Gari lililokuwa linataka kumteka Joshua Nassari

Status
Not open for further replies.
Ccm wapumbavu sana
Hii nchi haina jeshi la Polisi, Said Mwema amefanya jeshi la Polisi kuwa la hovyo sana. Polisi kwa sasa ni Wing ndani ya CCM, wanafanya kazi zote za CCM kuanzia kupanga njama za kutesa watu, kuua na kulipulia mabomu raia. Mwigulu Nchemba ndio IGP kwa sasa anawatuma Polisi wafanya anayotaka yeye. Shime watanzania miaka miwili sio mingi tusifanya makosa ya kuwarudisha hawa maccm madarakani. Haya mabaya wanayotufanyia yana mwisho wako, Mh Nassary vumilia tu ingawa ni ngumu kumeza. Watu wanaotakiwa kuwa jela saizi wanasimamia uchaguzi...
IGP na vyombo vya usalama wanaujua huu mpango na ndiyo maana hakuna hatua inayochukuliwa.
Kwa kweli maono na mikakati ya CCM inaweka katika mazingira ya Kiutu uzima, nafikiri hili linawatosha na kuwapa nguvu na moyo mkamilifu wa kusonga mbele!!
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.

Kwa hiyo wewe mwenye sense umeona ni mita ngapi, halafu hiyo ni picha aliyepo hapo ndie kasema mita mbili.
Halafu nakushangaa we kwako maudhui ya taarifa hayana maana chenye maana kwako ni mita mbili. whether ni mita mbili au mia moja inabadilisha nini?
 
You seem to be predictive.

Toka lini utoaji wa taarifa inayohusu umbali ukatumia concept ya umbal kinzanii. I can't believe, you must be joking.

Hoja ni kwamba gari lipo karibu na kituo cha kupigia kura kinyume na sheria ya uchaguzi.
 
Arusha itaenda kwa maccm hebu viongozi chadema itisheni maandamano makubwa sana jamani
 
You seem to be predictive.

Toka lini utoaji wa taarifa inayohusu umbali ukatumia concept ya umbal kinzanii. I can't believe, you must be joking.
Wewe Mwigulu damu za watanzania ulizomwaga lazima utazilipa hapa hapa duniani.

Gari ya watekaji wenzio iko kwenye kituo cha kupiga kura kwa ajili ya kutisha wapiga kura. Kwa kuwa tume ya uchaguzi ni yenu na uhamiaji ni yenu mnaleta tu wasomali kutoka kwa akina Kinana Somalia kuja kusimamia chaguzi zetu. Yataisha haya in 2 years
 
Makamanda ulinzi,majambazi yanasimamia kura,kweli tumwache Mungu aitwe Mungu na mapenzi yake yatimizwe,ili uwe ni ufunuo kwetu.Ukuuunga! majangili yanalinda kura arushaa Ukuuunga!
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.
yani uwongo mwingi uko wazi. Mita 2 mhh. Yn chadema wameanza shindwa uchaguzi mapema sana toka jana wanatafuta huruma. Wamepiga mabomu ili wapate huruma hz ni mbinu haramu
 
Wewe Mwigulu damu za watanzania ulizomwaga lazima utazilipa hapa hapa duniani.

Gari ya watekaji wenzio iko kwenye kituo cha kupiga kura kwa ajili ya kutisha wapiga kura. Kwa kuwa tume ya uchaguzi ni yenu na uhamiaji ni yenu mnaleta tu wasomali kutoka kwa akina Kinana Somalia kuja kusimamia chaguzi zetu. Yataisha haya in 2 years
Ukweli utakuja kujulikana na ndipo mtakapokosa sehemu ya kuficha nyuso zenu. Hata Mwenyezi Mungu aliwaonya na kuwambia katika vitabu,
Matthew 7:21-23
"Not everyone who says to me, 'Lord, Lord,' will enter into the kingdom of heaven - only the one who does the will of my Father in heaven.
On that day, many will say to me, 'Lord, Lord, didn't we prophesy in your name, and in your name cast out demons and do many powerful deeds?'
Then I will declare to them, 'I never knew you. Go away from me, you lawbreakers!'

Surah Ibrahim
21. And they all shall appear before Allâh (on the Day of Resurrection) then the weak will say to those who were arrogant (chiefs): "Verily, we were following you; can you avail us anything against Allâh's Torment?" They will say: "Had Allâh guided us, we would have guided you. It makes no difference to us (now) whether we rage, or bear (these torments) with patience, there is no place of refuge for us."

Hizi lugha zenu za kibaguzi hazitowafikisha popote.

Huyo binadamu unayedai msomali ana alama (stamp) ipi kumfahamu kama ni msomali na mtanzania ana alama ipi kumfahamu kama ni mtanzania. You can't keep on demonising people.
 
No coment' wana inchi wamakuyuni tendeeni haki nafsi zenu chagua CHADEMA
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.
Angalia picha kwanza mkuu kabla hujatukana. Actually hilo gari liko within kituo cha kupigia kura na wala siyo nje. Kama watu wanaoanga foleni hata wakiwa kumi watafika lllipo gari.
 
You seem to be predictive.

Toka lini utoaji wa taarifa inayohusu umbali ukatumia concept ya umbal kinzanii. I can't believe, you must be joking.

Nimekusoma sana mkuu......Kilichodhahiri ni kuwa una akili na UMEELEWA....tatizo ni moja umeamua mwenyewe kujifanya hamnazo na kujitwika ujinga wa KUJILAZIMISHA kutokuelewa

Ukweli utakuja kujulikana na ndipo mtakapokosa sehemu ya kuficha nyuso zenu. Hata Mwenyezi Mungu aliwaonya na kuwambia katika vitabu,
Matthew 7:21-23
"Not everyone who says to me, 'Lord, Lord,' will enter into the kingdom of heaven - only the one who does the will of my Father in heaven.
On that day, many will say to me, 'Lord, Lord, didn't we prophesy in your name, and in your name cast out demons and do many powerful deeds?'
Then I will declare to them, 'I never knew you. Go away from me, you lawbreakers!'

Surah Ibrahim
21. And they all shall appear before Allâh (on the Day of Resurrection) then the weak will say to those who were arrogant (chiefs): "Verily, we were following you; can you avail us anything against Allâh's Torment?" They will say: "Had Allâh guided us, we would have guided you. It makes no difference to us (now) whether we rage, or bear (these torments) with patience, there is no place of refuge for us."

Hizi lugha zenu za kibaguzi hazitowafikisha popote.

Huyo binadamu unayedai msomali ana alama (stamp) ipi kumfahamu kama ni msomali na mtanzania ana alama ipi kumfahamu kama ni mtanzania. You can't keep on demonising people.

You don't need to be genius to know How Somalians look like. Kwa nini unafikiri kuitwa msomali ni tusi?
 
"Akili ndogo kuongoza akili kubwa". You don't need to be genius to know How Tanzanian look like!

By the way, who is Tanzanian?
 
hiyo ndo tz,hadi WASOMALI WAMEKUWA MAWAKALA WA KUSIMAMIA UCHAGUZI BADO SIAMINI LABDA MTUPE PHOTO YA HAO WASOMALI WAKIWA NDANI YA KITUO
 
Freedom is coming tomorrow. You have guns but we have nothing,you will kill us but we have the hope to live again when Christ comes.....
We wont stop cause we know revolution has the pay before liberation......
Together we shall make it and out CCM
 
Walioko madarakani wanapoiachia hali hii wanategemea nini? kwa kweli Mungunasaidie nguvu ya UMMA ifanikiwe kuwaondoa wote wenye nia mbaya katika taifa hili
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom