Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

akiwa anaekekea nyumbani kwake mbunge wa arusha mjini mhe. Godbles lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
chuki ni titi la nguruwe halifai kwa mtindi...... Hata wakimpoteza historia itamwelezea "mola amlinde kamanda wetu wahaki na walaaniwe ccm na njama zao"
 
We mangi ndo umepitwa na wakati kweli kweli! nikutizama kifikra tu nakuona umevaa kaunda suti na raba, unaendesha toyota staut old model, na christmas hii utapandisha milimani na makochi kwe staut yako na baada ya sherehe utarudi nayo mjini.We hujui hata escrow kuwa haimhusu Lema wala Chagadema, nikukumbushe tu.
1.Mtoa hoja Kafulila-alifukuzwa chadema.
2.Mwenyekiti PAC-Mhe.Zitto, alifukuzwa chagadema.
3.CAG aliyefichua uozo-kateuliwa na serikali ya ccm.
4.wajumbe Filikunjombe,Kigwangala,Lugola,Mpina na wengine zaidi ya nusu ni wa ccm!
Sasa kwa wenzio wameshastuka kuitumia escrow kama mtaji wa chagadema bali wewe bado hujitambui! escrow haikuletwa na chadema.na sio ajenda ya kuleta maendeleo kwa wagombea wenu waseme vision yao ya 2015-2020. usimshabikie jambazi LEMA hana ishu zaidi ya maandamano na wizi wa magari.
We pumbavu kweli.Mmezoea kupanda punda staut utazijulia wapi.Wakona nyie.Tutaendelea kushine nyie mkikimbizana na karabai.Lami utaendelea kuiona barabara kuu wakati sie mpaka vichochoroni lami.Halohaloooo
 
Lema ni jambazi mkubwa tu. Kama hajaacha,naamini issue hiyo iko kwa style yake ya maisha .

Uchunguzi ufanywe,sio kusema ccm haraka namna hiyo. Huyu bwana sio mwema. Namfahamu kiasi fulani.
 
Bastola zinatolewa ovyo sana Arusha.

Vijana wengi wasio na maadili nao wanamiliki bastola.

Sio lazima ukivamiwa utumie risasi kujihami.

Nakumbuka mwaka 2004, niliwahi kuvamiwa na majambazi nyumbani kwangu, nilikuwa na bastola lakini sikurusha risasi hata moja! Nilitumia mbinu tu kuwaonyesha kuwa nina silaha pia, na wote wakatoweka ghafla! Mbinu nilizojifunza jeshini zilisaidia sana!

Sasa huu uzao wa akina LEMA! akigombana na Girlfriend wake anatoa bastola!

Namiliki Bastola mwaka wa 18 huu lakini wanaojua umiliki huu hawafiki hata watano!

Nyoko umiliki bastora pumbavu ka ww?, cjui hzo laana umezitoa WAP mavi mkubwa ww
 
Mbunge wetu wa Arusha ameendeleza vituko baada ya kupiga risasi hewani muda huu hapa jijini Arusha kutoka kilipo kituo cha polisi mpaka alipo pigia risasi ni mita kama Mia tano kisa ni baada ya kukutana na msafara wa ccm hali ya chadema ni mbaya sana Arusha na hizi fujo za lema zinaharibu zaidi

Mccm yanapumulia machine uchaguzi wa serekali za mitaa Arusha. Mccm yamekusanya machokoraa wa town wanatembea na fuso pamoja na Green guards kutisha vijana wasijitokeze kupiga kura.
 
Wakuu,

Taarifa za muda huu ni kwamba CCM wamevamia gari la Mh. Mbunge wa Arusha mjini maeneo ya Clock Tower wakati anaelekea nyumbani kwake njiro.
Wakati anapita Mnara wa saa, ghafla wakatokea maccm yakiwa na watu wenye sura ngumu kama banyamulenge, wakaanza kushambulia gari la mbunge huku wakimweleza kwamba wewe ndiye nuksi hapa Arusha, lazima tukukomeshe. Bahati nzuri wakatokea wananchi wazalendo wakaanza kuwashambulia hao banyamulenge wakakimbia zao.

Hivi sasa Mh Lema anaandika maelezo polisi

umejitekenya sehemu gani ndo ukaandika ujinga wako?
 
Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
Weka basi ushahidi wa picha sasa wewe unakuja na maneno matupu.
 
We pumbavu kweli.Mmezoea kupanda punda staut utazijulia wapi.Wakona nyie.Tutaendelea kushine nyie mkikimbizana na karabai.Lami utaendelea kuiona barabara kuu wakati sie mpaka vichochoroni lami.Halohaloooo

Ngoutirie toyota stauti mangi!?
 
We pumbavu kweli.Mmezoea kupanda punda staut utazijulia wapi.Wakona nyie.Tutaendelea kushine nyie mkikimbizana na karabai.Lami utaendelea kuiona barabara kuu wakati sie mpaka vichochoroni lami.Halohaloooo

Lami zimeweka chini ya utawala wa ccm, hongera kwa kuutambua ukweli mangi.
 
Lema anadhani ushindi unakuja kwa kutengeneza matukio.
 
Lema hana tofauti na msichana wa bar,kujipitisha pitisha ndio zake.
 
CCM kila siku wakipita wakiwa kwenye kampeni zao huwa ni kutoa matusi tu na wanasema ukiwaangalia sana wanakupiga coz hakuna anayewasapoti zaidi ya kubeba chokoraa wa mjini sasa hicho kitu kinawapa hasira sana.
Always wanatembeaga na marungu+mapanga ya kupiga watu
 
CCM kila siku wakipita wakiwa kwenye kampeni zao huwa ni kutoa matusi tu na wanasema ukiwaangalia sana wanakupiga coz hakuna anayewasapoti zaidi ya kubeba chokoraa wa mjini sasa hicho kitu kinawapa hasira sana.
Always wanatembeaga na marungu+mapanga ya kupiga watu

Tulia dawa ikuingie
 
Back
Top Bottom