Gari latumbukia Baharini Coco Beach

wewe endelea kuwainamisha,ila ukishikwa utagongwa stick sana japo uliishasahau.
fimbo ni kwa wapumbavu peke yake.
Siendi huko kufanya sex kwani nina sehemu nzuri tu ila lazima kukemea tabia za kijima kama hizi. Siyo lazima usubiri yakukute ndiyo ukemee.
 
Sasa hapo dem ashaelekea mfukoni Huna hela ya hotel wala gesti hpo itabd lazima ummalize tu

Ova
Na taa ya kijani ikiwaka ni kosa kubwa mno kuahirisha "kuvuka".Unaweza kuja tafuta huo wasaa na usiupate tena abadan asilani
 
Tupeni mrejesho mlofika ama kupata taarifa kamili manake wengi wetu humu tumeishia kuwaza kula tunda kimasihara ndani ya gari
 
Hivi unaweza kusema "mmoja ameokolewa... amepelekwa mochwari ameshafariki".?

Kuokoa maana yake si ni kufanya kitu au mtu aendelee kuishi? Sasa unawezaje kuokoa maiti?
Okoa inaweza kutumika katika mitazamo/maana mbili. Ya kwanza ndio hiyo uliyosema ya kuokoa uhai wa mtu (au mnyama), lakini ya pili ni kuokoa kitu kisipotee. Kwa hiyo unaweza kuokoa maiti isipotee kwenye maji, mafuriko, nk.
 
Liwekwe bango linalokataza uzinzi lenye picha ya handbrake kama kumbu kumbu ya tukio hilo la kizembe.🥱
 
Wewe na ndugu zako ni viumbe poa kabisa. Bora nikutane na nyie porini kuliko binadamu mwenzangu. Kwa taarifa yako huko mjini kuna binadamu wanaoitwa ''viongozi wa serikali''. Ni hatari sana hawa binadamu wenzetu.
Kilichofanya mtukimbie Nini mbona hapo mwanzo tuliishi poa tu huku porini mlitutenga Kwa kujiona nyie ni wenye utashi na akili mingi sisi tulijua tu Kwa ubinafsi wenu na ujuaji mtaiharibu Dunia!
 
Kizazi kipya bana!!!! Ngono, ngono, ngono, ngono, ngono, hadi karaha! Hamuwezi kujadili mambo ya maana? Ndiyo maana kutwa kwenye ponographia!
 
Back
Top Bottom