Gari lililokuwa linataka kumteka Joshua Nassari

Status
Not open for further replies.
Hii nchi haina jeshi la Polisi, Said Mwema amefanya jeshi la Polisi kuwa la hovyo sana. Polisi kwa sasa ni Wing ndani ya CCM, wanafanya kazi zote za CCM kuanzia kupanga njama za kutesa watu, kuua na kulipulia mabomu raia. Mwigulu Nchemba ndio IGP kwa sasa anawatuma Polisi wafanya anayotaka yeye. Shime watanzania miaka miwili sio mingi tusifanya makosa ya kuwarudisha hawa maccm madarakani. Haya mabaya wanayotufanyia yana mwisho wako, Mh Nassary vumilia tu ingawa ni ngumu kumeza. Watu wanaotakiwa kuwa jela saizi wanasimamia uchaguzi...
Natamani tuwaondoe hata kesho tu. tuingie kitaa tumuondoe JK na genge lake la wahuni. Mwingulu anyongwe hadharani mbele ya watu
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.

Haya wewe mtaalamu wa vipimo tuambie ni mita ngapi? manake unatokwa na POVU utafikiri umekamatwa SAburi lako
 
You seem to be predictive.

Toka lini utoaji wa taarifa inayohusu umbali ukatumia concept ya umbal kinzanii. I can't believe, you must be joking.

Hata kama ni kilometa mbili, wewe unafikiri umbali ndio utabadilisha status ya hao MAJANGILI!!?, Jangili ni jangili tu hata awe maili 1000 ataendelea kuitwa JANGILI na polisi wanatakiwa kumshughulikia, ndio maana wanalipwa mishahara kwa kodi zetu NYAMBAFFF weye
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.

Inaelekea hata wewe huelewi, aliyeandika inaonekana ni typing error. Inajulikana ni mita mia mbili (200m), sasa wewe unataka habari yote ya msingi iwe deluted sababu ya kuandikwa mita mbili. Shame on you!
 
Kwahiyo hata picha hiyo Huioni? Au basi tu mapenzi yamezidi ?
 
Inaelekea hata wewe huelewi, aliyeandika inaonekana ni typing error. Inajulikana ni mita mia mbili (200m), sasa wewe unataka habari yote ya msingi iwe deluted sababu ya kuandikwa mita mbili. Shame on you!
Mkuu wewe pia uko wrong.
Aliyeandika yuko sahihi kabisa, ni MITA 2. Non typing error nor Mistake, Nasari yuko sahihi kabisa.
Hiyo picha inaonyesha hilo gari liko eneo la kituo kabisa yaani ni chini ya mita mbili.

Mita 200 ni urefu wa viwanja viwili vya mpira.
 
ccm mnapenda mapicha picha sana,police wa TZ ushahidi mnaoutaka ili kuanza upelelezi unakuwaje hasa? au tuwe tunawaletea watu walioshikana kama mbwa baada ya kufumaniwa ndiyo mtaamini kuwa kweli huyu kahusika na uzinifu huu,"basi mchomoeni tushaona na maelezo tumeandika na number ya kesi hii hapa tuonane j3 saa2 asbh ili tuwape mpelelezi wa kesi hii" ebu fikiria,mtu kakoswa kutekwa na police akalipoti ila watuhumiwa wakaachiwa na leo tena wako kituo cha kupigia kura wanasimamia zoezi zima la upigaji Kura,hapo kweli haki itapatikana?
 
unalizungumziaje tukio la kutaka kutekwa?? bado sijapata mantiki yake..
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.
Acha upumbavu wewe hata ingekuwa nusu meter main subject ni kwa nn magaidi wa kisomali wasimamie uchaguzi kama mawakala wa ccm, usiwepesha mada kwa kuanza kuzugumzia usahihi wa umbali!!
 
CCM ni farasi anayetupa miguu. Keshakufa ila roho haijatoka sasa nikujitupa na kujaribu kumwuumiza yeyote aliye karibu nae.
 
Wewe mdogo wangu nasari utekwe kwa kipi,halafu kama taarifa zako ni sahihi kwa nini usiwasiliane na polisi arusha kuliko kuja jf kulalamika.
 
Acha upumbavu wewe hata ingekuwa nusu meter main subject ni kwa nn magaidi wa kisomali wasimamie uchaguzi kama mawakala wa ccm, usiwepesha mada kwa kuanza kuzugumzia usahihi wa umbali!!
Yeye nasari kama anajua wale ni magaidi kwa nini hajawataarifu polisi?huu unafiki.
 
Mkuu wewe pia uko wrong.
Aliyeandika yuko sahihi kabisa, ni MITA 2. Non typing error nor Mistake, Nasari yuko sahihi kabisa.
Hiyo picha inaonyesha hilo gari liko eneo la kituo kabisa yaani ni chini ya mita mbili.

Mita 200 ni urefu wa viwanja viwili vya mpira.
Pale ilipogari siyo kituo cha kupigia kura ni sehem tu ambapo yamebandikwa majina ya wapiga kura ile ni ngazi tu iliyobeba matenki ya maji siyo kituo cha kupigia kura.
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.
Hapa ishu sio umbali mita gani ni ishu ya uwepo wa gari maku!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.
​Nadhani wewe ndiye mvivu wa kufikiri!! Kwani wewe unajua mwisho wa kituo cha kupigia kura kinaishia wapi?
 
hapa Makuyuni chadema hamna chenu, ni bora mkaanza kutafuta propaganda za kujieleza kwanini mmeshindwa! kwani gari linapiga kura???
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom