Gari la Serikali lanaswa na madawa ya kulevya

Kama kuripoti tuu walikuwa wanaogopa, je kusafirisha wangeweza, Sasa wewe uliyekuwa unafanya hiyo biashara na mkikamatwa halafu mnamalizana kimyakimya lete ushuhuda hapa

Nyumbu hovyo kabisa.
Ku report maana yake unaje expose wewe unaye report hiyo habari, kufanya hiyo biashara ni siri kati yako wewe na mteja wako, so huwezi ku compare hivi vitu viwili
 
Moja ya vitu vichache sana nilivyokubaliana na jiwe ni kwenye madawa ya kulevya hasa hasa baada ya kuwashughulikia mapapa hawa wa madawa
  • kiboko
  • Yangayanga
  • Nsembo
  • lupembe
  • Muddy mkumba
  • Karume karume
  • mgosi
  • Jeremiah
N.k
Mapapa yote yaliufyata na kukimbilia nchi nyingine
So madawa yaliisha? Mimi jiwe alichofanya vizuri though kwa expense za nyongeza za mishahara, ukosefu wa ajira na kunyanganya wafanyabiashara pesa zao ni miundombinu tu, ila kwa asilimia kubwa jamaa alikuwa janga la Taifa. I personally and really thank God kwa kuingilia kati. Let his soul rest in hell.
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Dereva alikuwa anatafuta namna ya kujikimu
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Si umesema gari kwenye namba za serikali? Mmiliki wake nani tena zaidi ya serikali yenyewe, vinginevyo ziwe za kughushi.
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Mmiliki wa gari ni serikali kwani kapotea kwa vipi?
 
So madawa yaliisha? Mimi jiwe alichofanya vizuri though kwa expense za nyongeza za mishahara, ukosefu wa ajira na kunyanganya wafanyabiashara pesa zao ni miundombinu tu, ila kwa asilimia kubwa jamaa alikuwa janga la Taifa. I personally and really thank God kwa kuingilia kati. Let his soul rest in hell.
Sijui Kama umenielewa, kwani wanapokamatwa majambazi sugu ujambazi huwa unaisha?
Nimekueleza kuwakamata hao mapapa nilikubaliana nae.
Kwa sababu hayakuisha basi hao hawakutakiwa kukamatwa?
 
Kwani wale wezi waliojiunganishia bomba la mafuta kule kigamboni walishiia wapi, hatusikii chochote😂
 
Vijana wananiangusha sana kwa kukokuwa wafuatiliaji wale wote ambao wanaona wakilimwa mvua ni watu maarufu ndio maana unakuta vyombo vya habari vinamulika sana ila kiukweli watu wanafungwa vizuri kabisa
Ikitangazwa wengine wakisikia wataogopa baadhi yao !!
 
Gazeti la mwananchi limeripoti kuwa gari lenye namba za serikali limenaswa likiwa na kilo 430 za dawa za kulevya huku mmiliki wake akitokomea kusikojulikana na anaendelea kusakwa kila kona bila mafanikio.

My take.
Kwa kasi hii mateja na watu wanaotoa udenda barabarani wataanza kuonekana tena. Paul Makonda rudi kazini aisee uokoe vijana wetu.

Sukuma gang wameanza kumchokonoa mtoto wa mzee wa msoga ka kufakamia dili zake, ngoja tuone
 
Moja ya vitu vichache sana nilivyokubaliana na jiwe ni kwenye madawa ya kulevya hasa hasa baada ya kuwashughulikia mapapa hawa wa madawa
  • kiboko
  • Yangayanga
  • Nsembo
  • lupembe
  • Muddy mkumba
  • Karume karume
  • mgosi
  • Jeremiah
N.k
Mapapa yote yaliufyata na kukimbilia nchi nyingine
Nadhani hapa inabidi credit ziende kwa polisi na mamlaka nzima ya kudhibiti na kuzuia Dawa za kulevya. Bila kumsahau Kamishna James Kaji. Alipiga kazi sana sema ndio vile sijui kwelu kapangiwa kazi ingine kama siku ya uteuzi wa kamishna mpya.

Serikali ingekuwa inahabarisha juu ya kesi zilizoendelea. Kuna moja ya kina Saidi na Allu wanamuita mdogo wake wema sijui imeishia wapi. Walikamatwa na dawa za kulevya hawa.

Wale wapikistan waliokuja na kimbunga jobu nao kesi yao haihabarishwi umma imeendeleaje.

Kuna watu kama kina Shkuba the largest drug kingpin inasemekana kamaliza kifungo huko Florida marekani inabidi tujue yuko wapi au amerudi kinyemela nchini.

PR lazima itumike kama njia ya ku prevent others to engege in the multibillion dollar bisiness without office or executives.

Yupo kijana akiitwa Rumishael mamkuu shoo huyu alishikwa kenya na kusaidikiwa walikuwa na laboratory ya kufyatua ephedrine & metamphetamine. Kesi iliisha lakini public haikujua maendeleo ga huyu Rummy 26 square.
 
Wambie waelewe hiyo ni vita ngumu iliwahi kutengenezwa submarine ya kienyeji ambayo ilikuwa inapitsha madawa katika mto Mississipi
Yaani watu mnapenda sana Political Drama...

Niliwahi kuhoji hapa JF lakini sikuwahi kujibiwa kwamba:-

1. USA na DEA yake yote ambayo imejaa well trained military officers, lakini wameshindwa kudhibiti mihadarati
2. China na Iran ukikamatwa na mzigo inakuwa ndo mwisho wa uhai wako... bado watu wanapeleka drugs hadi huko!
3. Europe, kote huko wana raslimali za kutosha... kuanzia tech hadi well trained military personnels lakini hadi kesho watu wanaingiza drugs Europe!!

Akina nyie, Makonda kwenda kwenye TV na kutangaza wauza ngada ndo tayari mnaamini alidhibiti mihadarati!

Hivi katika wale ambao aliwatangaza, ni wangapi waliweza kuhukumiwa?! Hivi unaamini kabisa biashara ambayo mtu inamwingizia billions anaweza kuiacha kirahisi rahisi tu?
 
Back
Top Bottom