Gazeti la "The Citizen" ni tatizo

Gazeti la "The Citizen" ni tatizo

Hili nalo linatakiwa lifungiwe kwani halina maana yoyote. Sisi tunalo gazeti la Mwananchi. Hilo The Citizen libaki Kenya huko huko
Wasikurupuke kama MwanaHalisi Taifa likaingia hasara ya mabilioni ya pesa kama Serikali inayomlipa Kubenea.
 
kawadanganyeni mazuzu wenzenu hilo gazet haliwez kuleta habari za uongo vichwa vimejaa maji mnafanya mambo bila kuforecast outcome, halafu mnakuja kubalance stori hapa, kwa watu wenye akili bagamoyo haisafishiki hata mfanye nn, na haitatekelezwa.
 
Duh, aise, wewe una msimamo mkali.Yaani serikali imekanusha lakini wewe unaendelea kukomaa!!??
 
mwananchi, nipashe,the citizen ni kati ya magazeti yanayoaminika na kuheshimiwa na wa tz wanaojielewa, wewe unaetaka yafungiwe unamaanisha, tuyaache tazama, jambo leo, uhuru, jamvi la habari, habari leo n.k yatawale? magazeti ambayo yapo biased hadi hata asiyejua kusoma anatambua
 
Hili nalo linatakiwa lifungiwe kwani halina maana yoyote. Sisi tunalo gazeti la Mwananchi. Hilo The Citizen libaki Kenya huko huko

Magazeti ya Mwananchi na The Citizen yanamilikiwa na kampuni moja hapa nchini, ambayo ni Mwananchi Newspapers Limited. Hii ni kampuni tanzu ya kampuni ya Nation Media Group ya Kenya.

Unaposema Mwananchi ni ya kwetu, unapotoka ndugu yangu. Sio Letu hilo.
 
Hili nalo linatakiwa lifungiwe kwani halina maana yoyote. Sisi tunalo gazeti la Mwananchi. Hilo The Citizen libaki Kenya huko huko
Heeee, wewe Lizaboni kumbe hujui kuwa Mwananchi pia ni gazeti la Kenya. Magazeti yote haya ni ya NATION MEDIA GROUP ya Kenya inayomilikiwa na AGA KHAN. Yaani Mwananchi na Citizen ni sawa na Daily Nation la Kenya. Magazeti haya (MWANANCHI, CITIZEN na MWANASPOTI) yalingia Tanzania miaka kadhaa iliyopita na wakati mchakato wa kumuingiza JK ulipokuwa umepamba moto. Wenye hisa wa kwanza wa kampuni inayomiliki MWANANCHI hapa Tanzania walikuwa ni Ferdinand Ruhinda na Rostam Aziz. Kampuni hiyo ilikuwa inamiliki pia Radio Uhuru. Magazeti ya UHURU na MZALENDO ndiyo yaliyokuwa yameanzisha Radio Uhuru lakini baadaye ujanja Fulani ukafanyika na hisa za Radio Uhuru zikachukuliwa na kampuni hiyo inayomiliki MWANANCHI. CCM baadaye ikachachamaa kuona Radio Uhuru 'imeporwa' ikajaa juu na hivyo Radio Uhuru ikarudishwa tena mikononi mwa CCM. Kumbuka makao makuu ya kwanza ya Mwananchi yalikuwa pale kwenye jengo la CCM mkoa wa Dar es salaam. Baadaye Nation Media group ikainunua kampuni inayomiliki gazeti la Mwananchi na gazeti hilo effectively likawa la Kenya makao yake yakahamia kule nadhani Tabaka relini kwenye kampuni ya uchapaji. In fact usajili wa Mwananchi una utata mkubwa unless suala hilo liwe limemalizwa katika miaka ya hivi karibuni. Hivi unakumbuka kuwa ile picha iliyomchafua Dr. Salim Ahmed Salim wakati wa mkakati wa uchaguzi wa CCM kumpata mgombea wa urais wa CCM mwaka 2005 ilikuwa imechapishwa na MWANANCHI?...Hivi sasa nadhani Rostam na Ruhinda hawana hisa tena huko Mwananchi...
 
Hivi karibuni hili gazeti limekuwa na Tabia ya kutunga habari sijui kwa maslahi ya nani.

mtakumbuka wiki iliyopita iliandika habari na ikidai kumnukuu waziri wa nishati na madini mh.Sospeter Muhongo kuwa serikali ina mpango wa kuuza hisa zake kwa 49%, Mara serikali ikakanusha habari hizo tena ikaenda mbali zaidi kwa kukana hata waziri kuzungumza na mwandishi yeyote wa gazeti hilo.

