Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Sasa issue ni nini mkuu?
Taarifa ni kuwa Lowasa katika mkakati wa urais wa 2015 anaanzisha magazeti 5 kwa mpigo ili kufanya kampeini kuanzia sasa.Gazeti la kwanza litaanza kuchapishwa wiki ijayo Linaitwa Jamhuri litakuwa chini ya Deodatus Balile na waandishi wengine akiwemo Manyerere nk.Litaaanza likiwa linatika kila wiki.
Chanzo ni mimi mwenyewe,niko jikoni.
Labda aanzishe Geshi au kikundi cha waasi ndio watu tutamsapoti.
Labda aanzishe Geshi au kikundi cha waasi ndio watu tutamsapoti.
Huu uongo nenda kawaambie Lowassa, Kikwete na hao akina Balile wako. Wakati mwingine kama huna la kusema ujinyamazie badala ya kuonyesha upumavu wako.
TV yake last year ilikuwa kwenye final stages vipi wadau mlio karibu na vyanzo vyake tujuzeni. Radio ndiyo najua inadunda as of now.Taarifa ni kuwa Lowasa katika mkakati wa urais wa 2015 anaanzisha magazeti 5 kwa mpigo ili kufanya kampeini kuanzia sasa.Gazeti la kwanza litaanza kuchapishwa wiki ijayo Linaitwa Jamhuri litakuwa chini ya Deodatus Balile na waandishi wengine akiwemo Manyerere nk.Litaaanza likiwa linatika kila wiki.
Chanzo ni mimi mwenyewe,niko jikoni.
akianzisha INTARAHAMWE ya TZ, tuko nyuma yake wengi tumechoka na ujinga. Lakini akifanikiwa kuingia kilingeni kwa uasi, tutampa siku 120, aitishe uchaguzi huru na haki kutegemeana na mabadiliko yaliyofanywa kwenye jeshi la polisi, jeshi la wananchi, tume ya taifa ya uchaguzi, na muund wa upatikanaji wa wasimamiizi wa uchaguzi walio huru zaidi