Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Zitambueni kwanza gx series kuanzia gx 80, gx 90, gx 100, gx 110 na sasa gx 120.

verosa na mark 2 gx 110 ni kitu kimoja. Mark X ni gx 120 na ndiyo latest sedan kwenye series za gx.

Zile baloon chaser, mark 2 na cresta ni gx 90

zile mark 2, chaser na cresta za zamani zaidi ni gx 80.
 
Nadhani yuko serious, anamaanisha VW New Beetle, very classic little car! Inategemea ni cha mwaka gani mkuu donlucchese, ni vigari vizuri pia, lakini mimi kwa hivi vigari vidogo napendelea zaidi Mini Cooper na Hyundai Veloster.
View attachment 139399

View attachment 139402

View attachment 139403
ni kweli mkuu,
yaan kama hicho cha kwanza mi nakielewa sana. kuna zile TAT mini car nliziona India, sijui hapa bongo zitakuepo? sijui itakua bei gani ila ni vindinga flan simpo sana na very economical when it comes to fuel consumption
 
Zitambueni kwanza gx series kuanzia gx 80, gx 90, gx 100, gx 110 na sasa gx 120.

verosa na mark 2 gx 110 ni kitu kimoja. Mark X ni gx 120 na ndiyo latest sedan kwenye series za gx.

Zile baloon chaser, mark 2 na cresta ni gx 90

zile mark 2, chaser na cresta za zamani zaidi ni gx 80.

Altezza je?
 
Lol, ile ilikuwa attempt ya TATA kutengeneza gari ya bei rahisi kuliko zote duniani, kale kanabeba watu wawili kama skosei, naona vimeshindwa kupata umaarufu wa kutosha, sijawahi kukutana nacho Tanzania, lakini ukiulizia India itakuwa bei rahisi tu.
 
Zitambueni kwanza gx series kuanzia gx 80, gx 90, gx 100, gx 110 na sasa gx 120.

verosa na mark 2 gx 110 ni kitu kimoja. Mark X ni gx 120 na ndiyo latest sedan kwenye series za gx.

Zile baloon chaser, mark 2 na cresta ni gx 90

zile mark 2, chaser na cresta za zamani zaidi ni gx 80.

Brevis ni gx ngapi?
 
Uko sahihi mkuu. Verossa in successor ya Mark II name haikufaa ndiyo chap chap wakatengeneza Mark X kama successor ya Verossa. Mark X ndiyo mpaka sasa wanatengeneza. Ni kama Viltz ilivyotengenezwa badala ya Starlet. Camry ni kitu kingine tofauti. Naona Kaka anataka kuwaingiza watu mkenge.

Na wewe naona unataka kutuingiza mkenge, Vitz siyo successor wa Starlet, successor wa Starlet ni IST. Vitz nadhani bado inatengenezwa kama Vitz kwa Japan, Ulaya wanatumia jina la Yaris.
 
Engine zinatofautiana kati within the models. Kuna sport editions za mark II ambazo ni IR-V, IR-S, GRANDE GT-B, FORTUNA YAMAHA POWER. hizi ni very rare na ni limited sana ila nimeziona chache hapa bongo. Hizi mark II zina 1JZ-GTE 2.5l (2499cc) inline 6 cylinder engine ambayo ni turbocharged na inaenda kasi sana.
Kwa Verossa kuna sport edition ambayo ni VEROSSA V25 yenye 1JZ-GTE 2.5L (2499cc) inline 6 cylinder engine ambayo nayo ni turbocharged na inaenda kasi sana.
 
JFAdminstrator weken na forums ya magari/locomotive na vyenginevyo tupambuke kimawazo,
Kuna hoja ile ya nataka gari ya alteza. Au ile ya subari inanifirisi ni theard ambazo zimetupambua sana kuhusu magari maana wengine tuki goolge kizungu kina tupa kizungu zungu.
Pili mbongo anavyoelezea ni real life na maisha yetu sio mifano ya waarabu au waulaya wenyewe wanavyoeleza.

