Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Kituko hiki wapalestina wanaishi kama nguchiro, wakitegemea chakula cha msaada ambapo nacho hawakipati maana wananyang'anywa na hamas ambao nao njaa kali imewakumba halafu still unasema IDF haina uwezo wa kupambana na hamas🤣😂😅 hamas imeshindwa kupambana na IDF pamoja na kusaidiwa na Irani na magaidi wengine, Iran naye kakungutwa na gaza imebaki majivu halafu IDF imeshindwa 😅🤣😂
Hakuna hamas anaiba vyakula vya wananchi..
Unaweza kunieleza Hamas wanapata wapi silaha wanazotumia kupambana na Israel kwa miaka miwili sasa, maana Gaza yote imezungukwa kwa ulinzi mkali, hakuna kitokacho wala kinachoingia, je silaha, risasi, mabomu n.k wanapata wapi? na zenyewe wanaiba kwa wananchi?
 
Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..

View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..

View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I

Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..

View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo

Hii vita IDF imeshindwa...

Huna akili wewe tumbili!! Hata hujui mpaka sasa waja wa Allah mmekufa wangapi huko!!
 
Wew unawahurumia wenzako wana ticket ya peponi, jitathimini kwanza wewe kabla ya kuwahurumia. Waonee wivu na uwaombee chakula yaàni rizki ziwafikie Kwa wakati Hilo ndio hitaji lao kubwa
Pepo ipi? Kule waliko kina Osama bin laden na kina Yahaya Sinwar na kina Hassan Nassarah!?
 
Ingawa ukitazama picha za watoto bado afya zao hazisemi hiki mnacho kisema, watu wa Somalia, mashariki mwa Congo wapo vibaya kuliko hao Wapalestina BUT black man ana uchungu zaidi na Wapalestina kuliko weusi wenzio; bado sisi ni WATUMWA tulio huru.

Mwisho, vita vya hawa watu ni vya karne na karne, wamezoea kupigana na hawata acha, pigeni kelele au nuneni au furahieni, hawa wamezoea na hawataacha; sie tupambane na hali zetu
 
Hakuna hamas anaiba vyakula vya wananchi..
Unaweza kunieleza Hamas wanapata wapi silaha wanazotumia kupambana na Israel kwa miaka miwili sasa, maana Gaza yote imezungukwa kwa ulinzi mkali, hakuna kitokacho wala kinachoingia, je silaha, risasi, mabomu n.k wanapata wapi? na zenyewe wanaiba kwa wananchi?
Hamas wakijiandaa kwa mda mrefu ili kuvamia kule Kusini mwa Israel. Kuwa na bomu au risasi kwenye mahandaki ni kitu cha kawaida kabsa

Ndo maana OCTOBER 7 kila hamas aliyevuka mpaka alikua na silaha na bullet proof
 
Nimeuliza hizo silaha wanazotumia kupambana na Israel kwa miaka miwili wanazipata wapi? Hamas wapo zaidi ya 20000 sasa pale Gaza, hao wote wana bunduki AK 47, maroketi, mabomu ya kurusha na kutega... wana sniper.. hizo silaha za kupambana na IDF kwa miaka miwili wanazitoa wapi?

Ukraine imepambana na Russia inaomba msaada wa silaha kwamba wanaishiwa silaha.... au huelewi silaha huwa zinaisha? hizo RPGs haziishi? je hizo silaha wanaiba pia kutoka kwa wananchi?
 
Wanapigana kwa ajili ya Gaza? ..wakaenda kuua watu nchi nyingine wamama watoto wakike wakabakwa na kuuliwa...huko ndio kupigana kwa ajili ya Gaza? Eti wanawakubali? Una wazimu? Unaangalia hata international news? Wanawake kwa wanaume wanalia wanasema hao magaidi waachie mateka ili vita viishe waendelee na maisha yao..wamechoka mateso makali, eti wanawakubali...Yan Mimi nikukubali huku nakufa na njaa na watoto wangu wanakufa na njaa? Rubbish
We izo habr unaangalia vip?
Maana izo propaganda saiv Hadi wazungu wenzako washazichoka.kaanza mfaransa wanakuja waingereza
Mdogo mdogo tuh akili zinaanza kuwakaa sawa
Huezi ua watu Kila cku Kwa visingizio vya uongo
Uongo haukai mda mrefu
 
Uongo Gani upumbavu tu, unaona watoto na wanawake kwa wanaume wanashika mabakuli wanalia njaa .? Wewe umekalisha mapumbu hapo nchi yenye amani unakula na kusaza, halafu unasema eti wanawakubali hamas..upumbavu tu ..hamas mashaitwan wanafurahia tu kuona wananchi wanateseka watoto wanakufa na njaa ..achia mateka vita iishe..fullstop
 
Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata misaada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper wa Hamas, hii ni huu mwezi, hizi sniper wanazitengeneza hapo hapo Gaza..

View: https://www.youtube.com/watch?v=_gTlGhnqJo0

Tazama askari wa IDF alivyolengwa na sniper..

View: https://www.youtube.com/watch?v=t7IlnkNVk9I

Askari wa IDF wanavyomalizwa, hii video week mbili zimepita Khan Yunus..

View: https://www.youtube.com/watch?v=6xn5BNXmrOo

Hii vita IDF imeshindwa...

