Ni kweli maana walikuwa wanatumia gazeti la 'the economist' kuchafua Tanzania. Lakini pia lazima tuwe na mkakati maana ipo siku watachomeka habari itakayotuletea matatizo kwa faida yao
Tatizo ni kwamba hivi vitu vipo very delicate na ther's a very thin line between freedom of press na regulations.
The best weapon ni forums kama hizi, tukiwa tunajadili ukweli wa mada kabla ya kujadili mada. Tatizo ni kuwa either utatukanwa au utapuuzwa. But sisi watanzania lazima tuwe careful.
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesisitiza kwamba ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, unatarajiwa kuanza mwezi Julai mwaka huu. Pia, Profesa Mbarawa alisema hadi Desemba mwaka jana, jumla ya wananchi 2,183 sawa na asilimia 98.69 wamelipwa fidia ya Sh bilioni 45.65 ili kupisha ujenzi wa bandari hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Profesa Mbarawa alisema ifikapo Machi mwaka huu, majadiliano ya kiufundi na kibiashara, yatakuwa yamekamilika. Alisema Januari 8, mwaka huu kuna gazeti moja la kila siku (si HabariLeo), liliandika ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo utasubiri, jambo ambalo si kweli.
“Napenda kuwataarifu kuwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hausubiri kukamilika kwa uongezaji wa kina cha maji katika bandari ya Dar es Salaam na uboreshaji wa bandari ya Mtwara, kama ilivyoandikwa katika gazeti hilo. Napenda kuwaarifu kwamba habari hiyo siyo sahihi na imepotosha umma,” alisema.
Jiwe la msingi Profesa Mbarawa alisema Serikali ya China, Serikali ya Oman na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zilitia saini ya makubaliano ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo mbele ya Rais mstaafu, Jakaya Kikwete Oktoba 16, mwaka jana, siku ya uzinduzi wa ujenzi wa bandari hiyo.
Alisema mpaka sasa kikosi kazi maalumu cha nchi hizo tatu, kipo katika hatua mbalimbali za kuandaa mikataba ya kiufundi na kibiashara kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo. Ujenzi wa bandari hiyo utagharimu Sh trilioni 21.5.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Rais Kikwete alisema ujenzi huo utakapokamilika, utakuwa ni mradi mkubwa utakaoinua uchumi wa nchi na kuongeza uwekezaji kwenye sekta nyingine. Aliwataka watanzania kuwekeza katika viwanda na sekta za huduma.
Aidha, aliwataka Watanzania kujiendeleza kielimu na mafunzo ya ufundi stadi ili waweze kupata ajira kupitia mradi huo. Alisisitiza kuwa hilo litawezekana ikiwa wananchi watadumisha amani na utulivu.
Aliwataka wananchi wa Bagamoyo kujenga ushirikiano na wawekezaji hao ili mradi huo ukamilike kwa wakati na ulete manufaa kwao na taifa. Mradi huo utakapokamilika utakuwa na uwezo kutoa tani 600,000 za shehena ya makontena 1,000 na pia utatoa ajira kwa watu zaidi ya 1,000.
Bado ninapata shida tunapojadili kitu bila facts. Mleta mada analilaumu gazeti la The Citizen kuandika habari za uwongo. Hapa analeta habari zilizoandikwa chombo kingine. Maana yake ni nini? Can you read what The Citizen wrote through another paper?
Mwananchi na The Citizen ni identical twins. Ukimfukuza The Citizen, Mwananchi atakuwa anafanya tale pacha wake angelifanya. Solution ni wote kuwaweka under watching brief na yule atakaye tenda sivyo achukuliwe hatua za kisheria na mwingine atalielewa somo kutoka kwa pacha wake. Both papers are anti establishment
Tatizo ni kwamba hivi vitu vipo very delicate na ther's a very thin line between freedom of press na regulations.
The best weapon ni forums kama hizi, tukiwa tunajadili ukweli wa mada kabla ya kujadili mada. Tatizo ni kuwa either utatukanwa au utapuuzwa. But sisi watanzania lazima tuwe careful.
Kwa nini kama unajadili kitu, ambacho ni cha kweli uogope kutukanwa? Lete mada tujadili - kuna watakaoona umuhimu wa kuijadili na kuna watakao kutukana. Don't worry, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho.
Tatizo ni kwamba hivi vitu vipo very delicate na ther's a very thin line between freedom of press na regulations.
The best weapon ni forums kama hizi, tukiwa tunajadili ukweli wa mada kabla ya kujadili mada. Tatizo ni kuwa either utatukanwa au utapuuzwa. But sisi watanzania lazima tuwe careful.
