Gari latumbukia Baharini Coco Beach

mnyanduano popote pale utakapopata nafasi na mzuka ujue! Tunyanduana juu ya jiko likiwa limewashwa sembuse beach aah
Watu mna take risk mnanyanduana kwenye jiko linalowaka hatari hii sema sex is good ukimpata mtu sahihi ambae anaweza fanya maajabu sehemu yoyote muda wowote na huwa wanadumu sana kwenye ndoa watu wa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya kujiepusha/ kujiokoa na majanga ni ndogo sana.

Hili limenikumbusha lile la ajali ya gari la familia iliokuwa ikielekea Moshi kwenye graduation; waliposombwa na maji yaliokuwa yakipita juu ya daraja kutokana na mvua kubwa.

Kwa navofahamu mimi kuhusu gari kuzama kwenye maji:-

1. kutokana na ubora wa jinsi gari linavyokua sealed huchukua muda wa sekunde 60~120 kwa gari kuwa limezama mpaka usawa wa vioo hivyo kufanya zoezi la kutoka kupitia dirisha ama mlango kuwa gumu zaidi.

2. Gari huanza kuzama upande wa engine (mbele) sababu huku ndiko kwenye uzito zaidi

3. Gari iliozama huchukua muda wa sekunde 60 kukata mfumo wa umeme, hivyo kufanya zoezi la gari zitumiazi mfumo wa umeme kufungua vioo na milango kutokufanya kazi.

4. kioo cha mbele ni kigumu zaidi kuvunjika kuliko vya pembeni na nyuma.

5. Gari inapozama lengo ni kutoka kwenye gari mapema zaidi kupitia kioo ama milango, lengo si tena kuokoa gari ama kutaka kupiga simu ya dharura ama kutaka kutoka na vitu kwani muda uliopo ni mchache (appx. 60 secs)

6. focus, usipanic, usipige kelele, utapoteza nguvu na pumzi haraka, cha kwanza ni kufungua mkanda(seat belt) kisha chomoa headrest, tumia chuma cha headrest kama nyundo ya kupiga kioo kama hakitofunguka kwa njia ya button kisha utoke kuelekea dirishani.

7. kitendo cha kuchelewa kufungua kioo ama mlango gari ikishaanza kuzama kufikia usawa wa vioo itakua vigumu kufungua sababu ya pressure ya maji yatayozuia mlango kufunguka wala kioo kushuka.

8. Kama kuna mtoto; ukishapata uwazi wa kutoka mbebe kuelekea nje ya gari ukimtanguliza mbele kwani hutoweza kutoka nje ya gari na kurudi kuja kumtoa tena sababu hapo gari itazama kwa haraka kupitia mlango uliofungua ama kioo ulichovunja.
 
Word
 
Back
Top Bottom