady akanusha vikali madai hayo na amesema mzee ameamua kumchafua, akiongea kwa masikitiko alisema iweje mzee ajigonge kwake kwa kumtumia vocha kwa njia ya PM afu aje ageuze maneno kuwa eti swtldy anajigonga kwa nyani ngabu?PM za Sweatlady zafumwa, alikuwa anamtumia Rider wa Jf.
Ktk hali isiyo ya kawaida, pm za sweatlady zimefumwa akimtumia Rider amlime King'ast BAN ya maisha. Asema King'ast anahatarisha penzi lake jipya na Nyani Ngabu.
Nyani Ngabu ahojiwa, asema yeye hana mapenzi na SweatLady. Ila analazmisha.
Hahaha kweli ufupi ni noma,Kadakabikile abambwa akila kozi chumbani kwa Faiza Foxy. Nalog offWashawasha ashindwa kupanda juu ya kiberiti kutokana na ufupi saint ivuga amsaidia kwa kumwekea ngazi
Jamani lipumzisheni hili gazeti... hamfanyii plant service hii weekend?
Waandishi wa habari waongea na sweetlady: kufuatia madai ya mzee waandishi wa habari wafika nyumbani kwa swtldy kwa maelezo zaidi, sweetlady akanusha vikali madai hayo na amesema mzee ameamua kumchafua, akiongea kwa masikitiko alisema iweje mzee ajigonge kwake kwa kumtumia vocha kwa njia ya PM afu aje ageuze maneno kuwa eti swtldy anajigonga kwa nyani ngabu?
Dawa hiyo ambayo haijafanyiwa utafiti wowote inamsumbua sana Tanmo kwa sasa,imefunga njia ya uume, Tanmo akitaka kukojoa basi mkojo unamtoka mdomoni. Nalog offBreaking News Washawasha ampa dawa Ya kuacha kukojoa Kitandani TANMO Nalog On
Hahaha kweli ufupi ni noma,Kadakabikile abambwa akila kozi chumbani kwa Faiza Foxy. Nalog off
Lol...hahahaa...duh,kumbee?
Lol...
sijui nini we acha tu, ukiona kashfa zimekuzidia unaita waandishi wa habari unajisafisha mwenyewe kama mimi ati...