Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Gaza nimeanza kuwahurumia asee!

Pale ni kwao kivipi hali yakuwa 1948 wamewakuta Palestinians? nani kamvamia mwenzake?
Hivi unaelewa Joseph Chamberlain alipendekeza eneo hapa East Africa iwe kama jewish homeland?
Acha kudanganya watu na story za kijiweni. Wayahudi hawana historia East Africa kwa hiyo haiwezi kuwa Homeland yao!!!
 
Kwenda kukaa pale si shida wapalestina waliwakaribisha kwa moyo mkunjufu, tatizo walianza kuwaua na kuwatesa huku wanawaibia ardhi yao kimabavu... wangekaa tu kwa amani kusingekua na shida..
Wayahudi ndiyo wenye nchi toka awali nchi hiyo ilikuwa inaitwa Judea & Samaria!!
 
Hii ni fake news!!! Endelea tu kutulisha Matango Pori!!
Screenshot_2025-07-28-22-04-30-58_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom