Gari Moshi (Train) zaanza safari jijini Dar es Salaam!

Gari Moshi (Train) zaanza safari jijini Dar es Salaam!

Status
Not open for further replies.
Leo tarehe 01 octoba 2012, nimefrahi sanaa kuona mabadiliko ya dhati ktk taifa letu katika sekta ya usafiri jijini Dar. Juzi tuliskia majaribio ya treni kutoka maeneo ya ubungo mpaka tktt ya jiji, jana tukaskia project kubwa ya mabasi yaendayo kasi katika jiji la Dar es salam.

Leo tumeona na tunashuhudia uzinduzi wa safari mpaya za treni ambazo zitapita kandokando ya jiji mpaka kurasini.. Mwakyembe ameonyesha njia.

Hii ni picha ya treni ikiwa na abiria leo asubuhi jijini Dsm

.
69189_10151909225210931_1608798866_n.jpg

this is very wonderful
 
Kuna yeyote aliyepanda hii treni leo atupe uhakika?
 
Hongera Kikwete, Hongera Dar, Hongera Tanzania. Kikwete unafanya kweli.
 
Ila itakuwa vema kama kwenye vituo vya hizo treni kukajengwa parking lot kubwa kwa maana kuwa si lazima niende na gari mpaka mjini, ila gari litanisogeza mpaka kwenye kituo cha karibu cha treni.

Chuo cha usafirishani wanaandaa mpango wa parking kubwa hapo Ubungo. Stay tuned.
 
Chuo cha usafirishani wanaandaa mpango wa parking kubwa hapo Ubungo. Stay tuned.

It makes more sense kwangu kama wanaweka parking maana itaongezea tija ya matumizi hayo ya treni. Halafu in some cases we should be ready to pay the price of changing the status quo. Kuna mji unaitwa mabible umezagaazagaa bila utaratibu....just a food of thought if we still need it for future. Tuangalie dunia kwa mtazamo tofauti
 
Ndahani,

Huu ni mwanzo, ngoja na ule mradi wa DART ukamilike , daraja kigamboni limalizike na ile Ferry ya makufuli kutoka Kunduchi/mbweni hadi Magogoni. Mimi nitahamia bunju.
 
Kama wameanza Bila maandalizi ya Kutosha Inaweza kuwa in a short time ni failure project!! We need Commitment and proper planning!! Kama kweli Umeanza bila taratibu nzuri za Vituo, wakusanya nauli nk,nk, nadhan Hautadumu!! Ni bora wampe Private Operator!!
 
Mwakyembe Jembe.Nakutakia kila lenye kheri wewe ni kiongozi wa kweli.Umefanya kazi imeonekana. Tunasubiri uwanja wa ndege wa mbeya Nao uzinduliwe It is long overdue.
 
Kama wameanza Bila maandalizi ya Kutosha Inaweza kuwa in a short time ni failure project!! We need Commitment and proper planning!! Kama kweli Umeanza bila taratibu nzuri za Vituo, wakusanya nauli nk,nk, nadhan Hautadumu!! Ni bora wampe Private Operator!!

Private operator itakuwa wazo zuri kuepuke ile wananchi tunajaa vituoni mnaambiwa leo treni hamna!

Ila wamuangalie kwa karibu asifanye huu ni mradi wa kutaka kuwa billionea.
 
Private operator itakuwa wazo zuri kuepuke ile wananchi tunajaa vituoni mnaambiwa leo treni hamna!

Ila wamuangalie kwa karibu asifanye huu ni mradi wa kutaka kuwa billionea.

Basically Kuwa Billionare ni Target ya Mfanyabiashara Yeyote!! Ila kwa serekali Itekeleze Kwa Upande Wake wa Kuweka Miundombinu Bora na yenye Kukidhi Matarajio!!Ni kuwaandalia watumiaji maandalizi Mazuri!! Mbona wenzetu wanaweza? sisi tuna Laana Gani?
 