Kama hiyo haitoshi juzi tena wamekuja na habari ya serikali eti imesitisha ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo lakini muda si mrefu nimemuona waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano mh.Makame Mbarawa kwenye taarifa ya habari ya TBC1 akikanusha habari hiyo ya gazeti la citizen.

na kueleza kuwa mchakato unaendelea kama kawaida ikiwa ni pamoja na ulipaji fidia kwa watakaopisha mradi huo pia wataalam wetu na wa nchi tunazoshirikiana nazo katika mradi huo kutoka nchi za China na Oman wanaendelea na kazi ili kufanikisha ujenzi huo,sasa sijui hili gazeti lina mkakati gani juu ya nchi yetu.

Natoa wito kwa serikali kulifuatilia ikiwezekana walifutilie mbali maana naona wana lao jambo.
Hilo siyo mwanahalisi
 
Mkuu huyo Lizaboni ni mgeni au kimbukeni wa siasa hana lolote ajuwalo zaidi ya kuwabeba ma prince
 
Ananikumb
Hivi karibuni hili gazeti limekuwa na Tabia ya kutunga habari sijui kwa maslahi ya nani.

mtakumbuka wiki iliyopita iliandika habari na ikidai kumnukuu waziri wa nishati na madini mh.Sospeter Muhongo kuwa serikali ina mpango wa kuuza hisa zake kwa 49%, Mara serikali ikakanusha habari hizo tena ikaenda mbali zaidi kwa kukana hata waziri kuzungumza na mwandishi yeyote wa gazeti hilo.

Kama hiyo haitoshi juzi tena wamekuja na habari ya serikali eti imesitisha ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo lakini muda si mrefu nimemuona waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano mh.Makame Mbarawa kwenye taarifa ya habari ya TBC1 akikanusha habari hiyo ya gazeti la citizen.

na kueleza kuwa mchakato unaendelea kama kawaida ikiwa ni pamoja na ulipaji fidia kwa watakaopisha mradi huo pia wataalam wetu na wa nchi tunazoshirikiana nazo katika mradi huo kutoka nchi za China na Oman wanaendelea na kazi ili kufanikisha ujenzi huo,sasa sijui hili gazeti lina mkakati gani juu ya nchi yetu.

Natoa wito kwa serikali kulifuatilia ikiwezekana walifutilie mbali maana naona wana lao jambo.
Ananikumbusha zama za Nyerere, kinywa kimoja tu cha habari. Nakumbuka gazeti fulani liliandika MR. CLEAN tu kwa kumfananisha Alhaj Ali Hassan Mwinyi, lilifungiwa mara moja kwa bwana mkubwa tu kukereka. Unataka kurudi zama hizo? hizi ni zama za ....CCM MBELE KWA MBELE
 
Kama serekali ipo makini The Citizen ni gazeti la kufungiwa mara moja hapana kucheka na watu wa hovyo.
Siamini katika serikali kufungia magazeti. Katika demokrasia ya kweli serikali haina mamlaka ya kufungia magazeti.
 
Mtu
what do you know about credibility? mtu unayetukana na kutoa fix sana hapa jf
mtu kutukana na kutoa fix katika hoja nyingine hakubadilishi ukweli wa hoja yake au uzito wa hiyo kama hiyo hoja yake mpya kama ni ya ukweli na ina mantiki.
 
Sasa Mods, mnafuta post zangu kwa sababu ya kuliponda gazeti la Citizen??? Huwezi kulitetea ili gazeti kwa upuuzi walioandika Citizen litabaki kuwa gazeti la udaku kama Mwanahalisi huo ndiyo ukweli waacheni wajitetee wenyewe kwa upuuzi walioandika.
 
Hili gazeti la udaku kabisa. Nakumbuka liliwahi kuandika kwamba Askofu Kakobe kahamia Marekani. Likadai kuwa hata ibada ya pasaka 2013 aliongoza sijui mchungaji nani hata jina halijulikani pale kanisani. Wakati sisi tulikuwepo kanisani na ibada ya pasaka 2013 aliongoza askofu mwenyewe. Tukalalamika humu baadhi mkalitetea. Sasa mmeuona upuuzi wake.
 
mimi sikuona hata haja ya kukanusha waulizwe hao citizen hizo habari wamepata wapi
 
Kama serekali ipo makini The Citizen ni gazeti la kufungiwa mara moja hapana kucheka na watu wa hovyo.
weka akiba ya maneno ndugu yangu.mbona unakuwa kama mgeni na serikali yetu?
 
Back
Top Bottom