Mohamed Said ni mkaanga sumu tu. Mmanyema anayejjdai kuwa mswahili wa Dar.
Wangeruhusiwa kujenga kelele za Eid na Maulid za kucha kutwa zingezuwiya watoto wetu kukamua...na wangezuwiya kupiga kelele za kiarabu wangesema wabaminywa uhuru wao wa kuabudu. Tushike lipi?
 
Mzee Mohamed;
Yupo Rais wa Nchi,Muislamu,Yupo Waziri mkuu,Muislamu,Ipo serikali ya ZNZ full waislamu.Sijajua ubaguzi unaolalamikia na upi kama sio frustration zako tu za kutokukubali kwamba kuna wakati waislamu wanachanganya ajenda za maendeleo ya kitaifa na ajenda za kidini ambapo matokeo yake huwa ni mabaya kwa uislamu na kwa nchi.

Hata katika ukristo pia wakichanganya mafaili huwa wanaisoma namba.

Binafsi nataka nikukumbuke kama mwanahistoria mahiri lakini naona sasa unatamani kuitwa mchochezi ingawa kwa maandiko yako naona bado hujapata ujasiri wala uwezo wa kuwa mchochezi.Zaidi unaonekana kutotaka kuwatendea haki waislamu wenzako.
Andoza,
Wakati wa kuigania uhuru wa Tanganyika Ally Sykes alikuwa katika orodha ya wachochezi.

Yeye alikuwa akichapa kwa siri makaratasi ya kuhamasisha Waafrika wajiunge na TAA wapigania uhuru.

Kadi 1000 za kwanza za TANU yeye ndiye aliyenunua kutoka mfukoni kwake.
Uchochezi unategemea umesimama wapi.

Kadi yake ni no.2 na kadi no. 1 ni Julius Nyerere na aliandikiwa na Ally Sykes.
Ulikuwa unayajua haya?

Uchochezi unategemea umesimama kwenye haki au batil?
 
Kwani kina Sykes ,baada ya kuifadhiki TANU na of course Nyerere,ukitaka wafanyiw3 mini ambacho hawakufanyiwe ili wewe na Wahafadhna wenzako uridhike!?
Kuna tofauti gani na kina Paul Rupia!
Na Elikaele Mbowe!
 
Lombo,
Walipigania uhuru kuondoa dhulma za wakoloni.
Umesoma kitabu cha Abdul Sykes?

Kama bado soma kitabu hiki kina mengi muhimu kufahamu.
Kwani Wakoloni hawakuondoka...na dhuluma yao!
Je dhuluma ,ilitoweka,Kama haikutoweka je tatizo n hili unaalotaka siku zote kulipandikiza!
 
Mzee Mohamed Said kwani tatizo lako ni nini hasa??? Kwamba tuseme Tanzania imeundwa na waislamu au unataka nini kitokee?

Unajua sisi vijana ambao tumeishi na waislamu, tumesoma na waislamu, tunafanya kazi na waislamu, tunashirikiana mashule, mitaani na kila mahala na waislamu tunashindwa kuelewa tatizo la udini liko wapi maana mambo mengi yanatokea kwa jina la utaifa na sio udini.

Vipi hizi harakati ya kuondoa wamachinga huenda kuna hola za uislamu ndani yake au kuna sivyo?
Unataka nini kifanyake uache kulalama?
 
Mi natamani kujua kwanini Bibi Titi Mohammed hakuunga mkono azimio la Arusha?

Bibi Titi alikosana nini na Mwalimu Nyerere mpaka akavuliwa vyeo vyote na akafungwa jela??
 
Kuna mambo mengine hayataki ligi. Fika Mzumbe University, pale kuna kanisa na wamepewa mpaka eneo la kujenga shule ilhali waislamu wanaswali Mzumbe Secondary School.
Jibu ni rahisi tu,anayekereketwa ahamie huko mzumbe.
UDOM hakuna huo utaratibu wa kujenga makanisa na nisikiti eneo la chuo.
Eneo la chuo ni kwa ajili ya matumizi ya chuo,,
Kama ku mtu anataka kujikita zaidi Kwenye kuabudu anaweza kwenda vyuo kama MUM morogoro au SAUT ,ni rahisi tu mkuu.
 
