Quote: Nyani Ngabu
Ndiyo, sitaki hadi unionyeshe pale KLHN News walikuwa wa kwanza kui-break...
Kwenye tovuti kuna 'Eid Njema sijui Eid Muabarak'....hapa poster wa kwanza alikuwa Hasara au Halisi (sorry I tend to mix up the 2)...so where does KLHN fit into this?
naweza kukufanyia hiyo homework but then it won't be fair. Wewe angalia sehemu zote na uone ni nani aliyesema "Balali Ajiuzulu" kwanza. Halafu njoo nisahihishe.
Today, 07:13 PM
Mzee Mwanakijiji
JF Senior Expert Member Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 6,632
Rep Power: 36
Thanks: 818
Thanked 1,383 Times in 681 Posts
Credits: 144,121
KLHN Breaking News - Gavana Balali Ajiuzulu!
--------------------------------------------------------------------------------
Habari za kuthibitishwa zinasema kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Daudi Balali amejiuzulu wadhifa wake huo kutokana na sababu za kiafya. Gav. Balali alikuwa ameenda Marekani kwenye jimbo la Massachusetts jiji la Boston ambako alikuwa ameenda kufanya upasuaji. Gav. Balali katika barua yake kwa Rais amesema kuwa kutokana na "sababu za kiafya" hatoweza kuendelea na wadhifa huo. Ikumbukwe kuwa Gav. Balali aliandamwa na tuhuma nyingi katika chombo hicho cha Benki Kuu kwa muda mrefu sasa na watu wengi wakiwemo viongozi wa upinzani wamekuwa wakimtaka Rais amwajibishe.
Hata hivyo wachunguzi wa mambo ya kisiasa na wale waliokuwa wanafuatilia suala hilo la tuhuma za ufisadi wanatambua kuwa katika sakata hilo Bw. Balali hakuwa peke yake na kuna dalili za vyombo na watu wengine mashuhuri kuhusika katika ufisadi huo na hivyo yeye Balali kuwa ni mtolewa kafara wa kwanza.
Kufuatia habari za kujiuzulu kwake ambazo KLH News ilianza kuzisikia tangu jana, kuna uwezekano mkubwa kabisa wa Gavana huyo kutoweza kurudi nyumbani kabisa kutokana na sababu "mbalimbali" ambazo hazitaweza kuzuilika.
M. M.
__________________
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8267&page=3
http://www.klhnews.com/
Ukibonyeza hiyo link inakupeleka kwenye tovuti ambayo haifanyi kazi. Sasa aliyeleta taarifa hapa ni Mwanakijiji. Je, Mwanakijiji amebadilisha jina na sasa anajiita KHLN?
http://www.klhnews.com/
Ukibonyeza hiyo link inakupeleka kwenye tovuti ambayo haifanyi kazi. Sasa aliyeleta taarifa hapa ni Mwanakijiji. Je, Mwanakijiji amebadilisha jina na sasa anajiita KHLN?
Hakuna ninachofanya au nitakachofanya ambacho kitakuwa sahihi.. ni kutafuta makosa juu ya makosa na yakipatikana makosa basi yaangaliwa kuona kama kuna makosa ndani ya makosa hiyo. Which means, I have to lose! so I admit it nimefanya makosa. Tuendelee kumzungumzia Balali.
Oh, nimepitwa bonge la breaking news,
Ila jama sasa hela zetu?? yaani akijiuzuru ndo basi?? ama hatua kari zinafuata kutokana na ubadhirifu alio ufanya ama alioruhusu ufanyike kwa dhamana alo kuwa nayo?
Ngoma si tatizo.. wengi wanayo na wanadunda.. tunachotaka ni hela yetu! Tunahitaji jua nini kilitokea ili tupate pa kuanzia kudai kilicho chetu! hata kwa kuvuana mashati tumechoka jama!
We wa Musoma nini...maana hizo R....mmhhh
We wa Musoma nini...maana hizo R....mmhhh
PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE KIBINADAMU...MPAKA HAPO WENGI WATAKAPOGUNDUA ...DAUDI BALALLI ATABAKIA KUWA MMOJA KATI YA MAGAVANA WAZURI AMBAYO NCHI HII IMEPATA KUWA NAO...
.
Hahahaha....Merry Christmas my friend (au kama hiyo haijakupendeza...Happy Holidays). Umeshafanya shopping lakini au wewe ni wale wa dakika za majeruhi?
na wewe mzee..mimi bado hata kuanza sijaanza...
1. Kwa sasa apigane tu na maradhi aliyokuwa nayo- tuzidi kumwombea apate nafuu ili aihudumie familia yake.
2. Hata mke wa Dr. Idris Rashid alipofariki kwa ugonjwa wa kukonda sana 1999 watu walisema ni ngoma- ila hadi leo Dr. Rashid yupo TANESCO na bado tu anadunda!
Huenda huyo Dr. Idris Rashid anayo (alikuwa nayo) kinga kama ile ya wale malaya wa Mombasa, ambao walikuwa hawadhuriki kwa hiyo 'ngoma' huku wengine wakipukutika. Kuna wachache hawashikiki; lakini huwezi jua; mpaka ufanye majaribio. Naye Zuma je, alikuwa nayo kinga, ama aliviwahi vijamaa na kuvioshelea mbali?