Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,476
- 16,188
hakuna raisi dhaifu duniani kama huyu mwenyekiti wa ccm amefanya ikulu imekuwa pango la wahuni kupigia dili za unga
Plus kupigia kisomo!
hakuna raisi dhaifu duniani kama huyu mwenyekiti wa ccm amefanya ikulu imekuwa pango la wahuni kupigia dili za unga
LEMA nilikutana naye jana pale SAHEEL BBQ, karibu na ST.THOMAS HOSP. tukasalimiana huku mimi nikiwa namchora tu!
Kiukweli alionekana ni Hopeless fellow!
DALLAI LAMA , tusubiri matokeo ya serikali za mitaa kwanza!
CHADEMA ikishinda Arusha nakupa laki moja taslimu!
Lol wewe jamaa
Ya chopa tatu kata tatu mmeyasahau?Kwa hizo buku saba za lumumba utakuwa na laki kweli wewe mtumwa wa mafasadi? Ccm hawana pa kutokea arusha! Hata zile 4:0 wakati zinaingia mlikuwa na mayowe kama sasa
Umewasahau Mama Ghasia,Mshama na Kisangi wote wa kwetu hao CCM
Plus kupigia kisomo!
Lema ni jambazi mkubwa tu. Kama hajaacha,naamini issue hiyo iko kwa style yake ya maisha .
Uchunguzi ufanywe,sio kusema ccm haraka namna hiyo. Huyu bwana sio mwema. Namfahamu kiasi fulani.
Lema hana tofauti na msichana wa bar,kujipitisha pitisha ndio zake.
Sikuwahi kujiuliza ni kwa nini chadema wanachukiwa lakini sasa nawachukia kutoka moyoni mwangu.SKU zenu zinahesabika za kuwasahau katka masikio ya watanzania
Hata Mabere aliyefungua kesi kupinga escrow isijadiliwe bungeni ni wa ccm!
lema kila ianapokaribia uchaguzi lazima afanye kituko kutafuta sympathy ya kura, ameshaona watu wa arusha wanadanganyika kwa mbinu zake, ipo siku atajipiga risasi na kusingizia sisiem ili aonewe huruma, this guy is a disgrace, apuuzwe
unatakiwa kumchukia aliyekupa mimba
hatuwezi kukulaumu sana kichwa chako kimejaa matope