We unaamini malengo ya Israel pale Gaza ni mateka? No! Hukumbuki Trump alisema yupo tayari kuwatafutia eneo jingine Wapalestina zaidi Milion 2 wakaishi sehemu nyingine ila Gaza watoke? Basi jua lengo ni kuhakikisha kizazi chote cha Palestina kitoke lile eneo na Israel waichukue ardhi yote.
Ukipata mda soma kitu kinaitwa "The Grea Israel" hiki kitu ata Netanyahu aliwahi kuingianacho kwenye mkutano wa umoja wa mataifa (UNGA) Ramani ilikuwa inaonesha hakuna sehemu inaitwa Palestina.
Kwaiyo hiki kinachoendelea Gaza jua pia kinaendelea Western Bank pia, kila siku huko western bank raia wa Palestina wanauawa na jeshi la Israel! Kimsingi ili wazo la Great Israel haliajaanza leo wala jana ila lina miaka.
View attachment 3422057