Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
View attachment 3419607
Screenshot_20250727-093632_1.jpg
Screenshot_20250727-093641_1.jpg
Screenshot_20250727-093726_1.jpg
 
Hamas ni masheitwan ...jamaa hawajali Bora wafe na kuangalia watoto wakifa njaa kuliko wao ku surrender..hio sio akili ya kawaida
Wa Israeli pia wanakosea sana. Ilitakiwa wawaue wapalestina wote ili vita ikome,hii ya kuwapiga na kuwaacha itakuwa kila siku ni vita tu. Wawaue wote
 
Wewe endele kujidanganya na mahaba yako wakati unaona watoto wanalia njaa nchi ipo magofu na mwanaume anaendelea kuipiga syria.

Unashindwa kujiongeza kwa nini ka-nchi kadogo kanaendelea kuzipa mkong'oto nchi inazozizunguka
Hivi Syria nayo ni nchi kwa sasa kusema unapambana nayo? Israel imepambana na Iran ikisaidiwa na US kwa siku 12 tu, mbona wameomba ceasefire?
 
Mpango ni kuwafukuza kutoka Gaza! Mkakati wa kulazimisha waondoke ni vita,kubomoa makazi yao na kuwanyima chakula.
Wataondoka wenyewe!
Then Gaza itakuwa sehemu ya ardhi ya Taifa la Usrael.
 
Yaani raia watoe ushirikiano kwa Israel ili freedom Seekers ( Hamas) wakamatwe na kuuawa? Wale ni watu waliochoshwa na udhalimu. Hawapo radhi kuwasaliti wapigania uhuru kwa hongo ya chakula.
Hata huko ulipo nchi yenu ikivamiwa si ajabu itakuwa wa kwanza kuwaonesha maadui walipo askari wa nchi Yako.
Basi wacha tu waendelee kupigwa...
 
Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..

View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..

View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I


Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..


View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo



Hii vita IDF imeshindwa...

Nyie ndio mnawaponza watu wa Gaza hivi kuna haja yakuwashikilia mateka kwa hali hiyo kweli? Kama unawapigania watu wako utawaokoa na kuwaepusha Hamas wanafanya nini cha kupongezwa zaidi ya ujinga tu humo.
 
Chakula kikipelekwa Hamas wanachukua chote maana na wao njaa zinawauma, hapo unataka iweje?
Kazi za za askari ni pamoja na kutambua unayapambana nae,alipo na kumuangamiza,sio kuua raia na watoto,wasio na hatia wala silaha, Israeli wanafanya unyama na itawagharimu siku si nyingi.
 
Kazi za za askari ni pamoja na kutambua unayapambana nae,alipo na kumuangamiza,sio kuua raia na watoto,wasio na hatia wala silaha, Israeli wanafanya unyama na itawagharimu siku si nyingi.
Hao askari wanatokea wapi? Mfano hapa kwetu bongoland let say askari wanatokea wapi mpaka wanakua askari sio uraiani huku kamaliza 4 tangazo la upolisi na uanajeshi na yeye kaliunga si ndio au sio? Piga hukohuko hao hao unaosema ni raia kesho wanakua askari waliingia Israel na mavazi ya kiraia, hivi zile video hukuziona au ulikua umekufa kidogo? Ile video wakiwa wanampiga mabisu yule mtanzania na kumshindilia risasi akiwa tayari ameshakufa chini wanammiminia risasa hukuona wewe?
 
Kazi za za askari ni pamoja na kutambua unayapambana nae,alipo na kumuangamiza,sio kuua raia na watoto,wasio na hatia wala silaha, Israeli wanafanya unyama na itawagharimu siku si nyingi.
Jamaa waliingia uraiani kila wanaemkuta wanamtia mabisu au wanammiminia risasi kila wanaemkuta wamekuta mkeo wamempenda wanambaka wewe upo na mkeo wewe wanakuua mkeo wanamchukua hukuona ile video mtu na mkewe jamaa kauliwa mkewe kachukuliwa wameenda kumla, hivi wewe zile video ulikua hauzioni au leo hii ndio unaona huruma, tena wenyewe walikua wanashangilia sana kwamba wameshamaliza kila kitu ulikua huoni wewe, mkeo watoto wako wanavamiwa wanauawa kikatiri kwa kukimbizwa au nikuwekee zile video uanze kuangalia upya?
 
Kazi za za askari ni pamoja na kutambua unayapambana nae,alipo na kumuangamiza,sio kuua raia na watoto,wasio na hatia wala silaha, Israeli wanafanya unyama na itawagharimu siku si nyingi.
Yule mtanzania wamemkamata akiwa anatembelea baiskeli masikini ya Mungu hana hili wala lile wakamkunja shati jamaa kajitetea saaana kua yeye sio sio wasimuue wamuachie aende aah wapi jamaa wamechomoa bisu wamemkita cha kifua wakamshindilia tena kingine cha tumbo akiwa amelala chini damu zinamwagika na kutapakaa wakaona haijatosha huyu mbono mbongo huyu km hajafa vizuri wakamshindilia na risasi za kutosha za kichwani na mwilini km wanamwagia risasi kwenye gogo, hivi wewe unaishi dunia ipi kwa ule unyama tena walikua wanauonesha wakiwa wamevalia mavazi ya kiraia mbele ya camera km wanafanya cinema ili dunia nzima ione wanachofanya na wanarusha kwenye social media wewe ulikua wapi?
 
Back
Top Bottom