KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,468
Ujawahi kupanda express ya TAZARA tunduma dar??same likeHata mimi napenda kujua inaanzia wapi na kupitia maeneo gani!
Je ina kituo humo katikati, au ikitoka ndo basi hadi kurasini?
Vinginevyo hii itasaidia sana kuongeza ufanisi makazini maana watu watawahi kufika, na kurudi majumbani kwa muda!
Tuombe Mungu iwe sustainable!