Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,284
- 33,881
- Thread starter
- #141
Generation...Shukran mkuu, ila kiukweli Mimi Dossa nimemjulia kupitia akina Mzee Mohammed Said.
Halafu rekebisha kidogo hapo mkuu, nadhani Hamza Azizi Ali sio mtoto wa Dossa Aziz Ali, hao ni Brothers.
Ahsante sana mimi niliamua kukaa kimya.
Huyu ndiyo mtu anasema anamjua Dossa Aziz.
Mimi babu yangu alikuwa jirani na Aziz Ally Mtaa wa Mbaruku na Congo katika miaka ya 1920s.
Nyumba ya babu aliiuza alipohamia Tabora mwaka wa 1947.
Mimi ni sehemu ya historia hii.
Aliyevaa hegal ni Aziz Ali na hao wengine ni watoto wake kushoto ni Waziri Dossa Aziz, Ramadhani na Hamza.
Picha hii ya Aziz Ally ilipigwa mwaka wa 1951 baada ya kurudi Makka alipokwenda kuhiji.
Haukupita muda mrefu akafariki.