Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Nyie ndio mnawaponza watu wa Gaza hivi kuna haja yakuwashikilia mateka kwa hali hiyo kweli? Kama unawapigania watu wako utawaokoa na kuwaepusha Hamas wanafanya nini cha kupongezwa zaidi ya ujinga tu humo.
IDF kwanini isipigane na Hamas, kwanini watese raia ambao hawana hatia, IDF imeshindwa kuwapata mateka walipo hivyo wanachofanya ni kuwatesa raia ili UN waingilie kati...
 
Wanadai israel ni taifa la Mungu kwa hiyo wanatembeza kichapo na kufanya watu wauae (vijana, wanawake na watoto) na wengine kufa njaa kwa maagizo ya Mungu
 
Wapalestina wengi wapo pamoja kihisia, kisiasa, na kijeshi na hao Hamas. Vijana pekee waliojitolea kuhakikisha ardhi na utambulisho wao unarudi hata kama kwa damu .si rahisi kuishi under occupation ya wazungu kutoka Urusi, Marekani, Poland, nk.
Kwaio kwa sasa utambulisho wao umerudi baada ya kuua watu October 7? Watoto kwa wanawake na wazee wameshika mabakuli wanalia njaa ..huo ndio utambulisho hamas wanautaka si ndio..
 
Kwa hio wewe unapoingiliwa kwenye Himaya yako hutakiwi kumfurusha yule aliekuingilia, unataka kusema Iddi Amini 1975 alikua sahihi kuivamia Kagera?
Tulipomfata iddi amini Uganda..tuliua raia au tuli Dil na jeshi la uganda?
Vita Israel wameshindwa ndio maana wana ua raia kwa hasira
 
Nani aliwatuma oct 07 kufanya wanaweza kushambulia Israeli wacha wapate walicho staili
Acha kua na akili za upinde octeber 7 ilikua ni matokeo ya uovu wa Israel
Cku izi hta wachungaji wenu akili imeanza kuwarudi juu ya hilo taifa
Kua ni la kishetani
 
Kwa hio wewe unapoingiliwa kwenye Himaya yako hutakiwi kumfurusha yule aliekuingilia, unataka kusema Iddi Amini 1975 alikua sahihi kuivamia Kagera?
Kati ya Israel na Palestine nani kaingia kwenye himaya ya mwenzake?
 
Lengo la Mayahudi wanataka Watengenezee taifa linaitwa Great Israel Gaza washaichukua wataichukua Syria, Lebanon, Jordan, Cypress,Misri hadi nusu ya Irani ili waunde taifa lao.
 
Epuka propaganda za kitoto.
Hao Hamas wanapigana kwa ajili ya gaza na wananchi wa gaza licha ya mateso lkn bdo wanawakubali
Asa iweje chakula wachukue wao?
Haingiiii akilini izo ni propaganda za kitoto nawe mkubwa umeingia mkenge
Chakula kikipelekwa Hamas wanachukua chote maana na wao njaa zinawauma, hapo unataka iweje?
 
Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..

View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..

View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I

Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..

View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo

Hii vita IDF imeshindwa...

Kwaio unadhani askari huyo unaeleta propaganda hapa kua amekufa ndio itawasaidia hao magaidi wa hamas? Unajua magaidi ya hamas yamekufa mangapi? Na Bado wanawatumia wanawake na watoto kama cover shield ..bloody fools kabisa ...wanasababisha wanawake na watoto wameshika mabakuli wanalia njaa ...waachie mateka na wajisalimishe ndio vita itaisha
 
Epuka propaganda za kitoto.
Hao Hamas wanapigana kwa ajili ya gaza na wananchi wa gaza licha ya mateso lkn bdo wanawakubali
Asa iweje chakula wachukue wao?
Haingiiii akilini izo ni propaganda za kitoto nawe mkubwa umeingia mkenge
Wanapigana kwa ajili ya Gaza? ..wakaenda kuua watu nchi nyingine wamama watoto wakike wakabakwa na kuuliwa...huko ndio kupigana kwa ajili ya Gaza? Eti wanawakubali? Una wazimu? Unaangalia hata international news? Wanawake kwa wanaume wanalia wanasema hao magaidi waachie mateka ili vita viishe waendelee na maisha yao..wamechoka mateso makali, eti wanawakubali...Yan Mimi nikukubali huku nakufa na njaa na watoto wangu wanakufa na njaa? Rubbish
 
