Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

mi nadhani amekata tamaa ya urais, kaamua kuwa mjasiriamali kwa ku invest tanzania pesa alizoiba,hiyo ni nzuri,ndugu zetu kina balile na manyerere watapata kazi,atalipa kodi,atamsaidia rais kutengeneza ajira "milioni moja" na kukamilisha ile ndoto yao ya miaka mingi ya kuwaletea maisha bora kwa kila mtanzania
 
Mpayukaji, umejuaje kama ni uongo?, umepimaje: kwa dipstick, meter, hydrometer Kva, pascala au kwa ritcha. Tujuze tafadhari.
Huu uongo nenda kawaambie Lowassa, Kikwete na hao akina Balile wako. Wakati mwingine kama huna la kusema ujinyamazie badala ya kuonyesha upumavu wako.
 
Aanzie hapa kwao Meru! Huo moto hautazimika! Mradi tu alete A-K 47 za kutosha

Wazo lako ni zuri mkuu,kwani hata libya ni hizo AK-47 ndizo zilizo pindua nchi,mi naamin watanzania tukizipata nadhan itakuwa poa kwan wakisema tusiandamane ili kupinga malipo ya dowans sisi tuna andamana na wakileta rorongo tu tunachapana risasi hapa watu wana maisha magumu halafu yeye anatuletea mambo ya magazeti mmch....shenzi type
 
nampongeza atatoa ajira. vipi kuhusu Arusha broadcasting Corporation tv? tuliambiwa anaanzisha ABC tv-
 
Taarifa ni kuwa Lowasa katika mkakati wa urais wa 2015 anaanzisha magazeti 5 kwa mpigo ili kufanya kampeini kuanzia sasa.Gazeti la kwanza litaanza kuchapishwa wiki ijayo Linaitwa Jamhuri litakuwa chini ya Deodatus Balile na waandishi wengine akiwemo Manyerere nk.Litaaanza likiwa linatika kila wiki.
Chanzo ni mimi mwenyewe,niko jikoni.

Siyo sahihi. nami nimeambiwa na mtu aliye jikoni, Jamhuri siyo gazeti la Lowassa. Ni gazeti ambalo analigharamia Deodarus Kamala, yule aliyekuwa Mbunge wa Nkenge na Waziri wa EA.

Kwa kifupi ni kwamba baada ya kusota pale Habari Corp miezi kadha bila mishahara, akina Balile somehow wamemshawishi Kamala kutoa mahela yake kuanzisha gazeti ambalo nina hakika 100% halitadumu, hasa kama litaongozwa na Balile. Huyo jamaa ana kichwa cha nazi kabisa.
 
Kama anataka kuchukua nchi before 2012 nitamuunga mkono alimradi tu afanye yafuatayo kabla ya kuitisha uchaguzi huru in 120 days

1؛‎ tume ya uchaguzi aibadili iwe huru
2. Jeshi la polisi alifanyie badiliko kuu
3. Mahakama atengue uonevu wote
4. Takukuru na TRA atoe wote iundwe mpya.
5. Urasimu kwa ofisi za umma atupe kule
6. Arudishe thamani ya shilling yetu
7. Rasilimali zetu zirudi kwa wazalendo

Mengine tutafanya sisi
 
Add kila mtz anahaki ya kupata kazi UWT
 
bora aanzishe hilo gazeti manake itakuwa ni vita vya makundi ya magamba, na ndipo hapo magamba watakapoanza kuvuana nguo waziwazi,na kama itakuwa hivyo itakuwa raha sana kwani vita vya panzi........
 
Siyo sahihi. nami nimeambiwa na mtu aliye jikoni, Jamhuri siyo gazeti la Lowassa. Ni gazeti ambalo analigharamia Deodarus Kamala, yule aliyekuwa Mbunge wa Nkenge na Waziri wa EA.

Kwa kifupi ni kwamba baada ya kusota pale Habari Corp miezi kadha bila mishahara, akina Balile somehow wamemshawishi Kamala kutoa mahela yake kuanzisha gazeti ambalo nina hakika 100% halitadumu, hasa kama litaongozwa na Balile. Huyo jamaa ana kichwa cha nazi kabisa.

Taarifa ni kuwa Lowasa katika mkakati wa urais wa 2015 anaanzisha magazeti 5 kwa mpigo ili kufanya kampeini kuanzia sasa.Gazeti la kwanza litaanza kuchapishwa wiki ijayo Linaitwa Jamhuri litakuwa chini ya Deodatus Balile na waandishi wengine akiwemo Manyerere nk.Litaaanza likiwa linatika kila wiki.
Chanzo ni mimi mwenyewe,niko jikoni.

​sasa kati yenu nyinyi wawili nani tumwamini?
 
Huyu mzee kazi anayo, akianzisha chochote ni urais tu, nina hakika hata akianza kula kitimoto badala ya ndafu kama alivyozoea, itakuwa ni tafsiri ya mbio za kwenda 2015;
 
Huyu mzee kazi anayo, akianzisha chochote ni urais tu, nina hakika hata akianza kula kitimoto badala ya ndafu kama alivyozoea, itakuwa ni tafsiri ya mbio za kwenda 2015;

du mwanangu huyu mzee yaelekea mnajuana sana!unajua mpaka anachopenda kula???!!!
 
Huu ufalme utanyang'amywa kwa wanaofikiria ni wa kwao watapewa watu wengine wa mataifa. mambo si marahisi kiasi hiki
 
Habari nilizozipata usiku huu ni kwamba gazeti mnalolisubiri kwa shauku kubwa liitwalo JAMHURI linalomilikiwa na EL nitaingia mtaani Jumanne hii.

Anzeni kupata toleo la kwanza hadi mfikie hatua ya ku-judge kama linampigia debe kweli EL kwa 2015, linampigia debe kwa 2012 CCM chaimanship au kuna jingine nyuma ya pazia.

Tahadhari: USINIULIZE SOURCE PLZ

Back
Top Bottom