Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Kama vp nunua gx 120, kwani ndiyo imekuja badala ya all gx 100 na 110. Inajulikana kama mark X. Ila wamebadili engine na kuwa v6 cc 2400 badala ya beams 2000 ambayo ni i6 cc 2000
 
Kama vp nunua gx 120, kwani ndiyo imekuja badala ya all gx 100 na 110. Inajulikana kama mark X. Ila wamebadili engine na kuwa v6 cc 2400 badala ya beams 2000 ambayo ni i6 cc 2000

gx 110.
Naikubali zaidi
 
Attachments

  • 1389977384257.jpg
    1389977384257.jpg
    30.8 KB · Views: 969
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

为什么卡卡结合的消息,我们讨论一下车,就可以带来相当另一个故事。
 
Go for Verosa kaka uweke heshima. Kuhsu durability, magari yote ya siku hizi hasa kwenye bodi sio imara sana, huwezi linganisha na mark II ''box body'' za zamani. Kuhusu gx 120 achana nazo, tofauti ya gharama ni kubwa sana for nothing, hazina tofauti kubwa sana
 
Kama vp nunua gx 120, kwani ndiyo imekuja badala ya all gx 100 na 110. Inajulikana kama mark X. Ila wamebadili engine na kuwa v6 cc 2400 badala ya beams 2000 ambayo ni i6 cc 2000

Weka na bei kama inawezekana mkuu
 
Ila mark x bei yake ni balahaa nikaama mala mbili ya grande mark 11
 
Verossa ni nyanya sanaaaa, ukiigonga lazima ubadili body iliharibika coz zile curve hakuna fundi anaweza patia vzr. Nyepesi barabarani kwenye highway na speed kubwa, so go for grande mark II ila kua mwangalifu upate ya kisasa zaidi , utakuwa upo kwenye benz.
 
mkuu kama unataka ya kupigia bakora na kuuzia sura mjini verosa ndio mpango mzima ila sasa ujiandae na spea zake hasa body bei yake ipo juu sana coz ndio za moto moto ila kama ni kidume cha kazi na sio muuza sura kamata mark 2 ndio mpango mzima na ni roho ya paka mkuu
 
Mwambie Mods akubadirishie Title,gx110 vs Verossa wanaojua magari watakucheka zote hizo ni GX110! Mwambie aweke Mark II Grande GX110 Vs Verossa GX110,Tofauti ni Body design,ila kama hela unayo go for verossa coz ni model after grande na ina muonekano mzuri,ngoja niwaache wenye nsuli nkubwa mie nazichanga ninunue passo.
 
Back
Top Bottom