Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

Hivi umeeleweka mkuu? Issue hapa ni kwamba gazeti limeboa. Wewe una maoni gani?
maoni ya nini na magazeti bigG??? kama limeboa linaletwa JF la nini kama sio promo?

kumbuka promo inaweza kuwa kwa negative aupositive publicity
 
Ndio wakuu
Kama ilivyotabiriwa,mafisadi tayari wamepenyeza gazeti lao jipya mtaani.Kazi kubwa kuelekea uchaguzi 2015,yetu macho.Deo Balile ndio analisimamia na Shyrose mwali wa Lowasa kesha toa baraka zake.
 
Eti na kauli mbiu yao inasema 'Tunaanzia walipoishia wengine'. Je ina maana wenyewe kazi yao ni kusubiri habari ziandikwe na magazeti mengine then wenyewe wanaandika habari kuzi-Counter hizo habari zilizoandikwa na magazeti mengine.
 
.....na lenyewe litakufa kama lilivyokufa gazeti la BAHARI mwaka ule
 
'Tunaanzia walipoishia wengine'..
Welldone JAMHURI, karibu ukumbini. Mkiandika vitu vya maana mtastawi, mkiandika visivyouzika gazeti litafutika na kufa kifo cha mende.:A S 465:
 
Fanya wafanyavo LOWASSA hasafishiki, wadanganyika tumeamka na hatuko tayari kuedelea kudanganywa, hatuko tayari kuona watu wanachukulia advantage ya umaskini wetu kujinufaisha wao, hatuko tayari kuona MWIZI ambae huhitaji uwe na degree kumfahamu kuwa Mwizi anachukua nyumba yetu nyeupe ambayo baba yetu alituambia pale ni sehemu patakatifu.

Lowassa usipoteze pesa, nguvu na muda wako bure, amini ukiwa raisi kwa HILA nchi hii haitotwalika, tutakuwa tayari kuipigania taifa letu kwa gharama yoyote, tutalinda heshimana utu wetu
 
Wadau hili gazeti mbona linakuja na majina ya matapel kila siku na wauza sembe nyuma ya haya mambo ni nini?
 
Wadau hili gazeti mbona linakuja na majina ya matapel kila siku na wauza sembe nyuma ya haya mambo ni nini?

Hao watakuwa wanajua majina sahihi na hayo watoayo labda ni katika kuficha ukweli ili akili ihame.
 
To distract us from main issues only. Mliivalia njuga ile ya Job Ndungai last week, ikaonekana kana kwamba hana uwezo wa kujinasua, sasa ghafla yamekuja majina ya wauza unga, tuyafanyeje? Je, ni wale wa JK? No, then what? Tanzania tutayumbishwa tu na haya magazeti hata lini?
 
ana moyo,labda kibogoyo ndo maana haogopi kung'olewa meno,atang'olewa nini wakati hamna meno
 
kinachonishangaza ni jinsi anavyotegemea mnigeria joshua kumwingiza ikulu
joshua got nothing to do in this land,nenda akakufanye uwe rais wa nijeria
tamaa mbele mauti nyuma
Hapana Joshua ana kosa gani hapa? Umewahi kumsikia wewe akimendorse EL? Mbona Lowasa anawatisha sana mpaka mnakuwa provoked kutukana watumishi wa Mungu? Usimdhihaki mtumishi wa Mungu kwa manyang'unyang'u ya Lowasa and Co. Stick kwa EL tu.
 
Lowasa at work na mipesa yake watu wanakuja na visahani vya kuzugia tu hapa et tuwachangie yan tuchangie mafisadi kwenda ikulu lipeni tu hela za lowasa na ole asipate urais mtatoa.......???????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom