HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Pdidy Katika ubora wake!
Atakua anaufanyia mkono wa kushoto mazoezi
Pdidy Katika ubora wake!
Watanzania wataharuki wrote,,usihofu nawewe away onana nachannel zamaana utoke
Bravo......!aah wapi hiyo gari hata ukiishiwa kuiuza ni shida hapa bongo... alafu maintainance yake ni sitiressssssss...... pili siwezi kumuua kwa kuwa macho ya ndugu zake wote yako pale ...... tatu ningemtumia kupata utajiri wangu alafu nasepa namwacha akiwa hai.........
Ukiwa na gari kama hii wew utongozi, unakuwa unaomba apointment tu, akilioni hili unakula mzgo fastaaa
Mkogo wa ukweli aisee ila dah ndo hela zetu za ESCROW zinatumika
Wabongo bana! mkilishwa maneno mnakuwa kama mirobot, hamtaki tena kufikiri, unadai fedha zenu, kwani na wewe ulikiwa na share kwenye kampuni yake ya VIP? Tafuta maisha dogo acha wivu wa kike.
Inawezekana wewe ndo mke wa rugemalira,unatoka mapovu ya nini?
Inawezekana wewe ndo mke wa rugemalira,unatoka mapovu ya nini?
Kwa hiyo na wewe unatamani?
Ukishafikia hatua ya kununua gari kama hio utakuwa huna shida/njaa ya wanawake
Unachunguliatubonet ka,a rafuuraidaaa bado zio. Unaelekea
Rolls Royce
Embu na wewe manka toa ushamba wako wa kishumundu hapa.