Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Mjapani anagusa kila Level ya uchumi ndio maana wanamuona maandazi tu. Nadhani magari anayotoa TOYOTA tu ukiachilia akina Nissan, yanafika 150+. Mjerumani ana magari machache sanaaa
Umeshawahi ishi ujerumani kuongea magari ya kijerumani model machache
 
Huyo ananunua vitz sababu uchumi wake mdogo na hawezi kumudu gharama za uendeshaji wa gari yenye engine kubwa i.e anataka aweke mafuta ya 5000 etc....
Wanakwambia hii gari inanisaidia sana kwenye foleni napenya penya na parking mjini hainisumbui 😂😂😂
 
Ona mambo ya mjapna.. gari ya 1990 ila unanunua BMW X5 mpya mbili na chenji ya bima inabaki na wese la kuzicheusa hadi kigoma kwenda na kurudi.. .. wanitagutie BMW ya 1990 yenye hii beiView attachment 1696640
Ukikutana na car collectors wanaweza nunua vintage Bentley Mulsane kwa bei mara 5 ya bei ya mulsane ya sasa.

Kiuhalisia hiyo gari hapo ukinunua ya mwaka 2020 bei ni ndogo ya hiyo hapo. Hiyo ishafika level za kuwa vintage bei inapanda.
 
Ukikutana na car collectors wanaweza nunua vintage Bentley Mulsane kwa bei mara 5 ya bei ya mulsane ya sasa.

Kiuhalisia hiyo gari hapo ukinunua ya mwaka 2020 bei ni ndogo ya hiyo hapo. Hiyo ishafika level za kuwa vintage bei inapanda.
Ila vipi mziki Skyline GTR upoje ? nafatilia fatilia inaoneka ni chombo moja hadi leo wazungu wanaitamani
 
Mtalinganisha sijui Mjapani na Mjerumani mpaka mtabonyea , lakini ukweli mnajua moyoni kwamba Gari za Ulaya na za Mjapan ,kwa maana mnaona wenye nazo Garage zao huwa Gari za kutoka wapi zinapaki. Tunaona mabilionea na watu maarufu Duniani kote ni Gari gani wanazotamba nazo, sijawahi kuona Toyota mimi kwa hawa watu.. ukiendesha Gari ya mjerumani sidhani Kama utawaza kuendesha Gari ya mjapan tena. Ni wachache mno walioweza kuchomoka kwenye hilo, hila naamini wengi walio kwenye Toyota wanatamani kukalia kiti cha Mjerumani.. Kama unabisha hilo jaribu uone . Kaa kwenye Crown ya mwaka 2010 halafu kaa kwenye bmw ya mwaka 2004 tuu leta mrejesho , Wazungu awakosei jamani..
 
Back
Top Bottom