Gari lililokuwa linataka kumteka Joshua Nassari

Status
Not open for further replies.

KUTOKA F YA JOSHUA NASSAR.
Ile gari iliyoshikwa na katika jaribio la kutaka kuniteka juzi usiku
likiwa na raia watatu wenye asili ya kisomali na dereva wake
akiwa ni kada wa
ccm
mdogo wake na
aliyekuwa diwani wa ccm makuyuni.Gari na watu walewale ambao waliachiwa
pamoja na kukutwa na dawa za kulevya (mirungi), leo wanasimamia kura
kama mawakala wa ccm na gari yao ipo kwenye kituo cha Zaburi umbali wa
mita 2 tu, kinyume na utaratibu. Wako wapi wanausalama, iko wapi tume ya
uchaguzi.

source
HAPA
969193_10151714307472938_1725605958_n.jpg

Arusha hatakiwi kubaki ccm yeyote wahamie Iramba.
 
yani uwongo mwingi uko wazi. Mita 2 mhh. Yn chadema wameanza shindwa uchaguzi mapema sana toka jana wanatafuta huruma. Wamepiga mabomu ili wapate huruma hz ni mbinu haramu

Unagongwa wewe!
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.

We mjanja wa vipimo hebu tuambie Je huo umbali unaoonekana katika hiyo picha ni kuanzia au zaidi ya Mita 100 zinazotakiwa kisheria?
 
Naanza kupata picha mwaka 2017 watavuruga uchaguzi kila sehemu hawa CCM!wataua sana na kutisha sana watu!Jeshi wameliteka,usalama hawana meno maana wamewekana pale juu,wanabaki kusubiri matokeo tu!CCM ndio kila kitu!
 
Hujaelewa concept... Hivi watu wanavyoambiana nisubii nakuja ndani ya sekunde moja ... Unaelewaje elewaje hii kauli?
Usitumie masaburi
Hawa wengine tusiwe tuna wajibu...ni vilaza sana hawa madogo wa CCM...
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.

Is this the substance of the message you could pick??? huu ndio ufinyu wa akili yako....
 
ukitaka kuuza madawa ya kulevya kama cocain,bangi,mirungi,pembe za ndovu wewe kua mwanasisisemu tu
jk alisema ukitaka biashara zako zifanikiwe kua sisiemu .majizi hayo.
 
serikali ya ccm imepoteza sifa ya kuwatumikia wananchi.lakini ipo cku hii serikali ya ccm itatolewa madalakani.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom