Gazeti la Uhuru lammaliza Lowassa

Gazeti la Uhuru lammaliza Lowassa

hoyce

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
1,117
Reaction score
298
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
attachment.php
 
Attachments

  • Uhuru.jpg
    Uhuru.jpg
    165.4 KB · Views: 3,071
Gaining reputation?
 
Naona wanazidi kumchokonoa jamaa, ngoja awarudi.
 
hilo ndio gazeti kongwe la chama cha mapinduzi..

my take; wanambip EL akiwapigia wasijeshindwa kupokea tu
 
hilo ndio gazeti kongwe la chama cha mapinduzi..

my take; wanambip EL akiwapigia wasijeshindwa kupokea tu

hakuna wa kuweza kupokea akiwapigia..Jk mwenyewe anamuogopa EL itakuwa hawa hohe hahe akina MUKAMA na NAPE!!
 
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
attachment.php
Naona kama hili gazeti limekua kama mengine ya udaku manake kwenye web yao siioni hii taarifa au wanataka kuuzia gazeti???????????????
 
Gazeti la CCM, Uhuru leo limechapisha habari hii, kuwa mtuhumiwa wa ufisadi alikwenda Nigeria kuombewa. naona limeanza kuwaandaman mapacha watatu, na hii ni ishara kuwa mkakati wa kuwatema uko jikoni.
attachment.php

Leo hii wamesahau mema yote aliyowatendea?
 
Hivi Liwassa ni mtuhumiwa wa mkataba wa Richmond au ufisadi? Ufisadi ni tuhuma nzito
hana tuhuma wala ufisadi ndiyo maana anatunzwa kama waziri mkuu mstaafu - only possible kwa serikali ya ccm
 
Wana ccm aka magamba chekeleeni tu, lakini jamaa ndio kashika mpini wengine wote mmeshika makali sasa kazi kwenu, hakuna mjanja kati yenu zaidi yake, hata mkuu wa kaya.
 
Lazima tujue akilini kuwa huyu jamaa alikuwa waziri mkuu na ndiye kamwingiza JK madarakani hivyo anajua rafu zote zilivyochezwa so itakua mbwai kwa mkuu wa kaya kama akijibu mapigo.
 
Back
Top Bottom