Huwa unatengeneza picha mbaya sana ya Nyerere kama mtu aliyesaidiwa sana na waislamu alipokuja Dar es Salaam. Kumbuka kuwa Nyerere alikuja Dar es Salaama siyo kama ombaomba, bali alikuja akiwa na digrii ya M.A kama mwalimu wa St Francis College. Kabla ya hapo alikuwa ameshafundisha St Mary's College huko Tabora (kwetu mimi na wewe); miaka hiyo ualimu ulikuwa na kazi yenye hadhi sana.

Mara zote unasema iwapo "wazee wenu" wa Dar es Salaama wasinegmsaidia Nyerere lakini ulishasema wewe ni mtu wa Tabora, kwa hiyo uhusiano wako na watu wa dar es salaama ni dini zenu tu, na hapo ndipo tatizo lako lilipo.
U.eongea point kubwa sana kwa huyu mfitinishaji na mdini
 
Saint,
Suala hili si la kujadiliwa na lugha za kejeli za "lialia."

Serikali inajua tatizo hili na iko kimya.

Kwa sababu maalum.

Soma historia ya uhuru wa Tanganyika kuna mengi utajifunza.

Ndipo unaweza ukawa na maarifa ya kukusaidia kujadili.
Hakuna tatizo mkuu,
Chuki zako tu na ufia dini unakusumbua.
Acheni kulialia,
Mbona hata sisi wakristo kuna wafia dini tupo na hatulilii,na tumesoma UDOM na kuabudu kwenye venues!

Wana UDOM wenyewe wameridhika na mfumo uliopo.
Tunaabudu kwenye venues zilizowekwa na chuo kwa utaratibu maalum.
Watoto wenu wa kiislamu pia Wana venues zao na huwa wanaabudu humo.

Unataka kuleta udini kwenye mambo yasiyohitaji udini,,
Pale ni taaluma kwanza mzee,,masuala ya kujenga mahema ya kuabudia pelekeni kwenye vyuo vya kidini.
Asiyetaka huo utaratibu basi na ahamie vyuo wanavyoruhusu kujenga misikiti shuleni ili asome madrasa huko muda wote.

Gaudensia ataendelea kuchapa kazi,
Huwezi mzuia rizki yake..

Wewe Endelea na ufia dini wako mzee.
 
Wakristo muwe wavumilivu watu wanapotoa historia za kweli wa harakati za kudai uhuru wa nchi ya Tanganyika, waislamu wa Tanganyika wametumia rasilimali nyingi na wamefanya jitihada nyingi kuhakikisha uhuru unapatikana na walifanya hayo yote kwa kushirikiana na Watanganyika wote wakidhani wote ni kitu kimoja lakini nchi ilipofanikiwa kupata uhuru Waislamu wakaanza kubaguliwa katika uongozi, mwacheni Mohamed Said aseme.
 
Embu taja top 10 uongozi wa nchi hii Sasa hivi na dini zao alafu uthibitishe kauli yako.
kulalama pasi na sababu ni hulka mbaya sana
 
Endeleeni kukereketwa mkuu.
Ila hata mkereketwe vipi ,misikiti haijengwi Udom.

Udom siyo madrasa za waislamu.

Na baba wa taifa ni Nyerere mkuu.
 
Wakristo muwe wavumilivu watu wanapotoa historia za kweli wa harakati za kudai uhuru wa nchi ya Tanganyika, waislamu wa Tanganyika wametumia rasilimali nyingi na wamefanya jitihada nyingi kuhakikisha uhuru unapatikana na walifanya hayo yote kwa kushirikiana na Watanganyika wote wakidhani wote ni kitu kimoja lakini nchi ilipofanikiwa kupata uhuru Waislamu wakaanza kubaguliwa katika uongozi, mwacheni Mohamed Said aseme.
Walitoa/jitoa kama waislamu au kama watanganyika/watanzania?!
 
Embu taja top 10 uongozi wa nchi hii Sasa hivi na dini zao alafu uthibitishe kauli yako.
kulalama pasi na sababu ni hulka mbaya sana
Ndani ya hizo unazoziita top 10 kuna nini? Utakuta ndio ile aliyoitaja mleta uzi 20 kwa 80.
 
Back
Top Bottom