Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Ni kweli mkuu lakini timing na platform ya kusemea ina matter sanaTufike mahali, tukubaliane, sio kila anayekosoa CHADEMA hana mapenzi mema na chama. sio kila anayesema kosa la CHADEMA ni CCM.