Tuanzishiwe forums ya MAGARI na vyombo vya usafiri

Jambo alilozungumza ofisa ni la muhimu sana!umefika wakati tuanzishe forums ya magari!tupate mjadala mpana kuhusu hivi vyombo vya moto!wengine wanapenda magari toka ulaya e.g BMW,Subaru,Mercedes, Land Rover(Freelander,Range,Discovery3,4 nk)wangependa jua upatikanaji wa spare ,service zake na utalaam mwingine kadri ya itakavyohitajika ama magari ya ujapan,korea na kwingineko kwa kuangalia uimala,unywaji wa mafuta,na zaidi kupeana ushauri ni kwa nini ununue gari fulani kuzingatia budget,mahitaji na matumizi ya wakati huo ~so ni muhimu tuwe na jukwaa hilo!
 
Mkuu kiushauri wangu binafsi hakuna kama mark2 gx 110 ipo vizuri sana na inatulia barabarani sana kuliko hiyo verosa na verosa itakutesa tu haina mpango
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

ጨጠተረኸረኘቀፈገደጸጀጀመቨቸቀዠጨጠሐጰፐለጀጸገፈደተጨረአዠአኸረፈፈገጸመቨቸሸጨጠደፈጀ
 
ጨጠተረኸረኘቀፈገደጸጀጀመቨቸቀዠጨጠሐጰፐለጀጸገፈደተጨረአዠአኸረፈፈገጸመቨቸሸጨጠደፈጀ

Acheni ushamba nyinyi, lugha rasmi za hii forum ni kiswahili na kiingereza. Ninyi mnaandika ki------- tuwaeleweje? Wazazi wenu pia mnawasiliana nao kwa maandishi hayo au ndo kutaka sifa za kijinga? Jadilini mada kwa lugha zizoeleweka kwa wana JF siyo kuleta upunguani wenu humu
 
mm nimemiliki na kutumua gari hizo zote,mark II gx 100,110,115,na verosa gx 110,115 hizi gari tofauti yake ni body lakini kila kitu zinafanana na ukitaka ku enjoy zaidi chukua iliyotengenezwa kuanzia 2003 na kuendelea hizo zimeboreshwa zaodi kuliko za 2000/2001/2002.hata taa za nyuma za gx 110/115 mark ii nitofauti na za 2003.na gx 115 mark ii na verossa gx 115 ni nzuri zaidi kwa zina 4WD ambayo ni outmatic mm ndo natumia verossa hiyo ni nzuri sn na zote matunzo tu.go for verossa gx 115 inaheshima na imetulia barabarani zaidi ya gx 110 zote(mark ii na verossa gx 110)
 
JFAdminstrator weken na forums ya magari/locomotive na vyenginevyo tupambuke kimawazo,
Kuna hoja ile ya nataka gari ya alteza. Au ile ya subari inanifirisi ni theard ambazo zimetupambua sana kuhusu magari maana wengine tuki goolge kizungu kina tupa kizungu zungu.
Pili mbongo anavyoelezea ni real life na maisha yetu sio mifano ya waarabu au waulaya wenyewe wanavyoeleza.

Tuanzishiwe forums ya MAGARI na vyombo vya usafiri

Naunga mkono hoja. Hili Suala huwa linaongelewa sana hapa ila naona Mods utekelezaji ni mgumu sijui kwa nini?
 
Ukinunua passo...
Mzuka sana!
Very economic..
Lita 5 unatembelea wiki,hadi unaamua kwenda yaishe
 
Acheni ushamba nyinyi, lugha rasmi za hii forum ni kiswahili na kiingereza. Ninyi mnaandika ki------- tuwaeleweje? Wazazi wenu pia mnawasiliana nao kwa maandishi hayo au ndo kutaka sifa za kijinga? Jadilini mada kwa lugha zizoeleweka kwa wana JF siyo kuleta upunguani wenu humu

ikikukera unapita hiviii.. sio kila unachoona unaongea. kubali vngine vikupite..
 
Back
Top Bottom