Israel ilikuwa haiui watu,lakini hamas wao walikuwa wanateka yeyote na kujificha kwenye makazi ya watu ili wasishambuliwe,sasa kazi ipo wanavuna walichopanda,ni mwehu tu anaweza kukuamini kwamba IDF imeshindwa
 
Tofautisha hamas na raia wa Gaza, Israel inafanya uhalifu wa kivita kutoruhusu mashirika ya kutoa misaada kuwapa misaada wahanga wa vita...
Anayepambana na Israel ni Hamas sio raia wa Gaza... umeelewa?
Israel anavunja sheria ndio maana ICC walitoa tamko Netanyahu anafanya uhalifu wa kivita...
Hamas na raia wa Gaza hamna tofauti,hao wanaolilia chakula hapo ndo Hamas wenyewe wamekuja kiraia
 
Hamas hawachangamani na raia.. Hamas wapo kuwalinda raia wa Gaza...
Israel iliweka spies kwenye kila kambi ya wakimbizi Gaza ili kuwatafuta mateka, hawakupata yeyote... mwisho ikabidi wakubali mazungumzo, mateka wakatoka na nguo mpya na wamenawiri, usoni wana smile...

Kama Hamas wamechangamana na raia, basi mateka wangeokolewa kwenye hizo kambi, kiongozi ni namna tu flani huelewi Israel inatumia wataalamu wenye uwezo gani, vifaa, sayansi, pesa na muda kuwatafuta hao mateka ndani ya Gaza na bado hawajawapata....

Historia inaeleza 1976, operation Entebbe, jamaa walitoka Israel hadi Uganda kuwakomboa mateka wakiruka kilomita 4000 na ndege... ndani ya lisaa walishamaliza mission... wakakomboa mateka zaidi ya 100, huku askari mmoja wa Israel akifariki...

Haya sasa Hamas hao hapo wapo hapo hapo Israel ndani ya kieneo kidogo, hopefully 1976 hadi leo tech ya Israel imeongezeka, askari ni wengi zaidi na eneo walipo mateka ni pale pale ... wanashindwa nini kuokoa hao mateka?

Hamas hawana haja kujichanganya na raia kuomba chakula, Hamas wanatumia silaha kwa miaka miwili kupambana na Israel, Gaza imezungukwa yote.. hizo silaha wanazotumia Hamas ambazo haziishi pia wanazipata kutoka kwa raia? inakuwaje wanatumia silaha miaka miwili haziishi? wanazipata wapi?
 
Vita ilipoanza IDF ilikuwa inaheshimu zahanati,mahospitali na misikiti,mwisho wa siku ndo sehemu wanakojificha Hamas na kuchanganyika na watu,kwa msako uliofaanyika hao Hamas wangekuwa hawachanganyiki na raia wangeshamalizwa, je hiyo njaa inaowakumba raia haiwapati Hamas?kama haiwapati wao chakula wanatoa wapi
 
kuna video niliweka hapa mzee flani myahudi mstaafu IDF akiwaambia askari vijana na kuwapa motivation kwamba wakiingia Gaza, waue watoto , wanawake na kila wamuonae mbele yao...
Waue hata majirani zao wa kiarabu, wasisubiri wala kujiuliza, waue wanawake zao na kila kitu ... na hapo ilikuwa ni mwanzoni kabisa kabla Israel haijashambulia Gaza...

Huyo mzee ni askari wa IDF amestaafu ana miaka 95...
Hio video youtube ilifutwa.... lakini ninayo.. sikiliza anachosema...

Israel inaua raia kwa makusudi...

Kuhusu chakula, Israel imeweka kila aina ya spy miongoni mwa raia kuwatafuta Hamas, lakini hawapatikani Hamas...

Ndio maana nauliza kama hao Hamas hawachangamani na raia wa Gaza, hizo silaha za kupambana na IDF kwa miaka miwili wanazitoa wapi? ukikosa jibu basi usiulize pia chakula wanatoa wapi..

Maana mnasema wanawaibia raia chakula, vipi kuhusu silaha? na zenyewe wanawaibia raia?

Nakama ulikuwa hufahamu anachokisema huyo Veteran ndicho Netanyahu anakifanya, ni kama alizingatia maneno ya huyu mzee..
 
Uongo Gani upumbavu tu, unaona watoto na wanawake kwa wanaume wanashika mabakuli wanalia njaa .? Wewe umekalisha mapumbu hapo nchi yenye amani unakula na kusaza, halafu unasema eti wanawakubali hamas..upumbavu tu ..hamas mashaitwan wanafurahia tu kuona wananchi wanateseka watoto wanakufa na njaa ..achia mateka vita iishe..fullstop
Ebu tuliza mapepe acha wenge.
Watapata uhuru wao no matter what
Vizazi vyao vitakuja kuishi huru kwenye taifa la Palestine ambalo saiv nchi za ulaya zilizokua na mawazo kma yako zimeona ukweli sasa zinaitambua Palestine
Viongozi wenu wa dini walipotembelea gaza mbona walilaumu Israel badala ya kulaumu hamas?
 
images (5).jpeg
 
images (6).jpeg

Hapa hamas wanafurahia kishenzi kuwaona hivi .. wako tayar Hawa watoto wafe njaa ama wapigwe mabomu wafe ila wao wabaki with their stupid selfish foolishly reasons
 
images (7).jpeg

Hamas wamesababisha haya yote...mzazi Gani wa hao watoto anatamani kuwasikia hao MASHAITWAN HAMAS...
 
Back
Top Bottom