Gari za M4C zinaendeshwa very rough!

ujumbe umefika wahusika watafanyia kazi maana wapo humu watawarekebisha kama kuna madhaifu hayo
 
nyie ndio wauaji wa chadema, mtu yeyote anyekupenda anakuambia ukweli, we mjinga, mm ni mwanachama wa chadema tokea wewe hujui chadema ni nini! Lakini siwezi kukaa kimya mali za chama changu zinapoharibiwa na wapumbavu wachache. Kama unafikiria jf ni sehemu ya porojo na utani, nadhani hauko sawa, ila mm sifanyi propaganda, kamera yangu kuna mtu nimemuazima ningeweka picha hapa!

Hata TUNTEMEKE pia anadai ni mwanachama wa Chadema wa siku nyingi
 
Last edited by a moderator:
nyie ndio wauaji wa chadema, mtu yeyote anyekupenda anakuambia ukweli, we mjinga, mm ni mwanachama wa chadema tokea wewe hujui chadema ni nini! Lakini siwezi kukaa kimya mali za chama changu zinapoharibiwa na wapumbavu wachache. Kama unafikiria jf ni sehemu ya porojo na utani, nadhani hauko sawa, ila mm sifanyi propaganda, kamera yangu kuna mtu nimemuazima ningeweka picha hapa!

Hivi gari likiendeshwa kwa kasi linaharibika kumbe..!!
 
Naona Watu wengi wanatetea huu Ujinga kunasababu gani hizo gari kuendeshwa roughly? kwani kwa mwendo wa kawaida haziwezi kwenda? na vp usalama wa hizo gari na watu kwa huo mwendo kama ni kweli? Hatuwezi kutetea kila kitu kisa ni cha CDM kwenye upumbavu lazima tuseme
 
....umesahau...kitu kingine...watu kushangilia kila wanapoyaona.....Nasikia .....watu wa Arusha wameomba kuyasukuma barabarani kama mchango wao!!!!...... pia wanaomba brand nyingi zaidi za M4C....ili wabandike kwenye magari, bodaboda, mikokoteni, nk......


Changes always needs no hurry and at the end they bear fruits!!!!
 
Sasa MCHAKA MCHAKA, wewe unaipenda sana CHADEMA na ni chama chako, hoja ya CCM ya kwamba tumepewa magari ya wajerumani ambayo ni ya uongo mkubwa imekuwaje unaishadadia? Hiyo ni hoja ya kukidhalilisha chama. Sasa wewe hujui au unajua lakini unatekeleza mpango wa Nepi wa kukidhalilisha chama chetu. Anyway kila mmoja ana haki ya kufikiri anavyoweza na hata kusema mawazo yake bila ya yeye mwenyewe kujipima kama mawazo yake yana ukurutu kiasi gani.
 
sasa mchaka mchaka, wewe unaipenda sana chadema na ni chama chako, hoja ya ccm ya kwamba tumepewa magari ya wajerumani ambayo ni ya uongo mkubwa imekuwaje unaishadadia? Hiyo ni hoja ya kukidhalilisha chama. Sasa wewe hujui au unajua lakini unatekeleza mpango wa nepi wa kukidhalilisha chama chetu. Anyway kila mmoja ana haki ya kufikiri anavyoweza na hata kusema mawazo yake bila ya yeye mwenyewe kujipima kama mawazo yake yana ukurutu kiasi gani.

kwani unadhani yametoka wapi?
 
Bandugu, mm ni mwenyeji wa hapa Arusha, leo mida ya saa kumi na mbili nikipita maeneo ya stendi ndogo Gari aina ya FORD PICKUP iliyokuwa branded "M4C" na bendera ya CHADEMA ilinipita kwa kasi sana.

Haya, hiyo ikapita, nikaendelea na safari yangu kuelekea NJIRO KWA MSOLA, nikiwa njiani hapa maeneo ya njia ya kwenda SEKEI SEC karibu na PERFECT CHOICE S/MARKET ilipita " FORD YA CHADEMA " kama imeibiwa! Je ndio mwendo wa M4C huo?

Nyie madreva mliopewa dhamana ya kuendesha hayo magari yaliyotolewa msaada na Ujerumani kwa nini msiyaendeshe kwa adabu na utii? Au ndio maagizo kutoka makao makuu? Acheni kucheza na mali za chama chetu.
Onana na RTO Arusha kwa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom