King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,721
- 68,721
Sasa hapo dem ashaelekea mfukoni Huna hela ya hotel wala gesti hpo itabd lazima ummalize tu
Ova
Starehe Gharama ,kama ukiamua kwenda kula mzigo inabidi ujipange mapema kwa "PAKEE".
Sasa hapo dem ashaelekea mfukoni Huna hela ya hotel wala gesti hpo itabd lazima ummalize tu
Ova
Msaada jinsi kufungua mi sijui kwa mfumo huuKuna clip inazunguka kwenye Watsap kuwa kuna Gari limetumbukia COCO BEACH mchana huu
Hakuna sheria mnaonekana wahuni adhabu yoyote mtakayopewa sawa tu
Ngoja wataalamu waje, in the meantime fungua hizo doti kulia bonyeza web viewMsaada jinsi kufungua mi sijui kwa mfumo huu
Okey mkuu imekubaliNgoja wataalamu waje, in the meantime fungua hizo doti kulia bonyeza web view
Wengine ni button tu unagusa just a soft touch inaengage au disengage.Handbrake = Parking brake. Sio kila gari parking brake inavutwa kwa mkono.... nyingine zinakanyagwa kwa mguu
Polisi wa Tanzania ni wainga kabisa. Kuna sheria inayokataza? Hata kama ipo, adhabu yake ni viboko? Kweli nchi zetu ndiyo maana zinaitwa ziko dunia ya tatu.
Taja 'gesti',achana na mavichaka.Vichaka vinakazi gani mpaka nikajikunje kwenye siti ya gari
Chatu na yeye akija namgegedaTaja 'gesti',achana na mavichaka.
Utakuja mezwa chatu af watu waseme 'ndagu'.
It's like you're speaking from experience eeh! Wewe huwa unanyanduana ukiwa umeweka handbrake?
Mh! Mkuu sikuwezi.Chatu na yeye akija namgegeda
Kwa sasa kumejengwa Dual carriage na njia inayotumika ni hii ya pili ya upande wa makaziMitaa ile huwa kuna kikona fulani kikali ukiwa karibu na ubalozi wa Uturuki...
Yaani kwa dereva anayependa mimbio na njia haijui, pale unaweza ukapaa ukajipata kwenye maji.
Pale sio Coco Beach
hahahahahaha hao ndio Dumas the terrible mkuu yaani wamemtia kati mboga halafu hawana hata wenge taratiiiiibu wananyonya damu!Kipi bora kukunjwa kwenye gari au upambane na huyu mwamba vichakani? View attachment 1962793
Hebu fafanua kwanza Kama sikuelewi vile yaani unatusema humu hatuna madhara Kwa binadamu?Hawa ni duma. Hawana madhara kwa binadamu hata ukutane nao porini.
lets try this.😜😜The higher the riskthe higher the return mkuu! Enjoyment yake si mchezo, try and give some feedback😂