Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Yaani expiredUmeshaambiwa amemaliza muda wake
Yaani expired
Ni kama CAG.Sheria inasemaje kuhusu ajira na kustaafu au kuondolewa ofisini kwa Gavana? Siyo kama CAG?
Itabidi zitto atushauriNi kama CAG.
P
Kateuliwa naniAnarudi zake faculty of law
TutubaKateuliwa nani
Muulize mhusikaMhe. Rais amemteua Gavana mpya Kwa taarifa kwamba aliyekuwepo amemaliza muda wake.
Lakini kiutumishi au kiutendaji kumaliza muda wako kwaweza maanisha kwamba bado ana umri wakuhudumu lakini mkataba wake BOT umeisha hivyo anarejea KAZI yake ya awali.
Au alishastaafu akaongezewa muda na kipindi alichoongezewa kimeisha
Au amestaafu rasmi.
Gavana wa sasa amestaafu au mkataba umeisha? Sheria inasemaje kuhusu ajira na kustaafu au kuondolewa ofisini kwa Gavana? Siyo kama CAG?
Anaitwa Tutuba.Kateuliwa nani
Zitto hawezi kukosoa msimu huu, hata taratibu zikikiukwa 🤣🤣.Itabidi zitto atushauri
Sheria ya benki kuu imesema Gavana wa benki kuu atashika Kwa kipindi Cha miaka mitano and "shall be eligible for reappointment " sheria hiyo ya benki kuu imeweka ulazima kwamba Gavana wa benki kuu atakuwa na haki ya kuongezewa muda wa awamu ya pili Ili kukamilisha vipindi viwili vya miaka mitano mitanoUmeshaambiwa amemaliza muda wake
Ibara Gani kwenye katiba?Gavana umri wake kisheria usizidi miaka 65, pia anakaa madarakani kwa muda wa miaka 5 anaweza ongezewa muda wa miaka 5 mingine na haruhusiwi kuzidi hapo.
Na tar rasmi ya wao kuondoka kazini ni TAR 07/01
BALALI alikaa miaka 10 (08/0/1998 - 07/01/2008)
BENO NDULU alikaa miaka 10
(08/01/2008 - 07/01/2018)
PROF LUOGA amekaa miaka 5
(08/01/2018 - 07/01/2023)
Hii ni kutokana wakati anateuliwa UMRI WAKE ULIKUWA MIAKA 60 na hivyo haruhusiwi kuzidi miaka 65 KIKATIBA.
Itabidi zitto atushauri