Tatizo lingine ni kuwa viongozi wetu hawaamiki kwa kauli zao. Wananchi wanapoteza imani na kurukia 'sensational information' Kwa mfano, gazeti hilo lilipoandika kuhusu Escrow, serikali ilianza kwa kukataa uwepo wa tatizo.
Later on ikajadhihirika ni ukweli mkubwa kuliko tunavyojua. Hapo wananchi wakahamisha uaminifu kutoka serikali na kulipa gazeti na wao sasa wanatumia hiyo opportunity kwasababu 'market na consumers wapo tayari' Nani kawatengenezea, serikali
Habari ikiandikwa na gazeti la The Nation inaweza kusomeka kama propaganda.
Inapoandikwa na gazeti la nyumbani, inachukua sura tofauti kabisa.
Na hao wamelijua hilo ndiyo maana wameanzisha magazeti hapa kwetu.
Kwa masilahi mapana ya Taifa serikali ifanye jambo, ni ngumu kuzuia freedom of speech lakini kuna namna serikali na mikono yake mirefu inaweza ku deal na watu wa namna hii
Tatizo ninaloliona mbeleni ni siku moja wanaweza kutupa uchafu tukavurugana. Tayari wameshaona 'mafanikio' Je, tusubiri waendelee kufanya watakavyo au kuwawahi kabla hawajatudhuru?
Hakuna haja ya kulumbana nilivyokusoma wewe ni aina ya wale wanaofurahi kusikia serikali imeshindwa kufanya jambo fulani lakini hata pale wanapotekeleza hawaishi kutoa kasoro,au labda bichwa lako box maana hao habari leo wamemnukuu waziri akikanusha hiyo habari ya the citizen wakati huo huo akieleza mpango wa utekelezaji huo mradi bila kuhusisha maboresho ya hizo bandari nyingine,kufanya hivyo maana yake anabainisha uongo wa dhahiri ulioandikwa na the citizen; Sasa nashangaa unaposhindwa kuelewa ndio maana nakuweka ama ni mtu mwenye roho ya kwanini au kumbe nabishana na mwehu fulani bila kujua.
1. You're wrong! Huna haki milki ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni serikali yetu wote - mafanikio yake ni mafanikio yako na yangu na matatizo yake au kushindwa kwake ni mtataizo na kushindwa pia kwako na kwangu.
2. Sifurahii serikali yangu kuandikwa vibaya inapofanya vizuri (na sifurahii pia serikali yangu kusema inafanya vizuri kama inaonekana haifanyi hivyo).
3. Ninapenda tunapofanya vizuri tuseme na pale tunaposhindwa kufanya vizuri pia tukubali na kufanya bidii ya kurekebisha.
4. Tatizo katika mada hii ni kwamba hutuna facts zinazoonyesha jinsi The Citizen lilivyoandika uongo vs ukweli ambao haukuandikwa.
5. Binafsi siwezi kukubali kitu bila ya kupima uzito wa hoja. Dhamiri yangu inanikataza kuwa mtu wa mkumbo - mpaka nijiridhishe mwenyewe.
6. Siwaogopi wanaowa'label' wengine kwa sababu ya kushindwa kwao kuleta ushahidi au sababu wanazodai ndizo za kweli.
Tatizo lingine ni kuwa viongozi wetu hawaamiki kwa kauli zao. Wananchi wanapoteza imani na kurukia 'sensational information' Kwa mfano, gazeti hilo lilipoandika kuhusu Escrow, serikali ilianza kwa kukataa uwepo wa tatizo.
Later on ikajadhihirika ni ukweli mkubwa kuliko tunavyojua. Hapo wananchi wakahamisha uaminifu kutoka serikali na kulipa gazeti na wao sasa wanatumia hiyo opportunity kwasababu 'market na consumers wapo tayari' Nani kawatengenezea, serikali
Habari ikiandikwa na gazeti la The Nation inaweza kusomeka kama propaganda.
Inapoandikwa na gazeti la nyumbani, inachukua sura tofauti kabisa.
Na hao wamelijua hilo ndiyo maana wameanzisha magazeti hapa kwetu.
Kwa masilahi mapana ya Taifa serikali ifanye jambo, ni ngumu kuzuia freedom of speech lakini kuna namna serikali na mikono yake mirefu inaweza ku deal na watu wa namna hii
Tatizo ninaloliona mbeleni ni siku moja wanaweza kutupa uchafu tukavurugana. Tayari wameshaona 'mafanikio' Je, tusubiri waendelee kufanya watakavyo au kuwawahi kabla hawajatudhuru?
