Gari lililokuwa linataka kumteka Joshua Nassari

Status
Not open for further replies.

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378

KUTOKA F YA JOSHUA NASSAR.
Ile gari iliyoshikwa na katika jaribio la kutaka kuniteka juzi usiku likiwa na raia watatu wenye asili ya kisomali na dereva wake
akiwa ni kada wa ccm mdogo wake na aliyekuwa diwani wa ccm makuyuni.Gari na watu walewale ambao waliachiwa pamoja na kukutwa na dawa za kulevya (mirungi), leo wanasimamia kura kama mawakala wa ccm na gari yao ipo kwenye kituo cha Zaburi umbali wa mita 2 tu, kinyume na utaratibu. Wako wapi wanausalama, iko wapi tume ya uchaguzi.

source HAPA
969193_10151714307472938_1725605958_n.jpg
 
Hii nchi haina jeshi la Polisi, Said Mwema amefanya jeshi la Polisi kuwa la hovyo sana. Polisi kwa sasa ni Wing ndani ya CCM, wanafanya kazi zote za CCM kuanzia kupanga njama za kutesa watu, kuua na kulipulia mabomu raia. Mwigulu Nchemba ndio IGP kwa sasa anawatuma Polisi wafanya anayotaka yeye. Shime watanzania miaka miwili sio mingi tusifanya makosa ya kuwarudisha hawa maccm madarakani. Haya mabaya wanayotufanyia yana mwisho wako, Mh Nassary vumilia tu ingawa ni ngumu kumeza. Watu wanaotakiwa kuwa jela saizi wanasimamia uchaguzi...
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.
 
IGP na vyombo vya usalama wanaujua huu mpango na ndiyo maana hakuna hatua inayochukuliwa.
 
CCM na serikali yake ni genge la mataahira na wauaji wakubwa.
Tume ya uchaguzi ni kama Condo.. ya kiume inayotumiwa kila mara na CCM.
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.
Hujaelewa concept... Hivi watu wanavyoambiana nisubii nakuja ndani ya sekunde moja ... Unaelewaje elewaje hii kauli?
Usitumie masaburi
 
yan ndo maana nasema mzee waryoba afanye haraka na mchakato wa katiba mpya ndo solution ya upuuzi huu
 
Mita mbili umbali wa kituo? Mbona hii kali. Hivi unazijua mita mbili?.

Huu hauwezi ukawa ni uvivu wa kufikiri bali ujinga wa kutojua vipimo.

Sometime, it's better to feel ashamed and stop writing nonsense.

umetazama hiyo picha?
 
Hivi JK mzima jamani! kwani anaruhuru nchi iongozwe kihuni hivi!!
TISS wako wapi? nao wamevurugwa!!
 
Hivi wewe mpumbafu sana umewekewa picha hapo bado unabisha jamani angalien hiyo gari isiwe na kura feki imebeba ila ssm imeharibu sana akili za watu hata mtaani wana ssm wanatabia tofauti kabisa ni wachawi waongo wezi hawana huruma lakin ipo siku watakombolewa
 
KUTOKA F YA JOSHUA NASSAR.
Ile gari iliyoshikwa na katika jaribio la kutaka kuniteka juzi usiku likiwa na raia watatu wenye asili ya kisomali na dereva wake
akiwa ni kada wa ccm mdogo wake na aliyekuwa diwani wa ccm makuyuni.Gari na watu walewale ambao waliachiwa pamoja na kukutwa na dawa za kulevya (mirungi), leo wanasimamia kura kama mawakala wa ccm na gari yao ipo kwenye kituo cha Zaburi umbali wa mita 2 tu, kinyume na utaratibu. Wako wapi wanausalama, iko wapi tume ya uchaguzi.

source HAPA
969193_10151714307472938_1725605958_n.jpg
Hiyo gari imebeba kura feki humo ndani. Endeleeni kuichekea...
 
Hujaelewa concept... Hivi watu wanavyoambiana nisubii nakuja ndani ya sekunde moja ... Unaelewaje elewaje hii kauli?
Usitumie masaburi
You seem to be predictive.

Toka lini utoaji wa taarifa inayohusu umbali ukatumia concept ya umbal kinzanii. I can't believe, you must be joking.
 
rekodini ukiukaji wote wa utaratibu ,huku mkiwa makini na macho kuepusha njama za kuiba kura na kuvuruga uchaguzi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom