Gazeti la Uhuru lammaliza Lowassa

lowassa hawezi kumalizwa na gazeti linalosomwa na watu alfu moja kwa siku... kashindwa kikwete na wanamagamba wengine kitaweza kijarida kama uhuru??
Ubabe wa EL unatokana na kuwa ndani ya gamba! Sasa gamba limeanza kumgeuka na kama likiendelea hivi litammaliza!
 
Hebu wanaCCM waendeke pale nchi ye2 ya jirani wakaulizie ile chama kongwe kilichokuwa kinaitwa K.A.N.U ya kwamba ilikuwaje? Haina hata dalili ya kurudi kundini. Hata CCM ni hivyo hivyo. 2subiri na 2one.
 
Magamba wanruka na kukanyagana!
EL, RUDI KAKA: KUNA WATU WANAKUBIP HUKU!

Siku akiamua kuweka hadharani sakata la richmond na mengineyo, watu mtabakia midomo wazi. hakuna aliye msafi ndani ya chama twawala. RUDI EL WANAKUDIP uku - ha ha ha
 
Lowasa ni Dola ndani ya Dola, Ngoja aupata Urais, kina Jk watakoma, mchizi atawachapa raba!
 
Naona WanaJF mnakubali sana Lowasa kuliko hata Mr Presidaaaa. Anyway, huyu Lowasa nguvu zake haswaaa zinatoka hadi aogopwe?
 
Lowasa ni Dola ndani ya Dola, Ngoja aupata Urais, kina Jk watakoma, mchizi atawachapa raba!

Umenena ndugu, haondoki mtu na wakimfukuza tu CCM ndiyo baba jeni bye bye --- Si rahisi the way NAPE na Makama wanavyofikiria.
Watu walishajipanga miaka mingi tu na ku invest as a project, sasa we leo hii kuupata ukatibu mwenezi eti unatamba -- ha ha ha. Siku 90 bado hazijaisha?
 
Naona WanaJF mnakubali sana Lowasa kuliko hata Mr Presidaaaa. Anyway, huyu Lowasa nguvu zake haswaaa zinatoka hadi aogopwe?

Mkuu hili swali muulize NAPE, 90 days zimeshaisha tunasubiri fire.
 
Umenena ndugu, haondoki mtu na wakimfukuza tu CCM ndiyo baba jeni bye bye --- Si rahisi the way NAPE na Makama wanavyofikiria.
Watu walishajipanga miaka mingi tu na ku invest as a project, sasa we leo hii kuupata ukatibu mwenezi eti unatamba -- ha ha ha. Siku 90 bado hazijaisha?[/QUOTE
]

Nanogewa sana na mjadala huu. Yaani bado kuna watu wanatetea mafisadi? Inashangaza mno. Kumbe watu ni wanafiki kweli kweli
 
Nani sio fisadi CCM? Si umeona jana Kafulila kaongeza list ya wavua gamba? For sure Lowassa yuko clean kuliko JK na Sitta aliyejenga kasri la mil 500 Urambo miezi 6 kabla ya kuvuliwa Uspika.
 
Umenena ndugu, haondoki mtu na wakimfukuza tu CCM ndiyo baba jeni bye bye --- Si rahisi the way NAPE na Makama wanavyofikiria.
Watu walishajipanga miaka mingi tu na ku invest as a project, sasa we leo hii kuupata ukatibu mwenezi eti unatamba -- ha ha ha. Siku 90 bado hazijaisha?[/QUOTE
]

Nanogewa sana na mjadala huu. Yaani bado kuna watu wanatetea mafisadi? Inashangaza mno. Kumbe watu ni wanafiki kweli kweli

kaka hatutetei fisadi sisi, ila tunasema CCM haiwezi kujisafisha eti kwa kuwatimua mapacha 3, tunataka wote wenye tuhuma watoke hii ni pamoja na mwenye Kigoda... au na wewe ni mwanamagamba nini?
 
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
attachment.php
Mi nakushangaa wewe mama,gazeti kuandika Lowasa kwenda Nigeria limemmalizaje? kwanza lazima ujue huyu ni mtuhumiwa siyo fisadi na kama mtuhumiwa bado anazo haki zake zote za msingi 'Natural rights' na lazima ujue Lowasa hajawahi kusema yaliyomo rohoni siku akisema wewe na waliokutuma mtakaa kimya!
 
Hata wakitoa magamba bado sumu yao haijatoka kutoka kizazi hadi kizazi. Watueleze hiyo sumu itatokaje?
 
Tulishamwona cku ya jumapl amekaa high table. Alikuwa SCOAN kwa T.B Joshua.

Hata jana J3 alionekana kwenye synagogy, nikakaza macho kama nitamuona na yeye akianguka kama wengine wakati mtu wa Mungu akigawa stickers zenye upako lakini wapi.
 
kaka hatutetei fisadi sisi, ila tunasema CCM haiwezi kujisafisha eti kwa kuwatimua mapacha 3, tunataka wote wenye tuhuma watoke hii ni pamoja na mwenye Kigoda... au na wewe ni mwanamagamba nini?
Naunga mkono na miguu hoja..............
 
Hivi Liwassa ni mtuhumiwa wa mkataba wa Richmond au ufisadi? Ufisadi ni tuhuma nzito
Kwa mimi navyojuwa au kuwa na ufahamu.......Kama mwizi anajulikana na kuna ushahidi kwamba ni mwizi.mara nyingi huwa huyo mwizi anatakiwa kuwa Kuzuizini au keshahukumiwa na anatumikia kifungo..........Sioni Sababu ya kumuita mtu fisad au mwizi wakati hakuna vielelezo........Watanzania wote ni Mafisadi........Mtu analipwa tsh500,000........ana Corolla .........kila siku anatumia mafuta tsh 10,000........ana mke na mtoto mmoja tu wala usimpe wengi........lakini huyu mtu maisha yanakwenda na akienda kwenye vikao vya harusi anatoa mchango tsh500,000.......Kama huyu si fisadi pesa kazitoa wapi wakati kijijini kwao hawana hata shamba ?
 
Umenena ndugu, haondoki mtu na wakimfukuza tu CCM ndiyo baba jeni bye bye --- Si rahisi the way NAPE na Makama wanavyofikiria.
Watu walishajipanga miaka mingi tu na ku invest as a project, sasa we leo hii kuupata ukatibu mwenezi eti unatamba -- ha ha ha. Siku 90 bado hazijaisha?[/QUOTE
]

Nanogewa sana na mjadala huu. Yaani bado kuna watu wanatetea mafisadi? Inashangaza mno. Kumbe watu ni wanafiki kweli kweli

Hatetewi mtu hapo ndugu yangu soma katikati ya misitari kisha tafakari maana ya msemo wa adui muombee njaa, magamba wakimgusa el ndiyo wamejitia njaa ya kufa mtu na hilo ndiyo ombi la watanzania wapendao nchi yao - wanaomba sana hilo litokee hata leo ili tuione magamba party inaingia kwenye shimo la SAHAU.
KWA NEMA YA MWENYEZI MUNGU INAWEZEKANA.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
CCM bana yaani kweli wameamua kujimaliza wenyewe?? siamini hata kidogo, je wanafahamu impact yake baada ya taaarifa hii?? Je ndio wameanza kumwaga ugali kabla ya mboga?? Ntashukuru hata hivyo kuuna mwisho wa CCM katika sura hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom