Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Kwann?
Hapo wala hunitoi hata uje na vx amazon.
I luv gx 100.
Sio kwamba ni zaidi ya hayo mengine,ila ni kwa vile i lyk it

hahaha apo juu mkuu uliweka picha ya GX 100 ila ukaandika GX 110m ndo maana, nakubaliana na ww gx 100 imesimama pia
 
Wadau naomba ushauri..,ni gari lipi kati ya hayo ambalo ni bora kwa comfortability.,durability..,availabilty of spares with affordable costs..,fuel consumptions and total costs kwa kuagiza kutoka nje mpaka kuclear kodi zote..,kimsingi nimetokea kuya admire sana but i cant take both..,i need one btn those..,Natanguliza shukrani

chukua mark ii gx 110......verossa ni failure,baada ya mauzo ya cresta na chaser kushuka sana wajapan walitoa verossa[combined design za cresta na chaser] lakini nayo ikaflop ikawa discontunued na wakaamua kuendelea na mark ii ambayo ime-evolve kwenye mark X
 
Huu ndo mpango mzima
 
Attachments

  • 1390024432467.jpg
    1390024432467.jpg
    69.2 KB · Views: 796
  • 1390024459929.jpg
    1390024459929.jpg
    71.8 KB · Views: 695
поздравление
 
  • Thanks
Reactions: y-n
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

Ndugu na binti suala la wanawake na watoto uso, unaweza kusema kwamba kazi nje tena na zaidi ili nyumba yako kutoa mawazo.
 
Ndo ulikiwa unamaanisha nini Bome-e,maana sio wote humu hawajui kichina ndo maana nimetafsiri kila mtu ajue,----!
 
Kaka kwa engine zinafanana coz kuna verosa yanye engine 1G-FE na GX100 hivyo hivyo ambayo ina CC <2000 na pia kuna za engine kubwa nimesahau inavyoitwa ila CC zake ni > 2000 kwa clearance hapo port verosa itaku cost ipo juu ushuru
 
Wadau naomba ushauri..,ni gari lipi kati ya hayo ambalo ni bora kwa comfortability.,durability..,availabilty of spares with affordable costs..,fuel consumptions and total costs kwa kuagiza kutoka nje mpaka kuclear kodi zote..,kimsingi nimetokea kuya admire sana but i cant take both..,i need one btn those..,Natanguliza shukrani

Hizo gari engine zake ni cc 2000, zinakula fuel sana. Na zikianza kuchakaa ndio balaa. Kama income yako ni nzuri na unaweza ku-afford, hamna tatizo, go for Verossa. Othewise, kama income yako unataka isitumike sana kwa mafuta, tafuta gari zenye cc 1500 au chini ya hapo, i.e.Toyota Vitz, Raum and the like
 
&#30340;&#21733;&#20799;&#23219;&#22919;&#23418;,&#20320;&#35828;

&#1578;&#1575;&#1610;&#1610;&#1587;&#1575;&#1586;&#1587;&#1601;&#1601;&#1607;&#1608;&#1588;. &#1576;&#1610;&#1588;&#1588;&#1608;&#1578;&#1583;
 
01w.jpg
Hii ni Verossa GX 110
01w.jpg

Hii ni Mark II ambayo ni GX 110
05.jpg

Kabla ya hapo ilikuwepo Mark X ndipo wakaiga muundo na kuuboresha kwenda Verossa
Kwa sasa Verossa ndio gari ya kisasa kwa kila kitu pia hutumia Diff badala ya zile nyingine za Front wheel
The Toyota Verossa was a sedan produced by the Toyota Motor Company The Verossa exceeded Japanese government regulations concerning external dimensions and engine displacement, offering buyers a sedan that continued to offer a front engine rear drive platform, opposite the 2001-2006 Toyota Camry with very similar dimensions and front wheel drive. The advantage the Verossa offered over the Camry was the ability to offer all wheel drive, which the Camry couldn't do. The Verossa appeared in conjunction with the Toyopet Store alternative called the Progrès, and the Toyota Store Brevis.

Toyota replaced the aging Toyota Mark II stablemates, the Chaser and Cresta
 
Mark 2 gx110, na Verossa gx110 zina features nyingi saana in common, like same engine 1g-fe beams 2000, double wishbone suspension, same transmission (gearbox) so hapo zinaenda pamaja. kwa upande wa durabitity and comfort, I think mark2 is better as Verossa's suspension ni ngumu kidogo maana ni ilitengenezwa kwa replace chaser which was more sporty in the gx100 lineup, though verossa pia ina some luxury components from cresta. Handling iko poa, though zote mbili sio stable saana kivile. ila if it where me, I'd go for verossa. It has massive look, and drives like a European car.
 
Mark X ni next level ndugu, sio Mark 2 wala Verossa zinatia mguu pale. Maana Mark 2 and Verossa zote production yake imeshakua discontinued, last year model was 2003, ila mark x mpaka leo bado inatengenezwa. Na tofauti nyingine ni kwenye engine. Mark X inatumia engine tofauti kabisa, na hakuna yenye cc2000 kama hizo mbili, hata bei yake ni kubwa compared na verossa na mark 2 ambazo ni almost the same price, na almost the same specification
 
verossa ndo on mpango mzima....grandee zishakuwa yeboyebo kaka..Verossa is my dream Car mwaka huu...

U gotta some mind like I mean we gotta something in common

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
01w.jpg
Hii ni Verossa GX 110
01w.jpg

Hii ni Mark II ambayo ni GX 110
05.jpg

Kabla ya hapo ilikuwepo Mark X ndipo wakaiga muundo na kuuboresha kwenda Verossa
Kwa sasa Verossa ndio gari ya kisasa kwa kila kitu pia hutumia Diff badala ya zile nyingine za Front wheel
The Toyota Verossa was a sedan produced by the Toyota Motor Company The Verossa exceeded Japanese government regulations concerning external dimensions and engine displacement, offering buyers a sedan that continued to offer a front engine rear drive platform, opposite the 2001-2006 Toyota Camry with very similar dimensions and front wheel drive. The advantage the Verossa offered over the Camry was the ability to offer all wheel drive, which the Camry couldn't do. The Verossa appeared in conjunction with the Toyopet Store alternative called the Progrès, and the Toyota Store Brevis.

Toyota replaced the aging Toyota Mark II stablemates, the Chaser and Cresta

Verossa is super cu'

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
&#32418;&#26447;&#20986;&#22681;&#38754;&#30340;&#21733;&#20799;&#23219;&#22919;&#23418;,&#20320;&#35828;&#37027;&#26126;&#33021;&#20877;&#22810;&#23601;&#36825;&#20040;&#21150;&#20107;&#32473;&#20320;&#23478;&#23601;&#27809;&#24819;&#12290;

,,&#1096;&#1085;&#1103;&#1092;&#1081; &#1073;&#1078;&#1076;&#1097;. &#1064;,&#1099;&#1090;&#1073;&#1078;&#1076;&#1083;&#1097;&#1084;&#1089;&#1095;&#1103;&#1074;&#1084;...
 
Back
Top Bottom