Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

Nawaza tu hapo ukute dereva anasafiri mwenyewe ameamua ngoja achukue abiria wawili watatu hivi apunguze makali ya maisha kumbe amepakia mapusha ambao wanafuatliwa muda mrefu na wanausalama aisee hilo ni balaa zito.
Namkumbuka namm nikiwa naelekea mpanda kutoka sumbawanga mjini nilifika hapo kwa pinda. Niliombwa lift na watu wawili na kukukubli kulipa nauli nikakubali kuwa pandisha wakt naondoka Kama machale yakanicheza nikawaambiwa najeuza narudi majimoto nimeitwa had kesho ndio nipite hapa walisikitika sna na kuniomba nifanye namna wafike tu mpanda kwa kuwa Kuna umuhimu wa kufika hata kwa garama yoyote nikawambia hapna nikawashusha wakt nawshusha walichukia sna nakuanza Kama kunitisha ..kumbe jamaaa wale walikuwa siyoo watakuwa na nyara Kama walitaka kuniuziaa msala mzito tokea siku hyo sitoi lift ovyo ovyo ukiwa na mizigo mnk unajikuta unabebeshwa nyara za serekali bila kujua kwa Kia's kdg snaa Cha ujira
 
Unawazimu huyo Makonda wako pia alikuwa anauza
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Ushaambiwa serikali inawatafuta wewe una conclude kama unavuja maudenda.
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Wacha pesa isambae mtaani. Na sisi wanyonge tupate.
 
Mateja waliisha kabisa na afya za vijana zikaimarika
Yaani watu mnapenda sana Political Drama...

Niliwahi kuhoji hapa JF lakini sikuwahi kujibiwa kwamba:-

1. USA na DEA yake yote ambayo imejaa well trained military officers, lakini wameshindwa kudhibiti mihadarati
2. China na Iran ukikamatwa na mzigo inakuwa ndo mwisho wa uhai wako... bado watu wanapeleka drugs hadi huko!
3. Europe, kote huko wana raslimali za kutosha... kuanzia tech hadi well trained military personnels lakini hadi kesho watu wanaingiza drugs Europe!!

Akina nyie, Makonda kwenda kwenye TV na kutangaza wauza ngada ndo tayari mnaamini alidhibiti mihadarati!

Hivi katika wale ambao aliwatangaza, ni wangapi waliweza kuhukumiwa?! Hivi unaamini kabisa biashara ambayo mtu inamwingizia billions anaweza kuiacha kirahisi rahisi tu?
 
Hivi enzi za Jiwe gazeti gani lingeweza report habari kama hii?
Moja ya vitu vichache sana nilivyokubaliana na jiwe ni kwenye madawa ya kulevya hasa hasa baada ya kuwashughulikia mapapa hawa wa madawa
  • kiboko
  • Yangayanga
  • Nsembo
  • lupembe
  • Muddy mkumba
  • Karume karume
  • mgosi
  • Jeremiah
N.k
Mapapa yote yaliufyata na kukimbilia nchi nyingine
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

BB024B6D-A105-4DE0-ABB6-05D63359AD3C.jpeg

B03CBC0B-2305-4DA4-A473-4E514BE4A6DB.jpeg
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Mama anaupigqa mwingi cc
Nape
Kingwangala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

5420C86B-B8A7-46C1-BBD2-5CCCA5343ABD.jpeg
 
Walizoea matangazo ya mwenda zake
Vijana wananiangusha sana kwa kukokuwa wafuatiliaji wale wote ambao wanaona wakilimwa mvua ni watu maarufu ndio maana unakuta vyombo vya habari vinamulika sana ila kiukweli watu wanafungwa vizuri kabisa
 
Huu ujinga ulikuwepo sema hakuna ambaye angeweza report, acha kujitoa akili mkuu.
Kama kuripoti tuu walikuwa wanaogopa, je kusafirisha wangeweza, Sasa wewe uliyekuwa unafanya hiyo biashara na mkikamatwa halafu mnamalizana kimyakimya lete ushuhuda hapa

Nyumbu hovyo kabisa.
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Haya magari ni kama wanatumiaga Ma-DAS yaani Katibu Tawala wa Wilaya,
Swali langu Je, Katibu tawala huyu ni wa Wilaya mzigo ulipokamatwa?
Angalizo:
Dereva sisIbebeshwe mzigo wa dhambi11
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Watasingizia urefu wa kamba tu iyo.
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

B253792D-FA7F-4E92-A207-E6472B0E276B.jpeg
 
Back
Top Bottom