Kama wameanza Bila maandalizi ya Kutosha Inaweza kuwa in a short time ni failure project!! We need Commitment and proper planning!! Kama kweli Umeanza bila taratibu nzuri za Vituo, wakusanya nauli nk,nk, nadhan Hautadumu!! Ni bora wampe Private Operator!!

kwani vingapi vilianza kwa mbwebwe leo haviko tena ........vyenye faida kubwa kama uda enzi zile ilikuwa peke yake dar ......unakumbuka yale mabus ikarusi kumba kumbaa leo yapo wapi ?.kumbuka hawa ni wale wale waliotufikisha hapa au kufilisi uda na sukita na tanzania railway air tz viwanda nk

Mradi huu ni nia njema ya watu kama akina Mwakyembe. A True son of the land.BIG UP HARRI-SON (Harison Mwakyembe) !!!!!!!!! Lakini ubinafsi wa Wabongo utauua mradi huu. Hata hao wanaoitwa private operator je wapo ambao ni credible na wanajua viwango? Mimi sidhani kama wapo. Kazi kweli kweli.
 
Hongera sana Kyembe!!tujitahidi kuzitunza na kuziweka hali ya usafi sana..hasa vyooni
 
kwani vingapi vilianza kwa mbwebwe leo haviko tena ........vyenye faida kubwa kama uda enzi zile ilikuwa peke yake dar ......unakumbuka yale mabus ikarusi kumba kumbaa leo yapo wapi ?.kumbuka hawa ni wale wale waliotufikisha hapa au kufilisi uda na sukita na tanzania railway air tz viwanda nk

Kama tupo Makini Tuadmitt Tumeshindwa Halafu Tuende Kwa Nchi ambazo zimeweza then tuwaombe wawekeze kwenye sector Hii ya Urban Mobility Then wazawa tunawezeshwa kwa kununua Hisa!! Mbona hii ni simple Tuu!! Ila ubinafsi umetufanya Tufike Hapa tulipo!! Poor Ourself!!
 
Hongera sana Kyembe!!tujitahidi kuzitunza na kuziweka hali ya usafi sana..hasa vyooni

wewe unataka train ya Town trip iwe na Vyoo vya nini? kwanza ukijisaidia huwa ni direct on the GroUND Hivyo ni Uchafuzi wa Mazingira
 
Hii ni hatua nzuri na ya kupongewza, cha muhimu ni kusimamia na kuendeleza hiki kilichoanzishwa!
 
  • ................. Binafsi namkubali Mwakyembe ..... "wahenga walisema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" hii pia inadhirisha kuwa penye nia pana njia. hii ni baraka kwa watanzania ambao ni walala hoi
 
kwani vingapi vilianza kwa mbwebwe leo haviko tena ........vyenye faida kubwa kama uda enzi zile ilikuwa peke yake dar ......unakumbuka yale mabus ikarusi kumba kumbaa leo yapo wapi ?.kumbuka hawa ni wale wale waliotufikisha hapa au kufilisi uda na sukita na tanzania railway air tz viwanda nk

..............nakushauri hapo kwenye rangi.... subiri uone kinachoendelea ndipo uanze kukata tamaa, mpeni muda miezi 2 tutajua kama ni nguvu ya soda ama la, lakini ukifuatilia mchakato mzima ulivyoanza na palipofikiwa utaona hizi ni jitihada binafsi za Mh. Mwakyembe
 
tatizo lipo hapo kwenye juhudi binafsi za mwakyembe kama ulivyo sema wewe ..si unajuwa story ya uda ya sasa nani kamilikishwa na ni kivipi .....jamaa wanamchungulia tu mwakyembe muda kidogo utasikia kabadilishwa wizara unakumbuka makufuli?

​
 
why private operator? serikalini wapo wahasibu au watu wenye fani ya usafirishaji
nchi za wenzetu usafiri wa umma kama mabasi ya kasi treni na hata bot zinahudumumiwa na serikali kwa asilimia mia moja na unakuwa na ufanisi mkubwa sana

labda nlichokiona ni suala la ticketi wanaweza kuweka machine za kukatia ticketi ambazo zinajiendesha zewenyewe ili mtu ajikatie ticketi mwenyewe na kuwe na ticketi za siku nzima mfan mtu akitoa alfu anaweza kuitumia kwa siku nzima na pia siku za wekend iwe bure kwa watoto chini ya miaka 12.
vituo vya kupandia pia viboreshwe wajenga na gats za kupandia.

Back
Top Bottom