Gari za M4C zinaendeshwa very rough!

DJ aliyenaswa anatorosha mabilioni nje ya nchi alishazibadikia gia angani.

Kama chama aliweza kuuza mchana kweupe mbele ya wild beast sembuse magari ??

Already sold.
 
lingine hili huku liko juu ya mawe mwezi wa sita sasa
IMG00053-20140630-2301.jpg
Hazikuwa hivi mkuu! Zilikuwa pick-up za ukweli sana!! Sijui ziko wapi!?
 
Back
Top Bottom