Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Israel amekataa kusitisha vita...
Sharti kubwa la Israel kusitisha vita ni Hamas wasioongoze tena Gaza. Mahmoud Abbas na mamlaka yote ya Ramallah wamewaomba Hamas waachie uongozi wa Gaza ili kunusuru maisha ya raia, Hamas wamegoma, wanaendelea kujificha kwenye makundi ya raia. Na Netanyahu ameapa kuwa Israel haitakubali kuwaona magaidi wa Hamas wanaongoza tena Gaza.

Misimamo hii mikali ya pande hizi mbili, itawafanya wapalestina wa kawaida waendelee kuangamia maana magaidi wa Hamas hawataki kuachana na mbinu yao ya kuwatumia raia kama ngao yao wakati wa mashambulizi ya Israel wakijua kuwa wakijitenga na raia, wakaishi kama jeshi, IDF itawaangamizi ndani ya muda mfupi sana.
 
Si kweli, magaidi ni IDF, unaweza kunambia Yahya Sinwar alipouawa alikua amejificha kwenye kundi la raia?
 
Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..

Hii vita IDF imeshindwa...
Wewe endele kujidanganya na mahaba yako wakati unaona watoto wanalia njaa nchi ipo magofu na mwanaume anaendelea kuipiga syria.

Unashindwa kujiongeza kwa nini ka-nchi kadogo kanaendelea kuzipa mkong'oto nchi inazozizunguka
 
Ninachojiuliza wapalestina ambao ndani yao ndimo Hamasa walimo kwanini wasitoe ushirikiano kwa majeshi ya Israel kueleza wanakojificha ili waweze kushughulikiwa na kumalizwa kabisa...
Hio ni shida nyingine..sijui wamelogwa ama nini naona wamekua mind corrupted wanawaficha magaidi na wako tayar wafe magaidi wapone...si tunaona hata kwenye muvi za kijeshi zinazohusisha america na magaidi, familia inaficha wahalifu na wako tu kimya ndivyo ilivyo.katika.maisha halisi
 
Chanzo ni wajinga Wachache sana walioingia Nchi ya wengine na kuanza kuua waliporudishiwa mapigo sasa
Sijui kwanini walifanya hivyo?

October 7 ? Ndiyo mrejesho kama huu? Walipeana sifa nyingi na sherehe walifanya. Sasa hii Hali kwakweli sio nzuri Hadi huruma
 
Wanangu nisiwadanganye wapalestina ni watu chuma. Wanapigana wakiwa na njaa Kali na bila maji. Ni sawa na
Na mabondia wawili moja amefanya maziezi amekula balanced diet na na nguvu (Israel) na mpinzani hana mazoezi, hana diet na pia kafungwa mikono kwa nyuma( Palestine) lakini aliyefungwa mikono nyuma anapigana kwa kun'gata na kutupa vichwa .
Palestinian will never Surrender to colonialist. Hawatakubali kushindwa hata kama vita hiyo itatishia kupotea kwa kwa utambulisho wao. Yaani kushindwa kwao itakuwa ni kupotea kwa maisha Yao watu hawa kwa jina Wapalestina.
 
Ninachojiuliza wapalestina ambao ndani yao ndimo Hamasa walimo kwanini wasitoe ushirikiano kwa majeshi ya Israel kueleza wanakojificha ili waweze kushughulikiwa na kumalizwa kabisa...
Yaani raia watoe ushirikiano kwa Israel ili freedom Seekers ( Hamas) wakamatwe na kuuawa? Wale ni watu waliochoshwa na udhalimu. Hawapo radhi kuwasaliti wapigania uhuru kwa hongo ya chakula.
Hata huko ulipo nchi yenu ikivamiwa si ajabu itakuwa wa kwanza kuwaonesha maadui walipo askari wa nchi Yako.
 
Wapo zaidi ya milioni 2, kwanini wasiandamane wawakatae kabisa hao Hamas ili waishi kwa amani maisha yaendelee?
Wapalestina wengi wapo pamoja kihisia, kisiasa, na kijeshi na hao Hamas. Vijana pekee waliojitolea kuhakikisha ardhi na utambulisho wao unarudi hata kama kwa damu .si rahisi kuishi under occupation ya wazungu kutoka Urusi, Marekani, Poland, nk.
 
Hii vita tuombe iishe tu wazee. Hali ni mbaya sana
 
Hio ni shida nyingine..sijui wamelogwa ama nini naona wamekua mind corrupted wanawaficha magaidi na wako tayar wafe magaidi wapone...si tunaona hata kwenye muvi za kijeshi zinazohusisha america na magaidi, familia inaficha wahalifu na wako tu kimya ndivyo ilivyo.katika.maisha halisi
Mkuu samahani ila inaonekana umemezwa sana kisaikolojia na muvi kama Just call from Kabul, na zingine kama Lone survivor.
 
Siku zote tunasema vita mbaya, tunaona vijana hapa wanashabikia kama timu zao za kariakoo, vita sikia tu kwa mwenzio sio itokee kwako!
 
Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..

View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..

View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I

Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..

View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo

Hii vita IDF imeshindwa...

Walinde usalama wa raia wao sasa
 
Nikifika Mbinguni kama kutakua na kipengele cha maswali, Ntauliza ilijuaje Mungu akawaita Israrli Taifa teule
 
Ujinga wa wanamgambo vichaa wachache wanaojifanya dini imewakolea ilhali kwa wanayoyafanya wameitwa mbwa wa motoni
 
Back
Top Bottom