Kwaio kwa sasa utambulisho wao umerudi baada ya kuua watu October 7? Watoto kwa wanawake na wazee wameshika mabakuli wanalia njaa ..huo ndio utambulisho hamas wanautaka si ndio..
Utambulisho wa taifa ni ghali sana . Kutafuta utambulisho wa taifa si kazi rahisi Mani. Jambo hili huja na mengi usaliti, vifo, maradhi na maumivu yaso kifani.
Binafsi siko tayari kutawaliwa ikiwa wazungu watakuja tena kututawala. Nitachukua shoka, visu na mapanga kupigania dhidi Yao. Wakoloni wapigwe vita!
Siku ya mwisho ikifika nitakuwa na swali kwa muumba juu ya choosen people! Palestinians will never Surrender to colonialist
 
Yule mtanzania wamemkamata akiwa anatembelea baiskeli masikini ya Mungu hana hili wala lile wakamkunja shati jamaa kajitetea saaana kua yeye sio sio wasimuue wamuachie aende aah wapi jamaa wamechomoa bisu wamemkita cha kifua wakamshindilia tena kingine cha tumbo akiwa amelala chini damu zinamwagika na kutapakaa wakaona haijatosha huyu mbono mbongo huyu km hajafa vizuri wakamshindilia na risasi za kutosha za kichwani na mwilini km wanamwagia risasi kwenye gogo, hivi wewe unaishi dunia ipi kwa ule unyama tena walikua wanauonesha wakiwa wamevalia mavazi ya kiraia mbele ya camera km wanafanya cinema ili dunia nzima ione wanachofanya na wanarusha kwenye social media wewe ulikua wapi?
So sad, japokuwa sijaona hilo tukio
 
Wew unawahurumia wenzako wana ticket ya peponi, jitathimini kwanza wewe kabla ya kuwahurumia. Waonee wivu na uwaombee chakula yaàni rizki ziwafikie Kwa wakati Hilo ndio hitaji lao kubwa
 
Lengo la Mayahudi wanataka Watengenezee taifa linaitwa Great Israel Gaza washaichukua wataichukua Syria, Lebanon, Jordan, Cypress,Misri hadi nusu ya Irani ili waunde taifa lao.
Wajinga hawa hawashindwi
 
Kwaio unadhani askari huyo unaeleta propaganda hapa kua amekufa ndio itawasaidia hao magaidi wa hamas? Unajua magaidi ya hamas yamekufa mangapi? Na Bado wanawatumia wanawake na watoto kama cover shield ..bloody fools kabisa ...wanasababisha wanawake na watoto wameshika mabakuli wanalia njaa ...waachie mateka na wajisalimishe ndio vita itaisha
Nakuonyesha ukweli wa kinachoendelea Gaza, IDF inashindwa kuwapata mateka...
Askari wa IDF wanapigwa ambush za kufa mtu, mkisikia Hamas usifikiri ni warahisi...
Hapo kwenye hio ambush umeona Hamas wamejificha kwenye kundi la watoto?

IDF haina uwezo kukabiliana na hao Hamas.. huo ndio ukweli...
 
Walioanza kuua wenzake ni Israel... hadi 2023 Oct 7 kabla ya uvamizi Israel ilishaua Palestinians zaidi ya laki moja toka kuingia kwake pale 1948...

Sioni hamas walichokosea ilikuwa ni sawa tu..
Toka lini na kwa mujibu wa historia ipi isiyo na shaka hao wapalestina Israel palikuwa ni kwao?
 
Nakuonyesha ukweli wa kinachoendelea Gaza, IDF inashindwa kuwapata mateka...
Askari wa IDF wanapigwa ambush za kufa mtu, mkisikia Hamas usifikiri ni warahisi...
Hapo kwenye hio ambush umeona Hamas wamejificha kwenye kundi la watoto?

IDF haina uwezo kukabiliana na hao Hamas.. huo ndio ukweli...
Kituko hiki wapalestina wanaishi kama nguchiro, wakitegemea chakula cha msaada ambapo nacho hawakipati maana wananyang'anywa na hamas ambao nao njaa kali imewakumba halafu still unasema IDF haina uwezo wa kupambana na hamas🤣😂😅 hamas imeshindwa kupambana na IDF pamoja na kusaidiwa na Irani na magaidi wengine, Iran naye kakungutwa na gaza imebaki majivu halafu IDF imeshindwa 😅🤣😂
 
Toka lini na kwa mujibu wa historia ipi isiyo na shaka hao wapalestina Israel palikuwa ni kwao?
Israel pale ni kwao nani kasema? waliokuwa wanaishi pale ni Palestinians, wao wana claim vipi pale ni kwao?
Hivi jewish state inauambuaje ushoga na haki zao? wale ni wahuni tu waliotoka EU kwa kisingizio cha jewish state... jews wenyewe hakuna pale ni utapeli tu kuvuruga amani na kuiba rasilimali za middle east...
 
Back
Top Bottom