1. Umeanza ku'argue' vizuri and all of a sudden na wewe ukaanguka kwenye fallacy.
2. Kwa nini msilete hiyo habari iliyondikwa na The Citizen, ambayo mnasema ni ya uongo na habari ya kweli ili tujadili vitu tukijua ukweli na uongo wake?
3. Kwa nini tunapenda kujadili 'speculations'?
4. Sidhani kama uzalendo ni ku'reason' kwa namna hii.

Hizo habari hazikuandikwa na The Citizen directly Ila zimekuwa quoted from The East African. Hata Bloomberg waliquote hiyo habari ya Tanesco kufloat shares zao.
Magazeti sometimes hutumia habari kutoka chombo kingine, wakenya wanachezaga sana tricks hizi kwa ku quote magazeti yaliyofungiwa au off shoot journals kuepuka litigation na kusambaza propaganda. Haya magazeti yapo connected na vyombo vya usalama vya Kenya.
They are very lucky and hence effective kwa sababu watanzania tu wavivu wa kusoma na Hata tukiwa na moyo wa kusoma huwa hatujui kusoma.
Hint: The most important part ukisoma gazeti ni mleta habari na quotations....
Ninarejea hoja zangu. Kwanza nilisema habari hiyo imetolewa na hakuna waziri aliyelalamika
Pili, nikasema haijakanushwa jambo ambalo ukisoma link utaliona
Kobelo kasema wame quote kutoka 'The East Africa'
Ninajiuliza, kwanini taarifa ya serikali haikusema habari hiyo haikuwa sahihi
Kwanini taarifa ya serikali haikukanusha kama aliongea katika eneo fulani
Kwa upande mwingine, sikumbuki kuona habari hiyo gazeti lingine la ndani(kama ipo sikuiona)
Tatu, anayeleta mkanganyiko huu ni serikali na ndicho chanzo cha 'consumer' kujadili habari kwa mitazamo yao.
Lakini pia magazeti ya Kenya yamekuwa mbele katika kutoa tuhuma zingine zikiwa hazina facts.Tunakumbuka 'The Economist' na tunajua yule mwandishi anayeitwa Kamau Warigi
ESCROW haikuibuliwa na gazeti lolote hapa nchini. Na for your information hakuna kashfa yoyote hapa nchini iwe ni EPA, Twin towers za BOT, na kadhalika iliyowahi kuibuliwa na gazeti. Tanzania hakuna waandishi wa habari makini wanaoweza kufanya investigative stories. Wanachofanya ni kuandika kile ambaqcho kimezungumzwa iwe ni bungeni, mahakamani au kiongozi mmoja kwa taasisi kutoa leak kwa sababu zake. Waandishi wa habari wengi hapa nchini wamenunuliwa na wako kwenye payroll ya wafanyabiashara na viongozi wa kisiasa.
Kashfa Mbili Kubwa Zilizowekwa Wazi Na Rais Magufuli Zinathibitisha Hizi Taarifa Zako - MUHASIBU WA POLISI KUJILIPA MAPENE YA WATUMISHI HEWA,UTOROSHAJI WA MAKONTENA BANDARINI NA MTU WA BANDARI WA MISHAHARA 17 KWA DAKIKA.TANZANIA HAKUNA MWANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI,NI WAZEE WA PROPAGANDA TU ZA WANASIASA.
Hivi karibuni hili gazeti limekuwa na Tabia ya kutunga habari sijui kwa maslahi ya nani.
mtakumbuka wiki iliyopita iliandika habari na ikidai kumnukuu waziri wa nishati na madini mh.Sospeter Muhongo kuwa serikali ina mpango wa kuuza hisa zake kwa 49%, Mara serikali ikakanusha habari hizo tena ikaenda mbali zaidi kwa kukana hata waziri kuzungumza na mwandishi yeyote wa gazeti hilo.
Kama hiyo haitoshi juzi tena wamekuja na habari ya serikali eti imesitisha ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo lakini muda si mrefu nimemuona waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano mh.Makame Mbarawa kwenye taarifa ya habari ya TBC1 akikanusha habari hiyo ya gazeti la citizen.
na kueleza kuwa mchakato unaendelea kama kawaida ikiwa ni pamoja na ulipaji fidia kwa watakaopisha mradi huo pia wataalam wetu na wa nchi tunazoshirikiana nazo katika mradi huo kutoka nchi za China na Oman wanaendelea na kazi ili kufanikisha ujenzi huo,sasa sijui hili gazeti lina mkakati gani juu ya nchi yetu.
Natoa wito kwa serikali kulifuatilia ikiwezekana walifutilie mbali maana naona wana lao jambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.