Ila kuna Watu mna logic za kijinga kweli....kwamba Wafanyakazi wanafisadi mapato ya Shirika badala ya kuzuia leakage ya mapato na kuwachukulia hatua wahusika, kwako solution ni Waziri wa Fedha kuongeza tozo ili waibe zaidi. Hivyo kabisa.Habari.
Kwa wanaoshangaa wazo la waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba la kuja na tozo kwenye miamala ya simu ili aweze kupata fedha za kukamilisha miradi ya kimaendeleo wanaombwa kusoma gazeti la nipashe la leo limekuja na ripoti maalum ya upotevu wa mabilioni ya fedha kwenye shirika la ndege la ATCL kupitia posho mbalimbali wanazolipana wafanyakazi!
Kwa maana nyingine kuna upotevu mkubwa wa kodi na mapato mbalimbali yanayokusanywa na serikali hivyo Mwigulu hana mbadala mwingine zaidi ya tozo ili akamilishe miradi yote.View attachment 1867358
Nenda ukamwandamanie Gaidi
Wakikamatwa hao wezi, chadema ndiyo wa kwanza kuwateteaIla kuna Watu mna logic za kijinga kweli....kwamba Wafanyakazi wanafisadi mapato ya Shirika badala ya kuzuia leakage ya mapato na kuwachukulia hatua wahusika, kwako solution ni Waziri wa Fedha kuongeza tozo ili waibe zaidi. Hivyo kabisa.
Baadaye mnamlaumu mwendazake na kusema mandege Yana hasara haya. Tena yamenunuliwa kwa cash.
Mama ni dhaifu sana kakalia kiti kupoteza muda tu kwa nchi yetu pale ATCL panahitaji tax force special pia na brt pamoja na trcNdiyo hapo sasa, usimamizi umelegalega
Huo ndiyo upumbavuu wa viongozi uchwara wa sasa baada ya kuwashughulikia mafisadi na ufujaji wa mali makalio yao yanawaza kuwanyonya masikini kweli jpm tutamkumbuka ,siyule alisema kunashimo kwenye mgodi wa tanzanite mbona hatuoni chochote kudhibiti ili kuongeza Mapato ya serikali badala yake ndiyo kwanza kaanza tena kutorosha makinikia kumnufaisha mzungu dhidi ya nchi yake mwenyeweWakishafuja pesa huko option pekee inabaki kuwakamua Wananchi kwa kisingizio cha uzalendo.
Kwa nini uzalendo usianzie kwao kwa kuacha wizi na ubadhirifu?
Hakuna hoja yoyote ya uzalendo bali ni matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya raia wa kawaida.
Zabayanga 😂😁Mwigulu na Huyu Makamo wa Rais
Ni wapuuzi sanaaa sana tu
Kwa hiyo chadema hata wakiwa magaidi wasiulizwe?Haya ndio mambo ambayo rais anatakiwa ashughulikie sasa ni uchumi gani anao singizia kujenga wakati hela zinapigwa hivyo.
Aache kufukuzana na Chadema, huo ni ujinga, asifikiri siku zote atakuwa na tume ya uchaguzi ya kumuibia kura, historia inaweza ikaandikwa upya na akatumikia awamu moja tu.
Nenda kawafute kaziHuna akili kabisa
Marekani asijue gaidi ila Tanzania ambayo ni shithole ndio ijue.. This is fantastic...!!!Kwa hiyo chadema hata wakiwa magaidi wasiulizwe?
Wewe maza hana mpango wa kugombea akimaliza muda wakeHaya ndio mambo ambayo rais anatakiwa ashughulikie sasa ni uchumi gani anao singizia kujenga wakati hela zinapigwa hivyo.
Aache kufukuzana na Chadema, huo ni ujinga, asifikiri siku zote atakuwa na tume ya uchaguzi ya kumuibia kura, historia inaweza ikaandikwa upya na akatumikia awamu moja tu.
Yaani jamaa alikuwa muongo dunia nzima hakuna.Sitosahau ile siku Mwendazake aliyopokea gawio toka ATCL na kutuaminisha kuwa shirika linaingiza faida kumbe linaingiza hasara kwa miaka 5