Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Kwani wizi wote wanakamatwa inategemea na ushahidi mbona hata mzee slaa aliiba pesa za kanisa kanisa badala ya kumkamata likampuuza.[/COLOR]Inakuwaje LEMA ni mwizi wa Magari harafu Polisi katika serikali iliyopo madarakani wanashindwa kumukamata???
Inamaana serikali ni Lege Lege????