coco beach

Cocobeach is a town in northwestern Gabon, lying on the south bank of the Muni River. It is the capital of the Noya Department. It has a beach and is the main border town for Equatorial Guinea, ferries sailing to Cogo across the river and the border.
The town is very small, containing just a fishing village, a small market and a number of adjacent beaches. It is one of the major travel destinations in the region owing to the Crystal Mountains inland from the town, which contain some of the oldest rainforests in Gabon. These were able to largely escape the drying effect of glacial periods of the Quaternary due to the persistent fog from the Benguela Current providing moisture during the dry season.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipangp mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujemgwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi Hakuna anayekataa watu kuswali lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokua awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji...
  2. Jaji Mfawidhi

    Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu. Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

    Hilo eneo (Coco Beach) Hayati Magufuli alikataa kabisa kupewa Watu (hasa Matajiri) wawekeze hapo akisema kuwa paachwe wazi ili hata Masikini akina GENTAMYCINE tuwe tunakuja Kutembea, Kuogelea na Kupunga Upepo mwanana wa Baharini (wenye Afya) bila tatizo. Cha Kushangaza na Kusikitisha tayari...
  4. B

    Kinywaji kitamu chaonekana Coco Beach

    Katika pita pita zetu maeneo ya koko beach tulikutana na bango la vinywaji ambacho hakikueleweka ni kampuni gani japo wananchi waliokuwa wanapita walionja onjaaa. Nasi tulijongea nasi kujipatia kamnyeso katamu japo katika dadisi dadisi zetu hatukuweza kujua ni kampuni gani? Basi leo tutarudi tena.
  5. M

    Coco Beach pajengwe Shopping Mall

    Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo. Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari? Pichani ni Water Front Shopping Mall, Cape Town, SA
  6. M

    Coco Beach pesa ya maegesho inaenda wapi?

    Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila kona. NB: Halmashauri ya Manispaa waliwahi kupewa maelekezo ya kuendeleza usafi hapo Coco Beach...
  7. figganigga

    Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

    Salaam Wakuu, Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi". Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi. Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala...
  8. Samatime Magari

    🚗 IST ilivyoleta kizaa zaa Coco Beach

    Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na spot moja kwenye mchanga mchanga na kulikua na gari za juu zimepark pale.. . Yule jamaa wa parking...
  9. byakunu

    Wavuvi Kempu Coco Beach lile ni chujio la kiuchumi sio kila mchovu ataingia pale

    Kama hujawahi ingia hili chimbo naomba uje ununue hata soda kwa elfu 4 ujifunze maisha watu wanaishije watu, wana spendije. Hapa Heineken inauzwa 8500, Serengeti lite 7000. Heineken bucket inauzwa 46,000. Sasa we jibebe unakotoka uje na sh 20,000 uendelee kuleta fujo kama hauta tupwa baharini...
  10. shampondo shila

    Chupuchupu nimezwe na maji Coco Beach!

    Habari za humu wanajukwaa, natumai hamjambo wote. Kisa changu kipo hivi Mimi wakati huo nilikuwa naweza tu kuogelea umbali kama mita 3 tu napumzika, sasa siku ya kati kati ya wiki nikaenda zangu coco. Kupun ga upepo nikafika nikakodisha boya kwa buku nikaingia zangu kwenye maji kuogelea, kwa...
  11. M

    Coco Beach kuwa eneo la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira

    #HABARI MANISPAA ya Kinondoni imesema imejipanga kuhakikisha eneo la ‘Coco Beach’ linakuwa la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira. ======= Ofisa Elimu Manispaa hiyo, Theresia Kyara, alieleza mikakati hiyo jana mkoani Dar es Salaam, wakati wa upandaji wa miti uliofanywa na kampuni...
  12. Lord denning

    Amos Makala Hongera kwa Coco Beach, Ila huoni Kama tunaweza fanya zaidi ya pale?

    Hongera sana Amos Makala na Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam na Awamu ya Sita kwa ujumla kwa ubunifu wa Coco Beach. Yaliyolewa Malalamiko mengi sana kuhusu namna ile sehemu ilivyokuwa hovyo na mabanda ya hovyo jambo lililopelekea kupoteza mvuto! Kwa maboresho yaliyofanyika kwa kujenga mabanda...
  13. A

    Tamasha kubwa la Wavuvi laja

    Tamasha kubwa litakalojulikana kwa jina la Wavuvi Festival &Culture Tourism Tanzania liko njiani kufanyika kwa siku mfululizo jijini Dar es Salaam likiwa ni la kwanza katika historia ya nchi. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Alphone Mkama, Wavuvi Festival litafanyika kwenye Ufukwe wa Coco...
  14. R

    Coco beach ni pachafu kupita beach zote Dar es Salaam Halmashahuri husika zinabidi ziwajibishwe

    Yaani ningekuwa kiongozi mwenye mamlaka nilichokiona jana , Leo ningeamkia kwa halmashahuri ya Kinondoni nijuwe tatizo liko wapi na niwapeleke mpaka eneo la tukio washuudie wenyewe halafu waseme kama ni sawa kuwa na beach kama Coco iliyokuwepo maeneo ya Uzunguni kuwa chafu kama ilivyo wakati...
  15. P

    Coco Beach kulikoni, kumepita kimbunga au yanafanyika maandalizi ya kupaboresha?

    Asubuhi hii nimepita barabara ya baharini nikielekea Sea Cliff Hotel. Pale maeneo ya Coco Beach ambayo ni maarufu kwa mihogo ya kukaanga nimeona vibanda vyote vimebomolewa isipokuwa msikiti. Kumepita kimbunga au yanafanyika maandalizi ya kuboresha eneo hili maarufu?
  16. Tusker Bariiiidi

    Gari latumbukia Baharini Coco Beach

    Kuna clip inazunguka kwenye Watsap kuwa kuna Gari limetumbukia COCO BEACH mchana huu ==== Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi eneo la ufukwe wa Coco huku polisi wakieleza kusubiri afya ya dereva wa gari hilo kuimarika ili waanze uchunguzi. Kamanda wa...
  17. G Sam

    Nani anayegharamia ujenzi wa daraja la Coco Beach? Kama taifa tumewekwa kwenye kapu la akili ndogo?

    Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi...
Back
Top Bottom