Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.
Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?
Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.