Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,702
- 6,332
Na haijaanza jana ama mwaka huu hio gaza kupigwa.. je sababu ni zipi kwa miaka iliyopitaChanzo ni wajinga Wachache sana walioingia Nchi ya wengine na kuanza kuua waliporudishiwa mapigo sasa
Na haijaanza jana ama mwaka huu hio gaza kupigwa.. je sababu ni zipi kwa miaka iliyopitaChanzo ni wajinga Wachache sana walioingia Nchi ya wengine na kuanza kuua waliporudishiwa mapigo sasa
Ni rahisi kuwaita wajinga kwa sababu haupo nafasi yao.Chanzo ni wajinga Wachache sana walioingia Nchi ya wengine na kuanza kuua waliporudishiwa mapigo sasa
Kwanini wasalim amri ?Hamas ni masheitwan ...jamaa hawajali Bora wafe na kuangalia watoto wakifa njaa kuliko wao ku surrender..hio sio akili ya kawaida
nyinyi wa oktoba 7 ndo mbumbumbu zaidiUsiue hautouliwa ukiua na wewe utauawa jamaa wa Hamas kutoka Palestina ambao wapo Gaza mpaka leo waliingia Israel wakaanza kuua wakaendelea kuua wakaua tena wakaua na majigambo mpaka kwenye social media mbwembwe kibao mpaka raia wasiohusika kabisa (Watanzania pia waliuawa), sasa kimewarudi kweli waliosema Karma is a Bitch hawakukosea
Pale ni kwao kivipi hali yakuwa 1948 wamewakuta Palestinians? nani kamvamia mwenzake?Kwa hio wewe unapoingiliwa kwenye Himaya yako hutakiwi kumfurusha yule aliekuingilia, unataka kusema Iddi Amini 1975 alikua sahihi kuivamia Kagera?
Taifa la kidemokrasia hapo mashariki ya kati linapapendezesha GazaHali ya Gaza ni mbaya sana
Ninachojiuliza wapalestina ambao ndani yao ndimo Hamasa walimo kwanini wasitoe ushirikiano kwa majeshi ya Israel kueleza wanakojificha ili waweze kushughulikiwa na kumalizwa kabisa...Hamas ni masheitwan ...jamaa hawajali Bora wafe na kuangalia watoto wakifa njaa kuliko wao ku surrender..hio sio akili ya kawaida
Hiyo mbinu imeshafeli. Hizo ZITAKUWA hasira za askari wa IDF kuuwawa. Wanawafanya wafiwa na wanafuatilia wabunge mkono Hamas kuliko kabla.Wameshindikana sasa msilie watu wanakufa njaa acheni wafe njaa hivyo hivyo mpaka hicho kizazi chote kiishe kije kizazi kingine
Tatizo naona ni chuki waliyopandikiziwa since wakiwa wadogo kizazi hadi kizazi.Ninachojiuliza wapalestina ambao ndani yao ndimo Hamasa walimo kwanini wasitoe ushirikiano kwa majeshi ya Israel kueleza wanakojificha ili waweze kushughulikiwa na kumalizwa kabisa...
Ile ni coward army IDF inapaswa kupambana na Hamas sio hiki wanachofanya kama wao ni wamba wawaangamize Hamas na sio kuua raia wasio na hatia wanaochukua misaada.Wameshindikana sasa msilie watu wanakufa njaa acheni wafe njaa hivyo hivyo mpaka hicho kizazi chote kiishe kije kizazi kingine
Watavuna walichopanda...Tatizo naona ni chuki waliyopandikiziwa since wakiwa wadogo kizazi hadi kizazi.
Israel inatumia njaa kama silaha ya kivita, huu ni uhalifu mbaya sana kwa ubinadamu.Sikutegemea kwamba itafika stage kwenye hii vita ,wapalestina wanakufa kwa njaa. Mashirika na jumuiya za kimataifa ziingilie kati tu kumaliza hii vita. Nchi za kiarabu zisikae kimya pazeni sauti. Ombaneni msamaha
View attachment 3419607