Gari moja ya Ruge ikishuka kutoka kwenye ndege

Gari moja ya Ruge ikishuka kutoka kwenye ndege

Wakati wengine tunapigania milo mitatu kwa siku na inatutoa jasho....kuna mwingine ananunua gari kwa ajili ya kutembelea.........MAISHA BWANA...........
 
Watanzania wataharuki wrote,,usihofu nawewe away onana nachannel zamaana utoke

Hii nimeipenda ni lazima katika maisha uipe roho ile kitu inapenda we live only once so why fuss!!! Ukizipata ziunguze ziungue moshi wapate wengine
Kuna watu wana mabilioni lakini ukiwaangalia ni full stress bahili kapitiliza halafu anakufa na kihoro!!

Ila kama ni kweli ni yake kaamua kuwatukana watani zangu, hasa yule mmoja mwenye ya njano tukaambia ilipakiwa kwenye container maalum ndani ya meli, matusi yako hapa sasa kitu kimepaa pekeyake ndani pipa hakitaki shobo wala kubanwabanwa
 
Gari ya Ruge yafanya nini JKIA wakati KLM cargo hata Dar es salaam huwa yaja?
Watanzania ni rahisi sana kudanganyika
 
Minamoenda huyujamaa anajuananatumia sawana shekelizake. Mdogowangummoja wakati anaemda marekano alisema ,Aisha,aramojakaka mungu ski,,,, tutaonama
 
Mkuu Pdidy bila shaka hapa kigugumizi kimevuka viwango vyako. Usipate mchecheto kihivyo. Hapo ni Ruge anatimiza malengo yake kwa uwezo alio nao.
 
Hahaaaaa kwenye kumtungia tangazo ningesema. Rugeeeee mtaaaaaamuuuui,,,,,,kwashekeliiiio sio mcharotenaaa
 
Mkuu drifter huyujamaa namheshimuuuu. Yaano anajuakuitumiahelayake. Sisi kuna,inqoye mingese ikojiraniyetu inaishi nyumbaza ajabi gafla tumekujakiona kwenyemagazeti imekula mil 89o loh,,na,imechoka till now,,kulamaisha kaka ruge nikumbuke basi ninaekurusha hewani kwingine ungeli,,,,ia
 
Offesa rugemalila naiza simuyangi jamaninikomboe nduguyo huku jf tunachekanabadalayakukomboana MKUU yaaninimekua kama Mungu kukuwekaha,,,,najua sehe,uzingineunashindwakuelewahiyo ndiosimuyangu MKUU shiidaaaaa embu ukombozo uliotoq kwa mama ishomiree nikumbuke name ka s7 kamabadoujarudi mowaa
 
Hiv hata darasa la 3 ulifika kweli?Maana unahatari sana, kutokujua kuandika ktk ulimwengu huu wa sayansi na teknnolojia ni hatari san
Rugemalila mwa. Yaani hiisimu shida naonahata tabukuandika amuwiwiwkumnunulia didy simu shidazotehiizi
 
Hiv hata darasa la 3 ulifika kweli?Maana unahatari sana, kutokujua kuandika ktk ulimwengu huu wa sayansi na teknnolojia ni hatari san
Darasalatatunilipitena
 
Ngoja nimsubiri Mpwahoe yukofasting yawiki Moja atusaidie
 
Back
Top Bottom