Gazeti la Uhuru lammaliza Lowassa

Hivi Liwassa ni mtuhumiwa wa mkataba wa Richmond au ufisadi? Ufisadi ni tuhuma nzito

de minimis non curat praetor=the commander does not bother with the smallest things..................kwani RICHMOND NI KASHFA, KUNUNULIWA NA SYMBION SI NDIO MWISHO WA UNAFIKI???HIYO IMETHIBITISHA ROBO TU YA UKWELI KUWA RICHMOND NI KAMPUNI YENYE UWEZO MKUBWA TU WA KUZALISHA UMEME NA LOWASSA ALIKUWA SAHIHI KUIPIGIA DEBE......BASI TU SIASA ZENU HIZI...
 
Magamba wanruka na kukanyagana!
EL, RUDI KAKA: KUNA WATU WANAKUBIP HUKU!
 
Kwani Lowassa Muislamu mbona kila mara anakuwa kanisani na anaalikwa hata katika Harambee kuchangia makanisa? Acheni imani za mapepo kama alitamani kwenda kuabudu huko?
 
Ngoja arudi mzee wa raketi...JK ajiandae kukwama na mipango yake yote,lakini sie kunguru huo ndo mda uliosubiriwa hili tuitimishe ya Mwembeyanga...
 
let me wait for the outcome here!

Hii tunaita kukurupuka!! yale yale ya R1 kuongea na waandishi wa habari
 
So it is true kwamba anaandaliwa mtu 'special' kwa 2015? Maana sina uhakika kama mwandishi wa hii habari ameendika bila idhini ya magogoni. Uhuru hawana mshipa hata kipande wa kupambana na EL. Hii itakuwa kama ile tahariri ya Daily News kuhusu Dr Slaa wakati wa Campaign. Good luck Uhuru.
 
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
attachment.php
lowassa hawezi kumalizwa na gazeti linalosomwa na watu alfu moja kwa siku... kashindwa kikwete na wanamagamba wengine kitaweza kijarida kama uhuru??
 
'Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni' Duh!Jamaa kuonekana katika sinagogi (SCOAN) huko nigeria imekua Habari teeeheee teeheee Je walioonekana kwa kikombe cha babuuuu?yawezekana kaanza kutafuta kibali kwa imani yake kwa watumishi wa mungu ili aje kua Rais wa Tanzania MMMhhhhhhhhhhhhhhMwalimu angekuwepo naamini asingepoteza muda kuutafuta URAIS sasa naanza kuona kwa nini waganda wanamtangaza mwenye herini wazi watanzania bado hatujaona utakatifu wa JK nyerere!Mi namwanini sana tb Joshua nannamini atakua amemwambia ukweli mzee wetu huyu juu ya mbio zake kama zipo kuelekea urais! duh hata hivyo EL anaroho ngumu kuzidi hata muuza Sumu yaani ameweza kukaa karibu kabisa na tb Joshua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom