Gari moja ya Ruge ikishuka kutoka kwenye ndege

Amini usiamini gari ''rangi nyeusi'' kama hii ipo hapa bongo zaidi ya miaka mitatu au minne hivi iliyopita.
 
FaizaFoxy bigwa wa kusahihisha ila sijawahi kumuona anasahihisha za
mkuu
Pdidy

uwiii leo nimecheka sana hii thredi

Huyu huwa anasahihisha 'l' na 'r', siku hizi nikiona tu kuna ishu ya 'l' na 'r', namwita! Mambo mengine harekebishi, labda ajisikie tu! Ila makosa hayo ya hapo juu, haukatizi.
 
Last edited by a moderator:
Hatima ya maisha ya watz yapo mikononi mwao..
 
Ukiliona siutamo,,,****ma,,,,
didy kua ndikagq hau juagiila hapasija kuele waksbsa...!!!!!!
banplease.gif
 
aah wapi hiyo gari hata ukiishiwa kuiuza ni shida hapa bongo... alafu maintainance yake ni sitiressssssss...... pili siwezi kumuua kwa kuwa macho ya ndugu zake wote yako pale ...... tatu ningemtumia kupata utajiri wangu alafu nasepa namwacha akiwa hai.........

Ndio maana nakupenda sana Miss Chaga kwa moyo wangu wote coz uko real, unaongea ukweli wala huna cha kupritend.. Nikioa mtu kama wewe nitaishia maisha marefu sana coz unaishi maisha yako na wala siyo ya wengine..great woman..!
 
Ni Ruge Mutahabwa au Rugemarila tuelewesheni wengine tumeingia uwanjani hatujui timu gani zinacheza

mutahabwa hela za kudhulumu wasanii huwezi kununua gari hiyo

hizi ni gari za dili kubwa kubwa tu
 
Ndio maana nakupenda sana Miss Chaga kwa moyo wangu wote coz uko real, unaongea ukweli wala huna cha kupritend.. Nikioa mtu kama wewe nitaishia maisha marefu sana coz unaishi maisha yako na wala siyo ya wengine..great woman..!

Thank u your welcome .. nakupenda pia ila ukinioa ukichoka ukwel uongo ni mzuri pia unatibu na kuokoa mengi .. japo ukwel unakuweka huru
 
Ndio maana nakupenda sana Miss Chaga kwa moyo wangu wote coz uko real, unaongea ukweli wala huna cha kupritend.. Nikioa mtu kama wewe nitaishia maisha marefu sana coz unaishi maisha yako na wala siyo ya wengine..great woman..!

Great woman? Oa uone balaa lake. Labda usiwe tajirinila ujue ukinunua tu hata bajaji amekumovuzisha
 
Linafanana na Bentley kama la Balloteli

mkuu hizi gari zipo kwa ajili ya watu maalum

ila nachoshukuru maisha hayarudi nyuma hebu pata picha huyo mtu angekua late 20's au early 30's kwa vijana wa hilo kabila wanavyopenda sifa

yule wa mawingu choka mbaya tu ila anawapelekesha wasanii kama hana akili timamu

kama muda ungekua unarudi nyuma maisha yangekosa mvuto
 
aah wapi hiyo gari hata ukiishiwa kuiuza ni shida hapa bongo... alafu maintainance yake ni sitiressssssss...... pili siwezi kumuua kwa kuwa macho ya ndugu zake wote yako pale ...... tatu ningemtumia kupata utajiri wangu alafu nasepa namwacha akiwa hai.........

Bibie una roho ngumu weweee lah...:what::
 
FaizaFoxy bigwa wa kusahihisha ila sijawahi kumuona anasahihisha za
mkuu
Pdidy

uwiii leo nimecheka sana hii thredi

Dah! mie huwa naomba nitafsiriwe lugha yake, maana simuelewi kabisa, sasa jamani ntasihihisha kitu ambacho kimenipiga changa?

Na leo ruge ndiyo kammaliza na Jumamosi hii, save mbavu zako jioni akileta visa vyake vya "breqkpionto", au leo kaanza mapema?
 
Ndio maana nakupenda sana Miss Chaga kwa moyo wangu wote coz uko real, unaongea ukweli wala huna cha kupritend.. Nikioa mtu kama wewe nitaishia maisha marefu sana coz unaishi maisha yako na wala siyo ya wengine..great woman..!

ukitaka kuoa uwe na
_kabati la mbeo
_gari
_duka
cc '
misschagga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom