Gazeti letu la Udaku JF..

Kaunga 'afulia' mipango yake ya kutengeneza pua iwe kama ya michael jackson imesitishwa lol
 
hahaha..umejuaje..? Lazima utakuwa mganga tu wewe..tehetehe..

Sijui Nini amfananisha TANMO na Profesa Maji Marefu: amwomba Tanmo amsafishie Nyota ili amnase Firstlady
 
Kudadekiii naona humu watu wanapiga kata funua....lol...CV yangu kitaa naona watu waliishahiharibu tayari
 
Washawasha ashindwa kupanda juu ya kiberiti kutokana na ufupi saint ivuga amsaidia kwa kumwekea ngazi
 
Mambafffffffffff... LOL!!
😛ound::A S-omg:

MTM achanganyikiwa baada ya kugundua kuwa picha za kitambi na kitovu chake zimmezagaa mitaani.
Aomba msaada kwa The Finest ampeleke Tandale kwa mama muuza kulewa pombe za 150 shillingi.
 
Imegundulika: MTM na King'asti walianza kutumia Bhange tangu wakiwa na miaka nane, MTM alonga, King'asti amkimbia mwandishi wetu
Mkuu mie naimba kwaya aisee,
 
MTM achanganyikiwa baada ya kugundua kuwa picha za kitambi na kitovu chake zimmezagaa mitaani.
Aomba msaada kwa The Finest ampeleke Tandale kwa mama muuza kulewa pombe za 150 shillingi.

Kongosho azama ndani ya maji yaliyokuwa kwenye kizibo cha soda baada ya kuvuta bangi, adai hatarudia kuvuta bangi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…