klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Hahahahaha.
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Klorokwini, yule lawyer maarufu wa JF amekamatwa kwa kosa la kuuza kesi za JF. MalariaSugu alikua tayari kukiri kwamba Klorokwini ndie haswa aliefanikisha ban lake la maisha kufutwa. Alipopatikana kwenye line alisema "hatujui, hatumjui hivyo tuachane nae."
Na alipo ulizwa kwa nini anapenda boxa za rangi rangi alijibu kua zinaonesha mood yake ilivo, huku akionesha boxa yenye mkanda wenye maandishi ya "kibwisa pimpa" na kuitaja kama favorite yake.Hahahahahaha
Baada ya uchunguzi wa kutosha JF Udaku yagundua kwamba Boss sio bontauni. Mwenye akanusha madai na kudai japo alizaliwa Magadini bado nae ni mjanja maana alianza kuvaa boxa na singilendi miaka ya themanini.
heheeh mimi nakutegemea wewe aisee! hii ndio raha ya kuwa klose na mod russianroulletehahahahaha, kwa hiyo unajitoa sadaka kwa kumnukuu au? hahahahaha
I am Literally crying kwa FURAHA ya kicheko... Hakyanani vilee.... THANKS GUYS.... Dah! This thread imenipa furaha that will last for a Week if not a Mount!! Dah!!
Lizzy... Klorokwini dawa yenu yachemka.... lol
Mkakati wa Lizzy na Klorokwin wafichuka,
wapanga mkakati kamambe wa kuyatanua mapafu ya AshaDii kabla ya mwaka mpya.
Inasemekana AshaDii anawadai kodi ya nyumba ya miaka miwili
Mkakati wa Lizzy na Klorokwin wafichuka,
wapanga mkakati kamambe wa kuyatanua mapafu ya AshaDii kabla ya mwaka mpya.
Inasemekana AshaDii anawadai kodi ya nyumba ya miaka miwili
Ile tabia ya uswahilini kuibiana nguo zilizoanikwa bado haijakoma, selebriti wetu wa JF Kongosho huku akibubujikwa na machozi alililalamikia gazeti letu la udaku JF kwamba jirani yake ambae pia ni member wa JF (jina tunalo), amefanikiwa kumuibia makufuli mawili na mabrazia manne ya oversize, skendo hii ilitokea wakati kongosho akiwa ndani anazisubiria nguo hizo zikauke ili awahi kuonana na fidel80 maeneo ya tip top
Khaaaa! huu udaku utaharibu CV sasa. Dah!He he he duh
Klorokwin azua timbwili mahakama ya jf
ni baada ya mod kutomtambua kama loya
kumbe vyeti vyake ni feki
alihitimu la saba ila anamiliki vyeti vya profesa
BAN itawahusu hawakujuwi kuwa Upanga wa PAW umeushika wewe RussianRoulette wanamchezea Simba Sharubu atawatafuna hahahahhahahahahKha! nyie mnachezea nyota sababu hamjui zinatoka wapi... fanyeni mautani yenu bila kutaja pete za kamanda :ban:
klorokwini sio tena Dawa ya kutibu Malaria Sugu hhahhahah klorokwini imeshapitwa na wakatiLizzy apoteza fahamu na kukimbizwa muhimbili baada ya kudanganywa na mzizimkavu kuwa sabuni ya kufulia ukiichanganya na ukwaju ni dawa ya kupunguza unene. Tukipata habari zaidi tutakupatieni
Kizimkazimkuu akamatwa na The Boss mjini kariakoo akimtapeli Tajiri mmoja wa kihindi hapo mjini afikishwa kituo cha polisi habari zaidi nitawajuulisha baadae.....Amini usiamini! The Boss Aukata
Mafisadi wa elimu waanikwa: Ni Mupirocin, Russian Roullette, mzizi mkavu na dr. Riwa
- Denzel Washington akiri ni mwanae,
- Alikutana na mzazi mwenzia kampala akicheza Mississipi masala
- Amnunulilia the boss "mjengo" wa nguvu ndege beach
- Kuja kumsalimia na kufahamiana naye Dec 9 2011
- Wawili wagundulika kupata ziro form 4
- mmoja alikuwa msaidizi wa dokta ndodi
- Mmoja akiri kutumia vyeti vya kufoji
Fynest ajichekesha.Ajaribu kumseduce mwandishi wetu ili aweke skendeli lake la wizi kapuni.
The Finest abambwa ndani ya kibajaj......kumbe ile vogue sio yake lol
The Finest akana uvumi ulozagaa kuwa yeye ndiye sharobaro wa jf
asema wanaomuahiribia ni wenye majina yanayoanza na The ...
:lol::lol::lol::lol:.......Nyie watu hamna adabu kabisa hakyanani...lol..hahahahaThe Finest apandishwa kizimbani kwa kosa la kujisaidia kwenye gari la manispaa, akijitetea mahakamani amesema hiyo ni aina mpya ya maandamano ambayo ameianzisha ili serikali iangalie upya suala la mgao wa umeme.
You guys are cracking me up.. . .
Ngoja niwape cha mwisho kabla sijalala.
Juzi kati gazeti lenu pendwa lilihudhuria sherehe ya RR kutunukiwa uMOD. Kila aliyekuwepo alionyesha kufurahishwa na kitendo kile ila walipoongea na mwandishi wetu chobingo walikiri kutokufurahishwa hata chembe. Kongosha alinukuliwa akisema kwamba hawezi kukubaliana na RR kupandishwa cheo wakati yeye ndie mpenzi wa Invisible. Hakuishi hapo bali aliendelea na kusema "Dawa yake inachemka, babu yangu anamtengenezea dawa ya ukoma ashindwe kutype." Ashadii nae hakua nyuma alipotutaarifu kwamba yeye alikua na mpango wa kumsabotage RR, japo hakuwa wazi ni kwa namna gani,alisema tusubiri kuona. Mpiga picha wetu alipozoom kamera yake mida ya saa nne nne alishuhudia Klorokwini akimchombeza RR kwa mbwembwe huku akitamba kwamba lazima aendoke na password ya JF acc.