Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

gx 110.
Naikubali zaidi

ImageUploadedByJamiiForums1418821357.525693.jpg
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

Mweee!
 
Wadau naomba ushauri..,ni gari lipi kati ya hayo ambalo ni bora kwa comfortability.,durability..,availabilty of spares with affordable costs..,fuel consumptions and total costs kwa kuagiza kutoka nje mpaka kuclear kodi zote..,kimsingi nimetokea kuya admire sana but i cant take both..,i need one btn those..,Natanguliza shukrani

Nunua vitz! a.k.a babywolk
 
ጨጠተረኸረኘቀፈገደጸጀጀመቨቸቀዠጨጠሐጰፐለጀጸገፈደተጨረአዠአኸረፈፈገጸመቨቸሸጨጠደፈጀ
Huu ndo ushauri nzuri
 
Aisee cresta gx 100 ni nzuri bana.
Mark x ni hatari i real like dat car ni nzuri sana.
Ila kwa grand mark 11 is best than verossa
 
Kiukweli gari zote hizo zinafana sana karibia kila kitu. Tofauti kubwa ni body design. Umbo la verosa ni zuri zaidi. Ukipata black metalic utaosha sana kitaa. Mi ninayo Toyota Fielder New Model tamu sana, lakini nikifikiria kubadiri garni nitanunua BREVIS. Kiukweli hii gari ni kali sana sana. Ukiicheck kwa haraka unaweza dhani ni Benz ama BMW 5 Class.
 
JFAdminstrator weken na forums ya magari/locomotive na vyenginevyo tupambuke kimawazo,
Kuna hoja ile ya nataka gari ya alteza. Au ile ya subari inanifirisi ni theard ambazo zimetupambua sana kuhusu magari maana wengine tuki goolge kizungu kina tupa kizungu zungu.
Pili mbongo anavyoelezea ni real life na maisha yetu sio mifano ya waarabu au waulaya wenyewe wanavyoeleza.

Tuanzishiwe forums ya MAGARI na vyombo vya usafiri

Naunga Mkono hoja ya kuanzishiwa forum ya magari
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

在這裡,我們討論汽車和沒有婦女和兒童的事情.
 
Unaposema gx110 na verossa unamaanisha n,ini? Hata verosa ni gx 110! Ungesema mark2 grande vs verossa... Sasa tofauti ya hizo gari ni muundo wa body tu ila engine na chasis vyote vipo sawa...kwenye Durability ndio kuna utofauti,verossa ni mayai sana

Mkuu ni kweli, hakuna gari brand ya Gx110. Wadau wanachanganya injini na car model.
 
Engine zinatofautiana kati within the models. Kuna sport editions za mark II ambazo ni IR-V, IR-S, GRANDE GT-B, FORTUNA YAMAHA POWER. hizi ni very rare na ni limited sana ila nimeziona chache hapa bongo. Hizi mark II zina 1JZ-GTE 2.5l (2499cc) inline 6 cylinder engine ambayo ni turbocharged na inaenda kasi sana.
Kwa Verossa kuna sport edition ambayo ni VEROSSA V25 yenye 1JZ-GTE 2.5L (2499cc) inline 6 cylinder engine ambayo nayo ni turbocharged na inaenda kasi sana.

sio v25 ni VR25 ya 2003 ndo INA 1jz GTE Sawa na cresta ya 1998
 
Kiukweli gari zote hizo zinafana sana karibia kila kitu. Tofauti kubwa ni body design. Umbo la verosa ni zuri zaidi. Ukipata black metalic utaosha sana kitaa. Mi ninayo Toyota Fielder New Model tamu sana, lakini nikifikiria kubadiri garni nitanunua BREVIS. Kiukweli hii gari ni kali sana sana. Ukiicheck kwa haraka unaweza dhani ni Benz ama BMW 5 Class.

Bmw hawana CLASS ila wana SERIES kiongozi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hata bodaboda nahisi hainunui...nishaona mgongo wa chura nissan,cjui bei,hyo german car price si itakuwa ipo juu lazma

Hahah ukimaanisha nissan March au?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom